KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Hatua waliyofikia sasa hivi sio Tu wanatudharau bali wanatuona maiti.......Halafu speaker alikuwa kimya wakati Msukuma anamtukana Mpina nina uhakika kwenye hizo kanuni zao za bunge zinakataza udhalilishanaji...
Hakuna mtu alitegemea different outcome, wabunge wanaoendeshwa na utamaduni wa ‘carrot on a stick’.Siku nyingi sana nimesema humu JF mpina ni poyoyo.
Tena wakamuweka na Bashe mlangoni kabisa wakutane uso kwa uso na Mpina, wakijua hitimisho lao litakuwaje.Hatua waliyofikia sasa hivi sio Tu wanatudharau bali wanatuona maiti.......
Machungu wanayotujaza mioyoni mwetu ndio vinafanya wakati mwingine tunafurahia wakipata matatizo......Tena wakamuweka na Bashe mlangoni kabisa wakutane uso kwa uso na Mpina.
Hata Bashe mwenyewe inaonekana akupenda baadhi ya michango, nimeona kama vile lampa pole ambayo ni genuine kwa body language yake.
Mimi nasubiri ‘Maria Sarungi’ apeleke ile clip kama umbea kwa wazungu tuone kama ndio standard wanazokubaliana nazo huko kwenye mabunge yao.Huyo poyoyo hakuna kauli mbaya aliyotolewa.
Huna akili wewe,yaani Bashe kapambana sasaivi sukari yakumwaga kwa wananchi,halafu tukusikilize wewe mfuasi wa padri muuaji!!?Ila upole wa wananchi ndio imewapa kiburi
Tunataka tuwafahamu hao aliokuwa akikutana nao na kupanga njama zao za kuihujumu serikali...Mh.Msukuma anadai Mh.Mpina hayuko peke yake.
..yeye na genge lakew alikuwa wakifanya vikao ktk Hoteli ya Esperanza, Dodoma.
..Mh.Msukuma amelitaka Bunge na Serikali liwashughulikie walioshirikiana na Mh.Mpina.
View: https://www.youtube.com/watch?v=bIZj2s0Bg8k
Achunguzwe Afya ya akili????? Mbona Msukuma ndo kama ame Kabidhiwa jezi na mchezo hajauelewa... Wizara ya samaki??? Kazi ipo... Hiki kichwa ndo kinaweza kuisoma ile ripoti ya Luhaga Mpina kikailewa vizuri na kufanya critical thinking. CCM hawawezi kukubali katiba mpya kabisa.. Wakaweka kugombea ubunge lazima uwe na degree kwenda juu... Kuondoa hawa comedians huko bungeni. Kama mbunge anaita wizara ya samaki, tuko mbali sana na uhalisia.
Yani alivyoanza kuongea tu nikajua hawa wako selected kum attack Mpina ila siyo kujadili alichofichua au kuthibitisha katika ripoti yake. Yeye alipewa task yaku thibitisha kauli yake kuwa Bashe ameliongopea bunge, hoja ambayo itafunikwa na adhabu yake kuanzia kwenye magezeti na kwenye mitandao...halafu Spika kawapa nafasi Msukuma na Kibajaji wawe wachangiaji ktk kumsulubu Mpina.
Niliwahi kuuliza humu Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?
Mpina atakuwa ana tatizo la afya ya akili (kwamba ni kichaa)? Hoja imetolewa na mbunge ambaye kaonyesha wasiwasi kuhusu afya ya akili ya mbunge Mpina.
Ukichaa ni moja ya mago hwa yanayotibiwa na Hospitali yetu bingwa kabisa ya afya ya akili, Milembe, ambayo haiko mbali na viunga vya Bunge.
Mbunge Mpina ni mbunge aliyetengwa na wabunge wote na hata viongozi wa CCM mkoani kwake, kila mtu akimkimbia gete isuke.
PIA SOMA
- News Alert: - Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15
Kaiba nini mbona mmeshindwa kuthibitisha.Wizara ya kilimo ni chaka la wizi na Bashe ndio midfielder
Je ukiahirisha kufikiri kwa nafsi siyo tatizo la afya ya akili a. k. a kujizima data
Mpina atakuwa ana tatizo la afya ya akili (kwamba ni kichaa)? Hoja imetolewa na mbunge ambaye kaonyesha wasiwasi kuhusu afya ya akili ya mbunge Mpina.
Ukichaa ni moja ya mago hwa yanayotibiwa na Hospitali yetu bingwa kabisa ya afya ya akili, Milembe, ambayo haiko mbali na viunga vya Bunge.
Mbunge Mpina ni mbunge aliyetengwa na wabunge wote na hata viongozi wa CCM mkoani kwake, kila mtu akimkimbia gete isuke.
PIA SOMA
- News Alert: - Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15
Tender ya kuagiza mbolea za ruzuku aikuwa na ushindaniKaiba nini mbona mmeshindwa kuthibitisha.