Ni katika 30 walioenda DubaiMsukuma alishakiri kwamba hajasoma. Kiufupi hana elimu
Hata anachokiongea kinawakilisha sifa yake ya kielimu
Kiufupi hana shule, anazungumzia anachokiona kwa macho. Hazungumzii anachoweza kukinyambua akiliniNi katika 30 walioenda Dubai
Stick to the "willing seller, willing buyer" proposition; that's where this discussion began from.Really after 30 days any contract is kosher my friend read the fine prints or footnotes am telling you from experience there’s a lot Tanzanian don’t seem to understand wait until you realize you can’t get out of this contract and cry wolf and hope someone from the developed world is going to help you time will tell and also time heals all have a great wishful thinking
Watu hawamjui Msukuma vizuri! Ni mtu wa hivyo sana!Pamoja na kula hela ya DP hata kesho watu wakifika bei anawatosa…huyu Akiwa Diwani aliwauza wenzake kwa GEITA Gold
E he he! Ni mhongaji mzuri tu! Wasukuma wanauliza utatuachaje na mabasi yake anawabeba wananzengo bure!Hivi hilo jimbo analotoka huyu jamaa (Msukuma) hakuna watu wenye akili zao na wamekwenda Shule?
Alienda kama mganga wa DP World kuja kuwafanyia uganga bungeni
Angekuwa na mpunga angekuwa anakesha bungeni Kubenea posho? 😃😃Lakini amekanusha kuhongwa nyumba na gari la kifahari amesema kama ni mpunga anao.
Mbunge wa Geita vijijini Dr Msukuma alikiri kwamba yeye siyo mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu ila alialikwa kukagua Kazi za DP World Dubai
Sijajua alialikwa kwa kigezo gani au vile yeye ni mtaalamu wa TEHAMA😃
Jumaa kareem!
Sasa mbona Jah people walimsahau?Alienda kama mganga wa DP World kuja kuwafanyia uganga bungeni
Mnene sana yule. Angegongwa na zile robot za DP world kule Dubei sababu ya kushangaaSasa mbona Jah people walimsahau?
Lakini huwezi kumfananisha na Dr Slaa anayesubiri auze timu ndio ahongwe ubalozi.Angekuwa na mpunga angekuwa anakesha bungeni Kubenea posho?