sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Kwa hiyo Musukuma anasimama na Lissu? 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jogoo House 😂😂😂Mdogo wake chapa ya Jogoo Magomeni Usalama anaelekea kufahamika
Ni kama unaogopa hivi 😂😂🔥aachie tu kwani anaficha nini, sasa tulipofikia sema lolote as long as una ushahidi! Ushahidi usio na mashaka! Messages can be fabricated with the advent of modern technology in the communication industry!
Muamala hauzidi milioni 5, ndio za kuendeshea CHADEMA?Mbombo ngafu
Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki
Msukuma kasema mchungaji Msigwa akiridhia anaziachilia mitandaoni kwani ndiye shahidi
Mjadala Ukurasani X
Nyama mtazikuta chini 😂😂
Kabisa Mkuuaachie tu kwani anaficha nini, sasa tulipofikia sema lolote as long as una ushahidi! Ushahidi usio na mashaka! Messages can be fabricated with the advent of modern technology in the communication industry!
Hauwezi kuhukumu kati kati ya hatua ya kupokea ushahidi.Anakipaka matope CCM au anampaka matope.Mbowe? Au wote wanapakana matope?
Anakipaka matope CCM au anampaka matope.Mbowe? Au wote wanapakana matope?
Hahahahaaa sijui wamefurikia wapiJogoo House 😂😂😂
Mbombo ngafu
Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki
Msukuma kasema mchungaji Msigwa akiridhia anaziachilia mitandaoni kwani ndiye shahidi
Mjadala Ukurasani X
Nyama mtazikuta chini 😂😂
Amesahau, mtoa rushwa na mla rushwa wote wanamakosa.Anakipaka matope CCM au anampaka matope.Mbowe? Au wote wanapakana matope?
Hapo ndio tunawaambia mara zote umuhimu wa elimu... Angalia sasa garbages za huyu zero brain... Mnadhani angefika hata form four angeandika upuuzi huu wa kuchafua chama chake mwenyewe...Mbombo ngafu
Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki
Msukuma kasema mchungaji Msigwa akiridhia anaziachilia mitandaoni kwani ndiye shahidi
Mjadala Ukurasani X
Nyama mtazikuta chini 😂😂
Wanapakana matope.Anakipaka matope CCM au anampaka matope.Mbowe? Au wote wanapakana matope?
Mbowe mbowe mbowe yamekua haya tenaMbombo ngafu