Musukuma atishia kuachilia meseji za Fedha alizotumiwa Mbowe kutoka CCM ili aendeshe chama, asema mchungaji Msigwa ni shahidi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mbombo ngafu

Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki

Msukuma kasema mchungaji Msigwa akiridhia anaziachilia mitandaoni kwani ndiye shahidi

Mjadala Ukurasani X

Nyama mtazikuta chini 😂😂
 
Za Mpesa au,
 
Kwani ruzuku ya serikali kwa vyama ni dhambi?
 
Mbombo ngafu

Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki

Msukuma kasema mchungaji Msigwa akiridhia anaziachilia mitandaoni kwani ndiye shahidi

Mjadala Ukurasani X

Nyama mtazikuta chini 😂😂
Mdogo wake chapa ya Jogoo Magomeni Usalama anaelekea kufahamika
 
Hizo ndio propaganda za wasomi wa com. Shame on you
 
Mbombo ngafu

Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki

Msukuma kasema mchungaji Msigwa akiridhia anaziachilia mitandaoni kwani ndiye shahidi

Mjadala Ukurasani X

Nyama mtazikuta chini 😂😂
Azitoe tu.

Amandla...
 
1000018482.jpg
 
Hawa wanasiasa wote wapuuzi sana wanadhani wanapigana mawe kumbe mwananchi ndio anagundua ujambazi wao.., Kwahio anaona ni sawa Kodi za Mwananchi (Ruzuku) kutumika kwenye muendelezo wa Maigizo ?

Hawa watu wapuuzi sana na sijui wanadhani hivi vyama Kazi yao ni kama Simba na Yanga (Nani zaidi) AU ni kuhakikisha Mwananchi anapata Option ya jinsi gani sauti yake inasikika na maisha yake kuwa na afueni....

Alafu bado hawa watu wanataka watu wajadili huu upuuzi ? Si angalau wajadili Wasanii wa kweli (Wacheza Mpira) na sio hawa Fake...

Mbombo ngafu

Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki

Msukuma kasema mchungaji Msigwa akiridhia anaziachilia mitandaoni kwani ndiye shahidi

Mjadala Ukurasani X

Nyama mtazikuta chini 😂😂
aachie tu kwani anaficha nini, sasa tulipofikia sema lolote as long as una ushahidi! Ushahidi usio na mashaka! Messages can be fabricated with the advent of modern technology in the communication industry!
 
Mtambeza Musukuma lakin maan yake hapo anamaanisha CDM ni tawi la CCM.
 
Back
Top Bottom