Musukuma: Luhaga Mpina achunguzwe Afya ya Akili

Musukuma: Luhaga Mpina achunguzwe Afya ya Akili

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112

Mpina atakuwa ana tatizo la afya ya akili (kwamba ni kichaa)? Hoja imetolewa na mbunge ambaye kaonyesha wasiwasi kuhusu afya ya akili ya mbunge Mpina.

Ukichaa ni moja ya mago hwa yanayotibiwa na Hospitali yetu bingwa kabisa ya afya ya akili, Milembe, ambayo haiko mbali na viunga vya Bunge.

Mbunge Mpina ni mbunge aliyetengwa na wabunge wote na hata viongozi wa CCM mkoani kwake, kila mtu akimkimbia gete isuke.

PIA SOMA
- News Alert: - Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15
 
Kila aliyewai jaribu kuwaamsha Watanzania Nature ilimshughulikia mercilessly.

Niliuona Mwisho wa Mpina baada tu ya Neno lake la kwanza.

Angeliuliza kwanza Wenyeji, Nchi ya Wagaganiko toka Uhuru ndiyo Nchi ambayo imepokea mitume wengi ila most of dem walirudi bila vichwa ama walemavu.
 
Halafu speaker alikuwa kimya wakati Msukuma anamtukana Mpina nina uhakika kwenye hizo kanuni zao za bunge zinakataza udhalilishanaji.

Kitendo cha kumwita Mpina ni kukosa adabu, too personal na utakiwi kuongelea afya mtu vile (hata ingekuwa kweli) publicly.

Hapo ndio unaona double standards za ‘speaker’ hakina Maria wanatakiwa wachukue ile clip ya msukuma na kupeleka huko bunge la UN kuonyesha jinsi gani raisi wao alivyopopoyo, huyu dada kapwaya haraka sana kwenye kiti.

Bado msukuma na kibajaji wote darasa la saba wanajitapa wao ni wa NEC watamshughulikia kwenye vikao vya chama, wengine wamemtishia nje ya bunge; speaker kimya wakati yote hayo yanaendelea ni dada wa hovyo kweli.

Uzuri ni kwamba wanatambua hayuko mwenyewe, hata Membe alidhani ni invisible seuse Kibajaji, Msukuma na mchungaji fake time will tell.

Hakuna alietegemea matokeo tofauti zaidi ya kupewa adhabu, kilichoshangaza watu ni how low CCM can get kwa ile michango.

Wizara ya kilimo ni chaka la wizi na Bashe ndio midfielder hakuna alietegemea apewe adhabu wala kujibu hoja yeye mwenyewe.

Jamaa wanawadharau sana watanzania
 
Hawa wabunge inabidi sisi wapiga kura ndio tuwaadhibu kwenye ballot paper hata akiiba kura ajijue kabisa wananchi hawajamchagua
Itasaidia nini ilhali atakuwa pale Kwa miaka & ijayo kama Mbunge wa Jimbo hilo?
 
Back
Top Bottom