NnyaMbwate
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,678
- 1,204
Kibajaji kapata Pacha wake!
Mbona kaeleweka au mpaka aseme TundulisuHahaha jamani mi hata sielewi hawa viongozi wengine huwa wanawashwa kuongea au sasa musukuma ndugu yangu unaongea nini hapo daaah
Bangi mbaya sana
WEWE ni la awaliJamani!! Hebu vitu vingine sio vya kuandika . Darasa la saba la kufeli anamjibu mtu mwenye masters ya sheria?? Watajibizana nini zaidi ya zero tu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika!Msukuma inabidi aelewe kwamba uwezo (kiuelewa) wake unaishia kwenye mambo mepesi mepesi yanayohitaji kubishana tuu. Lakini katika hili bora angenyamaza kwa sababu;
1. Si msemaji wa serikali
2. Halihusiani na vyama vya siasa.
3. Ni nje kabisa ya upeo wa taaluma yake
4. Anawapa kazi wahusika ya kuanza kufikiria namna ya kuweka sawa pale ambapo wasio wahusika wanazungumzia yasiyo wahusu.
5. Siye aliyepaswa kujibu masuala yalozungumziwa na Lisu.
6. Ni utovu wa nidhamu kuingilia mamlaka isiyokuhusu (hata kama chama chako ndicho tawala)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana cha kusema na huyo ndo msemaji wao.Hahaha jamani mi hata sielewi hawa viongozi wengine huwa wanawashwa kuongea au sasa musukuma ndugu yangu unaongea nini hapo daaah
Soon mtaumbuka, na badala ya ha ha haa ,itakuwa uwiiii!Hahaha just hahaha