Musukuma aisifia DP world ya Dubai sakata la bandari. Adai Taifa linacheleweshwa na wajinga wanaotaka kushirikishwa kila kitu

Musukuma aisifia DP world ya Dubai sakata la bandari. Adai Taifa linacheleweshwa na wajinga wanaotaka kushirikishwa kila kitu

IMG-20230609-WA0003.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Really after 30 days any contract is kosher my friend read the fine prints or footnotes am telling you from experience there’s a lot Tanzanian don’t seem to understand wait until you realize you can’t get out of this contract and cry wolf and hope someone from the developed world is going to help you time will tell and also time heals all have a great wishful thinking
Stick to the "willing seller, willing buyer" proposition; that's where this discussion began from.

The Chunya episode is not any different from the Tanzania government versus DP World fiasco, which is based on one ignorant party (Tanzania) being conned by schemer, (Dubai).
 
Hivi hilo jimbo analotoka huyu jamaa (Msukuma) hakuna watu wenye akili zao na wamekwenda Shule?
 
H
Hivi hilo jimbo analotoka huyu jamaa (Msukuma) hakuna watu wenye akili zao na wamekwenda Shule?
E he he! Ni mhongaji mzuri tu! Wasukuma wanauliza utatuachaje na mabasi yake anawabeba wananzengo bure!
 
Lakini amekanusha kuhongwa nyumba na gari la kifahari amesema kama ni mpunga anao.
 
Mbunge wa Geita vijijini Dr Msukuma alikiri kwamba yeye siyo mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu ila alialikwa kukagua Kazi za DP World Dubai

Sijajua alialikwa kwa kigezo gani au vile yeye ni mtaalamu wa TEHAMA😃

Jumaa kareem!
  1. Alialikwa kwakuwa yuko vocal sana
  2. Kwenye clip anamtaja Mbarawa kama kaka yake
  3. Anasema alikaona kabinti kadogo Dubai (kwenye hiyo statement ukiyatazama vizuri macho yake kuna majibu)
  4. Anaendelea kusema aliongea na Mfalme wa huko lakini kwenye hiyo statement macho yake yanasema zaidi
 
Back
Top Bottom