Musukuma ashangaa kuwaona mitaani wanaoeneza taharuki sakata la bandari, ataka hatua zichukuliwe

Huyu Msukuma mjinga sana.
Watu wachukuliwe hatua kwa kutoa maoni?

Katoka pori lilelile la Burundi kama mwendazake?
 
Hana utashi,maadili (Moral authority ya kusema anayosema)..

Mfanyabiashara uchwara..Tuna taarifa zake huku..Tunafuatilia Kwa karibu kebehi zake,ngebe zake,jeuri yake..

Idara husika Zipo kazini kufuatilia Kwa makini..wapi jeuri yake imeshika hatamu ni suala la muda tu
 
Yaani anataka watekwe au wauawe siyo ?
 
Shule bwana... Linataka kuturudisha
Shule bwana, bado linafikiri tuko awamu ya 5.
 
Du siamini Mbunge huyu anachokiandika kwa kweli, ila kwa upeo wake na elimu yake nakaa kimya kwani inaonyesha hajaelewa kinachozungumziwa kwenye mjadala huu na woga wa Watanzania unakotoka na nini kwani kwa elimu yake huo mkataba kuuelewa ni shida na mtu kama huyu nirahisi kulishwa matango pori. Kwa hiyo vyombo vya ulinzi vipige watu wanatumia haki iliyotolewa kikatiba looh, kumbuka Watanzania sio ngombe kama mlizozoea kufuga.
 
Wanaoeneza habari hizo ni wapumbavu ukiangalia zaidi ni wale sukuma genge
 
R I P magufuli... sijui kama wewe ndio uliasisi huu mkataba ila naamini ungekuwepo yasingetokea haya
Mnakuwa wapumbavu Sana,angelikuwepo mbona zamani tu angelishakubali maana nae anataka maendeleo na huu mkataba tangu yupo alikuwa akifuatilia na kuutaka lakini bado muda ulikuwa haujafika
 
Msukuma ni nani by the way, I don't know her.
 
Wewe siyo hata wa kusikilizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…