Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mtu kama Musukuma hana uzalendo wowote lakini kwa vile anatetea ugali wa majizi wenzie anasikilizwa dawa yao hawa ni nguvu ya Umma na muda wao unakaribia Watanzania sio wajinga kiasi hichoIla upole wa wananchi ndio imewapa kiburi
Kwa vile wewe ni jini binafsi sikushangaiNadiriki kusema mpina ni shetani.
Hapa kuna mzigo wa hatari snKabisa mtu kama Musukuma hana uzalendo wowote lakini kwa vile anatetea ugali wa majizi wenzie anasikilizwa dawa yao hawa ni nguvu ya Umma na muda wao unakaribia Watanzania sio wajinga kiasi hicho
Wanasiasa jamii ya Luhaga Mpina huwa Wana tabia ya kufifia Leo na ku rejuvenate baadae!
Mpina atakuwa ana tatizo la afya ya akili (kwamba ni kichaa)? Hoja imetolewa na mbunge ambaye kaonyesha wasiwasi kuhusu afya ya akili ya mbunge Mpina.
Ukichaa ni moja ya mago hwa yanayotibiwa na Hospitali yetu bingwa kabisa ya afya ya akili, Milembe, ambayo haiko mbali na viunga vya Bunge.
Mbunge Mpina ni mbunge aliyetengwa na wabunge wote na hata viongozi wa CCM mkoani kwake, kila mtu akimkimbia gete isuke.
PIA SOMA
- News Alert: - Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15
Wasukuma wameanza kuparuana wenyewe.hii ni dalili tosha kuwa wasukuma si wamoja tena wao pia wamejikita kwenye uchawa.hii ni hatari sana.wakati nasoma shule ya msingi kule bariadi wasukuma walikuwa na upendo sana lkn hiki kizazi cha sasa ni hovyo kabisa.
Mpina atakuwa ana tatizo la afya ya akili (kwamba ni kichaa)? Hoja imetolewa na mbunge ambaye kaonyesha wasiwasi kuhusu afya ya akili ya mbunge Mpina.
Ukichaa ni moja ya mago hwa yanayotibiwa na Hospitali yetu bingwa kabisa ya afya ya akili, Milembe, ambayo haiko mbali na viunga vya Bunge.
Mbunge Mpina ni mbunge aliyetengwa na wabunge wote na hata viongozi wa CCM mkoani kwake, kila mtu akimkimbia gete isuke.
PIA SOMA
- News Alert: - Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15
Hatua waliyofikia sasa hivi sio Tu wanatudharau bali wanatuona maiti.......
Kwahiyo Bungeni hutakiwi kuwa vocal? Basi sawa!Acha Mpina, tulishakuwa na Lucas Selelii, na G55, wote kwisha
Nadiriki kusema mpina ni shetani
We mzee stress za maisha zinakumaliza hapo unasumbuliwa na udini tu.Nadiriki kusema mpina ni shetani.
Sasa kama unajua sana si ungempa huo ushahidi Mpina ili asisulubiwe na kamati? Yaani ushahidi hamna, mnabaki kuropoka tu.Tender ya kuagiza mbolea za ruzuku aikuwa na ushindani
Kashauri serikali ipeleke hela bank ya kilimo karibu zote zimeliwa hakuna marejesho
Mbolea ya ruzuku nako wakopaji wakubwa ni vigogo na wabunge wa CCM hakuna marejesho
Kila kitu achofanya Bashe kwenye report ya CAG kuna mabillioni yamepotea.
Ni kiungo muhimu kwenye embezzlement ya wizara, 2024/25 wamemuongezea hela budget yake tsh 1.3 trillion hapo kama 60% zinaenda tafunwa yeye mwenyewe hakosi billion 50 mwaka ukiisha.
Sukari anawapa vibali wazalishaji wa ndani kwa muda anaotaka yeye (wakati watu wameanza kuomba mapema) ili kusitokee uhaba. Anawacheleweshea makusudi baada ya kuwapa anatoa time limit ambayo siyo realistic ‘lead team’ ya kuagiza na kuleta. Halafu akienda bungeni anawasagia wazembe na kuhalalisha kutoa vibali kwa wengine wakati yeye ndio kafanya sabotage.
Anatoa vibali kwa watu wasio na uzoefu, ameongopea bunge na watanzania hakukuwa na uzalishaji wa sukari kwa miezi nane mfululizo.
You can go and on na ufisadi unaofanyika kilimo. Halafu akiongea bungeni anatoa machozi ya mamba kama vile anajali kweli (chori kapeto). Bashe ni actor na bunge la CCM ni hovyo.
Ulitaka Mpina awape ushahidi gani zaidi.Sasa kama unajua sana si ungempa huo ushahidi Mpina ili asisulubiwe na kamati? Yaani ushahidi hamna, mnabaki kuropoka tu.
Sisi ni Kondoo..Ila upole wa wananchi ndio imewapa kiburi
Nadiriki kusema mpina ni shetani.
Msukuma alikuwa mtekaji wa mabasi ya abiria.
adama.Sasa Mpina akiwa shetani, wewe utakuwa nani?