Musukuma: Luhaga Mpina achunguzwe Afya ya Akili

Musukuma: Luhaga Mpina achunguzwe Afya ya Akili

Watawala wetu wanatupitisha mapito magumu sana.......mateso na machukizo wanayotujaza mioyoni mwetu vinatufanya tuwaombee mabaya ambayo mengine ni magumu kuelezeka........

Imagine mtu anatoa hoja za msingi anaishia kuzodolewa..,....

Wakati natamani gharika lishuke pale bungeni liwafunike wote mule ndani......

Mungu nisamehe katika hili......sikupenda kufikia huko lakini moyo umechoka........
1002252489.jpg
 
Siku nyingi sana nimesema humu JF mpina ni poyoyo.
Hakuna mtu alitegemea different outcome, wabunge wanaoendeshwa na utamaduni wa ‘carrot on a stick’.

Ila kauli za kufedhesha walizomtolea Mpina wachangiaji zilikuwa na ulazima, gani kwanini speaker anatabasamu wakati viongozi wa taifa wanaoangaliwa na watu wa rika lote kutumia lugha zile.

Bunge linatakiwa ku-set moral standards aiwezekani speaker aache waheshimiwa kutumia lugha mbovu vile wote watu wazima.

Ndio kioo cha jamii kinatakiwa kuwa na watu hovyo wachangiaji kadhaa na speaker mwenyewe.
 
Hatua waliyofikia sasa hivi sio Tu wanatudharau bali wanatuona maiti.......
Tena wakamuweka na Bashe mlangoni kabisa wakutane uso kwa uso na Mpina, wakijua hitimisho lao litakuwaje.

Hata Bashe mwenyewe inaonekana akupenda baadhi ya michango, nimeona kama vile lampa pole Mpina walipoangaliana ambayo ni genuine kwa body language yake.
 
Tena wakamuweka na Bashe mlangoni kabisa wakutane uso kwa uso na Mpina.

Hata Bashe mwenyewe inaonekana akupenda baadhi ya michango, nimeona kama vile lampa pole ambayo ni genuine kwa body language yake.
Machungu wanayotujaza mioyoni mwetu ndio vinafanya wakati mwingine tunafurahia wakipata matatizo......
 
Achunguzwe Afya ya akili????? Mbona Msukuma ndo kama ame Kabidhiwa jezi na mchezo hajauelewa... Wizara ya samaki??? Kazi ipo... Hiki kichwa ndo kinaweza kuisoma ile ripoti ya Luhaga Mpina kikailewa vizuri na kufanya critical thinking. CCM hawawezi kukubali katiba mpya kabisa.. Wakaweka kugombea ubunge lazima uwe na degree kwenda juu... Kuondoa hawa comedians huko bungeni. Kama mbunge anaita wizara ya samaki, tuko mbali sana na uhalisia.
 
..halafu Spika kawapa nafasi Msukuma na Kibajaji wawe wachangiaji ktk kumsulubu Mpina.
 
..halafu Spika kawapa nafasi Msukuma na Kibajaji wawe wachangiaji ktk kumsulubu Mpina.
Yani alivyoanza kuongea tu nikajua hawa wako selected kum attack Mpina ila siyo kujadili alichofichua au kuthibitisha katika ripoti yake. Yeye alipewa task yaku thibitisha kauli yake kuwa Bashe ameliongopea bunge, hoja ambayo itafunikwa na adhabu yake kuanzia kwenye magezeti na kwenye mitandao.
 
Mpina atakuwa ana tatizo la afya ya akili (kwamba ni kichaa)? Hoja imetolewa na mbunge ambaye kaonyesha wasiwasi kuhusu afya ya akili ya mbunge Mpina.

Ukichaa ni moja ya mago hwa yanayotibiwa na Hospitali yetu bingwa kabisa ya afya ya akili, Milembe, ambayo haiko mbali na viunga vya Bunge.

Mbunge Mpina ni mbunge aliyetengwa na wabunge wote na hata viongozi wa CCM mkoani kwake, kila mtu akimkimbia gete isuke.

PIA SOMA
- News Alert: - Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15

Niliwahi kuuliza humu Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?

Hili swali bado ni valid kwa kinachoendelea Bungeni Dodoma.

The most interesting and more surprising ni kichaa mmoja kumnyooshea kidole kichaa mwingine kuwa ana changamoto ya afya ya akili, kumbe ni wote... GEITA: Msukuma amshusha cheo mkuu wa shule kwa kukataa Magufuli club kufanyia mahafali shuleni!

P.
 
Mpina atakuwa ana tatizo la afya ya akili (kwamba ni kichaa)? Hoja imetolewa na mbunge ambaye kaonyesha wasiwasi kuhusu afya ya akili ya mbunge Mpina.

Ukichaa ni moja ya mago hwa yanayotibiwa na Hospitali yetu bingwa kabisa ya afya ya akili, Milembe, ambayo haiko mbali na viunga vya Bunge.

Mbunge Mpina ni mbunge aliyetengwa na wabunge wote na hata viongozi wa CCM mkoani kwake, kila mtu akimkimbia gete isuke.

PIA SOMA
- News Alert: - Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15

Je ukiahirisha kufikiri kwa nafsi siyo tatizo la afya ya akili a. k. a kujizima data
 
Kaiba nini mbona mmeshindwa kuthibitisha.
Tender ya kuagiza mbolea za ruzuku aikuwa na ushindani

Kashauri serikali ipeleke hela bank ya kilimo karibu zote zimeliwa hakuna marejesho

Mbolea ya ruzuku nako wakopaji wakubwa ni vigogo na wabunge wa CCM hakuna marejesho

Kila kitu achofanya Bashe kwenye report ya CAG kuna mabillioni yamepotea.

Ni kiungo muhimu kwenye embezzlement ya wizara, 2024/25 wamemuongezea hela budget yake tsh 1.3 trillion hapo kama 60% zinaenda tafunwa yeye mwenyewe hakosi billion 50 mwaka ukiisha.

Sukari anawapa vibali wazalishaji wa ndani kwa muda anaotaka yeye (wakati watu wameanza kuomba mapema) ili kusitokee uhaba. Anawacheleweshea makusudi baada ya kuwapa anatoa time limit ambayo siyo realistic ‘lead team’ ya kuagiza na kuleta. Halafu akienda bungeni anawasagia wazembe na kuhalalisha kutoa vibali kwa wengine wakati yeye ndio kafanya sabotage.

Anatoa vibali kwa watu wasio na uzoefu, ameongopea bunge na watanzania hakukuwa na uzalishaji wa sukari kwa miezi nane mfululizo.

You can go and on na ufisadi unaofanyika kilimo. Halafu akiongea bungeni anatoa machozi ya mamba kama vile anajali kweli (chori kapeto). Bashe ni actor na bunge la CCM ni hovyo.
 
Hao ndio watunga sheria wetu,
Na ukute wanagombea uchawi.

Msukuma anatumia nguvu ya ushawishi aliyo nayo kummaliza mwenzie.

Hao wote ni wa Tanzania, hivi uadui huo utakao uishe hata kizazi na kizazi?

Hampendani lakini mwogopeni hata Mungu.
 
Back
Top Bottom