Musukuma ashangaa kuwaona mitaani wanaoeneza taharuki sakata la bandari, ataka hatua zichukuliwe

ccm watakupiga mawe wanakuambia sisi hatuwezi, bora tuuze tupate pesa chap kwa haraka tujikalie kwenye viyoyozi.
Hakuna kilichouzwa !! Hii ni baada ya wizi mwingi na ubadhirifu mwingi kuendelea kufanyika hapo bandarini kwa miaka nenda rudi na hata walivyokuwa wakitumbuliwa lakini bado mambo yaliendelea kuwa vilevile !!

Hitimisho wakubwa wakaona sasa itabidi tutafute wabia wa kutusaidia kuiendesha Bandari !!

Walioathirika poleni sana kuimba ni kupokezana !!
 
ukiangalia mdomo wake huyo jamaa, ni kama nyonya damu. alishajitangazaga kwamba yeye kule geita ni "kiti" yaani mkuu wa anga wa kichawi. ndicho anachoringia, akili hana na hana kingine chochote anachojiamini zaidi ya uchawi. alipoongea hivy, na kuangalia sura yenyewe kamdomo kalivyokaa kichawichawi, niliamini maneno yake.
 
Nasikia liliomba uraia wa dubai likanyimwa walimrudishia majibu kuwa ni binadamu tu ndio wanaweza kuwa raia wa dubai nilishangaa sana sasa sijajua jamaa ni kiumbe gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…