[emoji1] naona wale wazee za bandari miungu watu siku zao zinakaribiaZile pesa za wizi pale bandarini ndio zitafika mwisho. Wabongo tunajaribu kupotosha lengo zima la uwekezaji tukiwa na nia chafu za binafsi.
Jamaa anafanya Biashara gani?kama ni ya usafirishaji kwakweli kafeli,ana Mabasi yake sijui yalikuwa Malori akachongea Bodi ya basi[emoji1787][emoji1787],yanatoka Geita kwenda Mwanza,aisee ni hatari ule usafiri!Jamaa anapesa kabla hata ubunge!
Anastahili
Anafurahia kukosekana ajiraSAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu...
Mimi nilienda Dubai na wabunge wenzangu kama 30 hivi, kule bandarini sikuona watu, ni mashine tu zinapishana.
View attachment 2650100
Hongera sana mwanasiasa Msukuma kwa kumiliki gari zuri
NB: Siyo kila kizuri hununuliwa na pesa zako bali vizuri vingine huletwa kwako kwa wewe kuonekana kizingiti ili ulainishwe
Si ndo katiba yetu hii hadi ngumbaru anafaa kuwa mbunge ili mradi kajua kusoma na kuandika.Ndio madhara ya ukosefu wa elimu..yeye anaunga mkono kila kitu..hajui hata mkataba inamadhara gani na faida gani kwa nchi.
Nasisitiza kuomba viongozi wa dini zote kuandaa siku maalum kwa ajili ya kuliombea taifa. Tuwashtaki kwa Mungu viongozi wote wenye hila wanaolitumbukiza taifa shimoni kupitia mikataba yote mibovu iliyokwisha kufanyika na inayofanyika Sasa. Bila kusahau wabunge wote waliopewa hongo Ili wapitishe hii mikataba mibovu itakayokuja kutesa hadi vizazi vya baadae. Nchi hii ni yetu sote tumepewa na Mungu wetu aliyeziumba mbingu na nchi. Zifanyike ibada Kwa kugonga kengele mara3 kuashiria msiba na maombolezo. Hakika Mungu atatujibu.SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.
==============
Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya Kamati ya Mh. Mbarawa. Na mimi kidogo sijui unaweza kununua akili yangu kwa gharama gani maana mimi ni La Saba mwaminifu. NduguMwenyekiti, Tanzania tunachelewa kwenda kwenye maendeleo kwasababu ya Digrii – Risk Assessment, Mchakato; haya mambo yatatuchelewesha! Upembuzi yakinifu, jamani!
Hivi, unajengaje reli ya kisasa, ya matrilioni, kwenda Congo, kwenda Mwanza, halafu una Bandari inayotoa mabehewa 120 kila siku. Tunachelewa sana Mwenyekiti. Tunachelewa kwasababu ya watru wachache, wajinga ambao kila kitu unataka ushirikishwe. Sawa, tunataka tuletewe mkataba, humu kila mtu atachangia dakika 10.
Tumefika wakati sasa na wataalamu wetu wooote ni wajinga. Mpaka CAG anayetugombanisha humu naye ni mjinga, maana yake sisi tuna jicho lakini hatuamini.
Mimi nilienda Dubai na wabunge wenzangu kama 30 hivi, kule bandarini sikuona watu, ni mashine tu zinapishana.
Nope.This was a willing buyer and a willing seller at arm’s length without duress so can’t tell me the guy’s is having sellers remorse?? He would still be growing maize kg 1000 Tsh so please don’t compare apples and oranges
Mjinga sana yule,hajui Gozo machine zitafuta ajira ngapi?Yaani mimi nilipomsikia nilitamani nimrukie nimchape makofi.Hapo kwenye kuona mashine tu zinapishana ndipo alipoonesha ujinga wake na kudhihilisha kweli la saba
Hili ndio tatizo la kuwa na mbunge darasa la saba, mbunge tapeli anayetetea tumbo lake na nina hakika hawa wabunge walioenda Dubai kuna kitu wameahidiwa au kupewa, tukisikiliza kelele za akina Musukuma taifa hili halitafika kokote, Musukuma anapenda pesa kupitilizaa hana tofauti na wale wa Corner barSAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.
==============
Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya Kamati ya Mh. Mbarawa. Na mimi kidogo sijui unaweza kununua akili yangu kwa gharama gani maana mimi ni La Saba mwaminifu. NduguMwenyekiti, Tanzania tunachelewa kwenda kwenye maendeleo kwasababu ya Digrii – Risk Assessment, Mchakato; haya mambo yatatuchelewesha! Upembuzi yakinifu, jamani!
Hivi, unajengaje reli ya kisasa, ya matrilioni, kwenda Congo, kwenda Mwanza, halafu una Bandari inayotoa mabehewa 120 kila siku. Tunachelewa sana Mwenyekiti. Tunachelewa kwasababu ya watru wachache, wajinga ambao kila kitu unataka ushirikishwe. Sawa, tunataka tuletewe mkataba, humu kila mtu atachangia dakika 10.
Tumefika wakati sasa na wataalamu wetu wooote ni wajinga. Mpaka CAG anayetugombanisha humu naye ni mjinga, maana yake sisi tuna jicho lakini hatuamini.
Mimi nilienda Dubai na wabunge wenzangu kama 30 hivi, kule bandarini sikuona watu, ni mashine tu zinapishana.
Have no idea where you get your information but know someone who bought a Da Vinci at flee market and paid 25$ and after a while it was worth several million $ the didn’t have any issues with that it’s only Tanzania where seller remorse is common and dangerousNope.
That cannot meet the so called famous adage that goes by a "willing buyer and willing seller" by any measure.
The important elements in that relationship are based on 'ignorance' on the part of the seller,; and possibly 'conmanship and deceit' by the buyer.
Absolutely it’s the anatomy of third world countriesKama ni hivyo unaamini vipi huo mkataba na waarabu ni mzuri? Huoni kama napo rushwa na wizi umetumika kusapa hao waarabu?
Umemaliza Kila kitu.Huyu alimwingiza Chaka Lowassa kisha akamtosa
Akaja kumuingiza Chaka Magufuli
Mtu aliyekula nyama ya mtu huwa haachi