Tuone mkataba mkuu.R I P magufuli... sijui kama wewe ndio uliasisi huu mkataba ila naamini ungekuwepo yasingetokea haya
Afuate tu,sababu ng'ombe wa Tanzania hawajui tumia uhuru wa maoniHapo nampinga Msukuma Samia asifuate utawala wa Mabavu wa Magufuli.
Magufuli aliwakatalia.Hawa waarabu walijaribu serikali zilizopita,sema waligonga mwamba.R I P magufuli... sijui kama wewe ndio uliasisi huu mkataba ila naamini ungekuwepo yasingetokea haya
Huyu chizi rushwa imemfanya awe kipofu haswaMbunge Musukuma ameshangazwa kuendelea kukutana mitaani na watu walioneza propaganda kuhusu miaka 100 kwenye mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni ya DP World. Musukuma amedai vyombo vya ulinzi na usalama wamekuwa wapole na haiwezekani kwenda kwa namna hiyo bila hatua kuchukuliwa.
Musukuma amesema siku za mbeleni yatakuja mambo makubwa kuliko hayo na yakasumbua. Musukuma amewaasa watu wanaomiliki uchumi wa Tanzania kuungana kwani ndio wanaopata adha bandarini
Magufuli pamoja na maovu yake lakini kwenye kulinda rasilimali za taifa alikuwa imara snMagufuli aliwakatalia.Hawa waarabu walijaribu serikali zilizopita,sema waligonga mwamba.
Hapana tuna freedom of speech and information akianza kuchinja Wananchi kama Magufuli itakuwa ni kinyume na Katiba yetu.Afuate tu,sababu ng'ombe wa Tanzania hawajui tumia uhuru wa maoni
Siyo lazima kuchinja,tia korokoroni mpaka muhula uisheHapana tuna freedom of speech and information akianza kuchinja Wananchi kama Magufuli itakuwa ni kinyume na Katiba yetu.