akatiwanya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,233
- 1,422
We ulitaka pesa zimilikiwe na wewe Muhogo?Msukuma ni kiazi mmoja mwenye pesa nyingi na kwa ujinga wake anaona pesa inamlinda hata akiropoka ujinga katikati ya maskini wengi ,hizi ndio tabu za pesa kumilikiwa na viazi๐ค
Hana pesa yoyote huyo kima,mabasi yake mabovu wanapanda abiria wachovu wasio na nauli ya kupanda mabasi mazuriMsukuma ni kiazi mmoja mwenye pesa nyingi na kwa ujinga wake anaona pesa inamlinda hata akiropoka ujinga katikati ya maskini wengi ,hizi ndio tabu za pesa kumilikiwa na viazi๐ค
Na kweli mimi ni mhogo , now sitaki kumiliki pesa , kwa sababu babu yangu alishafanya hivyo, na baba yangu , hivyo now nahitaji kufanya kitu cha tofauti zaidi ya kumiliki pesa ๐คWe ulitaka pesa zimilikiwe na wewe Muhogo?
Ila mwamba anayo pesa sema akili kisoda sanaHana pesa yoyote huyo kima,mabasi yake mabovu wanapanda abiria wachovu wasio na nauli ya kupanda mabasi mazuri
Kuna watu wanapenda China ilivyo na wanatoa Tusifa sifa mara China wapo vizuri hivi mara vile nasi tuwe kama wao lakini nakuambia njia waliyopita China na mpaka sasa ikitekelezwa nchini hata kwa asilimia 70 ni vilio.Mbunge Musukuma ameelezea kisa cha kumfurahisha kilichomtokea alipokuwa China ambapo dereva taxi aliwashusha kwenye gari yeye na mkalimani wake baada ya kuanza kumjadili rais wa China.
Hilo jambo lilimfurahisha sana Musukuma hadi leo akichangia bungeni akapendekeza na kusisitiza na sisi Tanzania tunapaswa kuelekea muelekeo huo. Asichofahamu Musukuma ni kwamba tukifuatisha njia ya China yeye Musukuma asingeweza kuwa mbunge kamwe, sidhani kama hata udiwani anaweza kuupata kama tukichukua njia ya CCP.
Huwezi mlinganisha na chacha hata kidogo,Msukuma ni kelele nyingi tuIla mwamba anayo pesa sema akili kisoda sana
Viongozi Wezi wote wa fedha za umma watanyongwa. Pamoja na wale Wala rushwa tuwazika woteTukifuata mfumo wa China kuna viongozi wengi hawatakuwepo tena duniani
Uvccm ya tz wana midomo tuUVCCM ya China Wana PhD, Masters na Bachelor na karibu zote ni Engineering
๐๐๐๐๐Kwanza huyo musukuma hawezi kuwa kiongozi China kabisa hata huyu Mama yake
Mama ana upiga mwingi.Uvccm ya tz wana midomo tu
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ Upo sahihiKwanza Jose hana hadhi ya kujadiliwa humu, labda mada zake zipelekwe jukwaa la jokes