Musukuma atishia kuachilia meseji za Fedha alizotumiwa Mbowe kutoka CCM ili aendeshe chama, asema mchungaji Msigwa ni shahidi!

Shida iko wapi hapo sasa MsuKUMA kweli boya!
 
Msukuma anajaribu kujitenga na msemo wa Samaki mmoja akioza wote wanakuwa wameoza ila harufu ya uozo haikwepeki, afanye aiondoe hiyo harufu kwa kuweka hizo transaction messages hadharani.
Kutoa ushahidi leo ndio kutanfanya aonekane msafi katika kundi la wanaonuka? Anachokifanya ni kuonyesha umma kuwa sio ccm wala cdm wenye uhalali wa kuongoza nchi as wote ni wezi na majambazi ya mali za umma.
 
Kwa kupenda umbea na majungu uko vizuri
 
Meseji ni kitu Gani? Umesahau 2010 kulikua na Meseji pia? Zinatengenezwa tu
 
Kukosa elimu ya darasan hakuondoi ukweli na uhalisia wa jambo husika..kasema ukweli na ushahidi anasema upo unataka nn wewe kama sio kutaka kukwepesha ma file
Wewe unaweza kunajisi familia yako mbele ya kadamnasi Mkuu???? Huoni kwamba kwa maneno yake anakipaka matope chama chake anachokiabudu, Chama Cha Mapinduzi?? Au mtazamo wako ukoje...
 
Mzee wangu Mbowe bora aachane na hii aibu, mwanzo nilidhani wewe ni chizi ulivyokuwa unasema mpo na Mbowe CCM hujawahi sema upo na Lisu, asee sijaamini hata kidogo
 
Safari hii naona mmeamua kumkabia Mbowe juu ili asivuke mstari wa katikati na kuleta madhara kwenye lango la Lisu.
 
Jamani tupunguze spidi basi huu ni mteremko mkali isije wengine wakaumia vibaya !
 
Ruzuku zifutwe kwenye vyama VYOTE vya siasa ni kuharibu Kodi zetu tu !
 
Huyo Mzee wa nyungu hana lolote, yeye na babake jiwe wakadanganya watu wakaishia kufa kwa corona - hana jipya lolote.
 
Ni bora chadema ife kuliko I

Bora chadema ife kuliko ibaki kama Tawi la mafisadi kupata misaada kama nchi ya kidemokrasia kumbe ni upigaji unaofanywa na serikali za kifisadi kushirikiana na mafisadi wa upinzani .


Kama Mbowe ataamua kuhonga ili aendelee kuwa mwenyekiti wakati anajua atakiporomosha chama kwa kiwango kikubwa sana basi kifo cha chadema kinaweza kikawa ni mwanzo wa kuzaliwa kwa chama mbadala wa CCM kwa sera, uongozi ,misingi ,katiba bora na kuwa na viongozi wazalendo na wasafi .

Ijulikane kabisa kubwa Chadema ni tofauti na CCM ili wazalendo kama Musukuma Kishimba ,Mpina ,Mwakyembe n.k walioko ndani ya CCM wapate pa kukimbilia na kufikia ndoto zao za kupata serikali itakayoondoa ufisadi. Kwa sasa hakuna tofauti kati ya chadema ya Mbowe na CCM ya Dr.Samia
 
Huyo Mzee wa nyungu hana lolote, yeye na babake jiwe wakadanganya watu wakaishia kufa kwa corona - hana jipya lolote.
Ndio sababu Mwamba kasema Maridhiano House mikocheni limenunuliwa na CCM kumbe mlikuwa mnapokea Ruzuku ya Kila mwezi ila Wanachama mnawada ganya mmesusa hadi COVID-19 waondoke bungeni πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbowe mbowe mbowe yamekua haya tena
Wewe unaona Mbowe, wenye akili wameona CCM. Mbunge wa CCM anaweza akaisema CHADEMA na viongozi wake kwa kupokea rushwa, ni jambo la kawaida. Lakini si jambo la kawaida mbunge huyo wa CCM kuisema CCM na viongozi wake kwa kutoa rushwa!

Anyway, kila mtu ana perception zake. Wewe umeshangaa mpokea rushwa, mimi nimeshangaa mtoa rushwa, ila wote wametajwa na chama cha mtoa rushwa!
 
Msukuma aliyedai kuwapa wachezaji wa yanga pombe za laki 8 kabla ya kucheza na Tabora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…