Halafu speaker alikuwa kimya wakati Msukuma anamtukana Mpina nina uhakika kwenye hizo kanuni zao za bunge zinakataza udhalilishanaji.
Kitendo cha kumwita Mpina ni kukosa adabu, too personal na utakiwi kuongelea afya mtu vile (hata ingekuwa kweli) publicly.
Hapo ndio unaona double standards za ‘speaker’ hakina Maria wanatakiwa wachukue ile clip ya msukuma na kupeleka huko bunge la UN kuonyesha jinsi gani raisi wao alivyopopoyo, huyu dada kapwaya haraka sana kwenye kiti.
Bado msukuma na kibajaji wote darasa la saba wanajitapa wao ni wa NEC watamshughulikia kwenye vikao vya chama, wengine wamemtishia nje ya bunge; speaker kimya wakati yote hayo yanaendelea ni dada wa hovyo kweli.
Uzuri ni kwamba wanatambua hayuko mwenyewe, hata Membe alidhani ni invisible seuse Kibajaji, Msukuma na mchungaji fake time will tell.
Hakuna alietegemea matokeo tofauti zaidi ya kupewa adhabu, kilichoshangaza watu ni how low CCM can get kwa ile michango.
Wizara ya kilimo ni chaka la wizi na Bashe ndio midfielder hakuna alietegemea apewe adhabu wala kujibu hoja yeye mwenyewe.
Jamaa wanawadharau sana watanzania