Musukuma aisifia DP world ya Dubai sakata la bandari. Adai Taifa linacheleweshwa na wajinga wanaotaka kushirikishwa kila kitu

Musukuma aisifia DP world ya Dubai sakata la bandari. Adai Taifa linacheleweshwa na wajinga wanaotaka kushirikishwa kila kitu

Ndio madhara ya ukosefu wa elimu..yeye anaunga mkono kila kitu..hajui hata mkataba inamadhara gani na faida gani kwa nchi.
 
Jamaa anapesa kabla hata ubunge!

Anastahili
Jamaa anafanya Biashara gani?kama ni ya usafirishaji kwakweli kafeli,ana Mabasi yake sijui yalikuwa Malori akachongea Bodi ya basi[emoji1787][emoji1787],yanatoka Geita kwenda Mwanza,aisee ni hatari ule usafiri!
Lakini yule kama akutoa ndugu zake kafara kupata pesa basi Kuna namna fulani anafanya kupata pesa.
Utajiri wa Msukuma na Peter Zakaria,hapana bado hawajanishawishi kwamba wamepata Hela kwa njia halali!
 
SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu...

Mimi nilienda Dubai na wabunge wenzangu kama 30 hivi, kule bandarini sikuona watu, ni mashine tu zinapishana.
Anafurahia kukosekana ajira
Kweli akili zake kuzinunua ni hasara

Waliomtuma kutetea ni level yake kabisa
 
SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.

==============

Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya Kamati ya Mh. Mbarawa. Na mimi kidogo sijui unaweza kununua akili yangu kwa gharama gani maana mimi ni La Saba mwaminifu. NduguMwenyekiti, Tanzania tunachelewa kwenda kwenye maendeleo kwasababu ya Digrii – Risk Assessment, Mchakato; haya mambo yatatuchelewesha! Upembuzi yakinifu, jamani!

Hivi, unajengaje reli ya kisasa, ya matrilioni, kwenda Congo, kwenda Mwanza, halafu una Bandari inayotoa mabehewa 120 kila siku. Tunachelewa sana Mwenyekiti. Tunachelewa kwasababu ya watru wachache, wajinga ambao kila kitu unataka ushirikishwe. Sawa, tunataka tuletewe mkataba, humu kila mtu atachangia dakika 10.

Tumefika wakati sasa na wataalamu wetu wooote ni wajinga. Mpaka CAG anayetugombanisha humu naye ni mjinga, maana yake sisi tuna jicho lakini hatuamini.

Mimi nilienda Dubai na wabunge wenzangu kama 30 hivi, kule bandarini sikuona watu, ni mashine tu zinapishana.
Nasisitiza kuomba viongozi wa dini zote kuandaa siku maalum kwa ajili ya kuliombea taifa. Tuwashtaki kwa Mungu viongozi wote wenye hila wanaolitumbukiza taifa shimoni kupitia mikataba yote mibovu iliyokwisha kufanyika na inayofanyika Sasa. Bila kusahau wabunge wote waliopewa hongo Ili wapitishe hii mikataba mibovu itakayokuja kutesa hadi vizazi vya baadae. Nchi hii ni yetu sote tumepewa na Mungu wetu aliyeziumba mbingu na nchi. Zifanyike ibada Kwa kugonga kengele mara3 kuashiria msiba na maombolezo. Hakika Mungu atatujibu.
 
This was a willing buyer and a willing seller at arm’s length without duress so can’t tell me the guy’s is having sellers remorse?? He would still be growing maize kg 1000 Tsh so please don’t compare apples and oranges
Nope.
That cannot meet the so called famous adage that goes by a "willing buyer and willing seller" by any measure.

The important elements in that relationship are based on 'ignorance' on the part of the seller,; and possibly 'conmanship and deceit' by the buyer.
 
SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.

==============

Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya Kamati ya Mh. Mbarawa. Na mimi kidogo sijui unaweza kununua akili yangu kwa gharama gani maana mimi ni La Saba mwaminifu. NduguMwenyekiti, Tanzania tunachelewa kwenda kwenye maendeleo kwasababu ya Digrii – Risk Assessment, Mchakato; haya mambo yatatuchelewesha! Upembuzi yakinifu, jamani!

Hivi, unajengaje reli ya kisasa, ya matrilioni, kwenda Congo, kwenda Mwanza, halafu una Bandari inayotoa mabehewa 120 kila siku. Tunachelewa sana Mwenyekiti. Tunachelewa kwasababu ya watru wachache, wajinga ambao kila kitu unataka ushirikishwe. Sawa, tunataka tuletewe mkataba, humu kila mtu atachangia dakika 10.

Tumefika wakati sasa na wataalamu wetu wooote ni wajinga. Mpaka CAG anayetugombanisha humu naye ni mjinga, maana yake sisi tuna jicho lakini hatuamini.

Mimi nilienda Dubai na wabunge wenzangu kama 30 hivi, kule bandarini sikuona watu, ni mashine tu zinapishana.
Hili ndio tatizo la kuwa na mbunge darasa la saba, mbunge tapeli anayetetea tumbo lake na nina hakika hawa wabunge walioenda Dubai kuna kitu wameahidiwa au kupewa, tukisikiliza kelele za akina Musukuma taifa hili halitafika kokote, Musukuma anapenda pesa kupitilizaa hana tofauti na wale wa Corner bar
 
Nope.
That cannot meet the so called famous adage that goes by a "willing buyer and willing seller" by any measure.

The important elements in that relationship are based on 'ignorance' on the part of the seller,; and possibly 'conmanship and deceit' by the buyer.
Have no idea where you get your information but know someone who bought a Da Vinci at flee market and paid 25$ and after a while it was worth several million $ the didn’t have any issues with that it’s only Tanzania where seller remorse is common and dangerous
 
Never believe any business man. He is an opportunistic. Hata wale waliokuwa wanalia pale kariakoo ni waongo wubwa ni tofauti na uhalisua, waliopo kwenye mipira si kwamba wanapenda Sana mpira ili mambo Yao yaende.
 
Back
Top Bottom