Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoa ushahidi leo ndio kutanfanya aonekane msafi katika kundi la wanaonuka? Anachokifanya ni kuonyesha umma kuwa sio ccm wala cdm wenye uhalali wa kuongoza nchi as wote ni wezi na majambazi ya mali za umma.Msukuma anajaribu kujitenga na msemo wa Samaki mmoja akioza wote wanakuwa wameoza ila harufu ya uozo haikwepeki, afanye aiondoe hiyo harufu kwa kuweka hizo transaction messages hadharani.
Kwa kupenda umbea na majungu uko vizuriMbombo ngafu
Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki
Msukuma kasema mchungaji Msigwa akiridhia anaziachilia mitandaoni kwani ndiye shahidi
Mjadala Ukurasani X
Nyama mtazikuta chini 😂😂
Meseji ni kitu Gani? Umesahau 2010 kulikua na Meseji pia? Zinatengenezwa tuMbombo ngafu
Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki
Msukuma kasema mchungaji Msigwa akiridhia anaziachilia mitandaoni kwani ndiye shahidi
Mjadala Ukurasani X
Nyama mtazikuta chini 😂😂
Inasubiriwa ridhaa ya Mchungaji 🐼Kwa kupenda umbea na majungu uko vizuri
Ili iwe nini sasa kama 150m, 250m hazina meseji wala nini🐼😂😂Meseji ni kitu Gani? Umesahau 2010 kulikua na Meseji pia? Zinatengenezwa tu
Wewe unaweza kunajisi familia yako mbele ya kadamnasi Mkuu???? Huoni kwamba kwa maneno yake anakipaka matope chama chake anachokiabudu, Chama Cha Mapinduzi?? Au mtazamo wako ukoje...Kukosa elimu ya darasan hakuondoi ukweli na uhalisia wa jambo husika..kasema ukweli na ushahidi anasema upo unataka nn wewe kama sio kutaka kukwepesha ma file
Mzee wangu Mbowe bora aachane na hii aibu, mwanzo nilidhani wewe ni chizi ulivyokuwa unasema mpo na Mbowe CCM hujawahi sema upo na Lisu, asee sijaamini hata kidogoMbombo ngafu
Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki
Msukuma kasema mchungaji Msigwa akiridhia anaziachilia mitandaoni kwani ndiye shahidi
Mjadala Ukurasani X
Nyama mtazikuta chini 😂😂
Safari hii naona mmeamua kumkabia Mbowe juu ili asivuke mstari wa katikati na kuleta madhara kwenye lango la Lisu.Mbombo ngafu
Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki
Msukuma kasema mchungaji Msigwa akiridhia anaziachilia mitandaoni kwani ndiye shahidi
Mjadala Ukurasani X
Nyama mtazikuta chini 😂😂
Jamani tupunguze spidi basi huu ni mteremko mkali isije wengine wakaumia vibaya !Mbombo ngafu
Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki
Msukuma kasema mchungaji Msigwa akiridhia anaziachilia mitandaoni kwani ndiye shahidi
Mjadala Ukurasani X
Nyama mtazikuta chini 😂😂
Ruzuku zifutwe kwenye vyama VYOTE vya siasa ni kuharibu Kodi zetu tu !Hawa wanasiasa wote wapuuzi sana wanadhani wanapigana mawe kumbe mwananchi ndio anagundua ujambazi wao.., Kwahio anaona ni sawa Kodi za Mwananchi (Ruzuku) kutumika kwenye muendelezo wa Maigizo ?
Hawa watu wapuuzi sana na sijui wanadhani hivi vyama Kazi yao ni kama Simba na Yanga (Nani zaidi) AU ni kuhakikisha Mwananchi anapata Option ya jinsi gani sauti yake inasikika na maisha yake kuwa na afueni....
Heri Udikteta Kuliko Maigizo ya Demokrasia
Tukumbushane tu..., Sisemi kwamba hili linatokea Sasa lakini Kutumika kwa Rasilimali Fedha na Muda kwenye Maigizo ya Demokrasia au Kutumia Pesa kwa Propaganda, ni bora Muda na Pesa hizo zikatumika kuleta maendeleo kwa Wananchi wanaojua Demokrasia haipo (Maigizo yana Gharama isiyo na Tija...www.jamiiforums.com
Operesheni Piga Chini
SIo siri hawa wanasiasa wanatuchezea, sisi maboss wao wanatufanya kuwa vijakazi wao, hatuna cha kuwafanya zaidi ya kuwaonyesha boss ni nani; Je Tutafanyaje ? Box la Kura Ndio huenda wataiba lakini wote / wengi tukiwakataa watajua ukweli kwamba tumewachokan na huenda wakajirekebisha, ila...www.jamiiforums.com
Alafu bado hawa watu wanataka watu wajadili huu upuuzi ? Si angalau wajadili Wasanii wa kweli (Wacheza Mpira) na sio hawa Fake...
Ni Heri wazungumziao Mipira kila siku (wanajadili wanachokijua) kuliko kufanya uchambuzi wa Mapatishi ya Wanasiasa...
Kumekuwa na Kasumba ya watu kulalamika watanzania kila kukicha ni Kuongelea Mipira..., Tuwe wakweli sio Tanzania sehemu nyingi duniani hakuna watu kitaa wanaojadili Ideas..., kilichobaki ni kujadili Matukio..., Sasa hayo matukio ni Matukio gani tuyajadili? Blah blah zinazotemwa na wanasiasa...www.jamiiforums.com
Mbombo ngafu
Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki
Msukuma kasema mchungaji Msigwa akiridhia anaziachilia mitandaoni kwani ndiye shahidi
Mjadala Ukurasani X
Nyama mtazikuta chini 😂😂
Ndio sababu Mwamba kasema Maridhiano House mikocheni limenunuliwa na CCM kumbe mlikuwa mnapokea Ruzuku ya Kila mwezi ila Wanachama mnawada ganya mmesusa hadi COVID-19 waondoke bungeni 😂😂Huyo Mzee wa nyungu hana lolote, yeye na babake jiwe wakadanganya watu wakaishia kufa kwa corona - hana jipya lolote.
Wewe unaona Mbowe, wenye akili wameona CCM. Mbunge wa CCM anaweza akaisema CHADEMA na viongozi wake kwa kupokea rushwa, ni jambo la kawaida. Lakini si jambo la kawaida mbunge huyo wa CCM kuisema CCM na viongozi wake kwa kutoa rushwa!Mbowe mbowe mbowe yamekua haya tena
anaweka mambo bayanaAnakipaka matope CCM au anampaka matope.Mbowe? Au wote wanapakana matope?