Musukuma: Luhaga Mpina achunguzwe Afya ya Akili

Qualification za kupata wabunge zibadilike, hatuwez pata wabunge wa hovyo kama msukuma, 0 facts, 0 points , yeye ni bendera fuata upepo tu
 
Rango mwenyewe hana adabu kabisa
 
Hawa wabunge inabidi sisi wapiga kura ndio tuwaadhibu kwenye ballot paper hata akiiba kura ajijue kabisa wananchi hawajamchagua
Hapana. Sikubaliani na hoja yako hata kidogo.
"...hata akiiba kura ajijue kabisa wananchi hawajamchagua"?

Huyo mbunge atakuwa bado haja adhibiwa, kama bado ataachwa aibe kura. Adhabu sahihi ni kukataa kura za wapiga kura zisiibiwe. Anaye thubutu kufanya hivyo aadhibiwe hapo hapo bila ya kumwonea aibu.
 
Musukuma amechoka Aise, Wananchi wa Geita Mpumzisheni!!! 🙁
 
Mpina hata ye ye ni mwizi, Ila Ali kuwa anasema ukweli, sasa badala ya kenge wa CCM kuchunguza ufisadi wanamwadhibu aliyetoa taharifa ya ufisadi, Little did he know, mtandao wa wizi wa sukari sio MTU mmoja, pale kuna pesa inaenda ndani ya chama CCM, na ukigusa pesa ya CCM ya kampeni umemgusa Samia kwa sasa, kama CCM waliweza kuiba pesa hadhina kufanyia kampeni(Mkapa alisema), hawawezi, kushindwa kufsnya mpango wa ku piga pesa kwa njia hii, raiiiini, kila Mtz anachangia shilingi kadhaa akinunua sukari!
 
Kama sio Kuna mpango unasukwa dhidi ya upinzani kuelekea uchaguzi, basi hao akina Msukuma ndio wagonjwa wa akili.
 
Na Kwa akili za kawaida, inaonekana na itaendelea kuonekana wazi kwamba karibia wote walipangwa ili wamsurubu… hata viongozi wa dini wakatumia maneno, amelaaniwa’… bado speaker akawa fofofo…
Kilichotokea jana kwenye ule mjadala ndio classic definition yenyewe ya kumkosea mtu heshima…
Mtu anatamkiwa live kwamba Ana changamoto ya afya … speaker fofofo…
Halafu hapo hapo anadai kwamba kakosewa heshima…
Si angemtaka Msukuma afute ile kauli Kama kweli alimaanisha “ kukosewa heshima?
Mkuki Kwa nguruwe tu…
 
Wote wanaoshiriki kulipeleka Taifa pabaya mkono wa Mungu utawashukia kila mtu kwa muda wake. Amina.
Mungu hayupo hivyo mzee usikalili na ndio maana tangu zama za mitume na manabii watu walipigana kuitafuta haki na mungu aliwaunga mkono
 
Yaani punguani Musukuma anajiona ana akili kumpita Mpina? Yeye Mysukuma kupokea rushwa ya dola 50K, V8 na kujengewa nyumva Dubai ili awe kinara wa kuwatetea DPW, anajiona ana akili sana, wakati hao walioamua kumhonga waliona wazi hoja ya kutetea ile IGA ya kishenzi ni lazima wawapate watu wajinga wenye tamaa ya utajiri.
 
Yeye alitaka vikao vifanyikie wapi?? Mnamtaka mtu awaletee ushahidi, angeupataje bila kufanya vikao? Jinga wakubwa nyie
 
Huyo hajawahi kuwa Muadilifu. Kabla ya kuingia kwenye siasa alikuwa tishio mtaani!! Watu waliporwa Kwa nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…