Musukuma: Luhaga Mpina achunguzwe Afya ya Akili

Wanasiasa jamii ya Luhaga Mpina huwa Wana tabia ya kufifia Leo na ku rejuvenate baadae!
 
Wasukuma wameanza kuparuana wenyewe.hii ni dalili tosha kuwa wasukuma si wamoja tena wao pia wamejikita kwenye uchawa.hii ni hatari sana.wakati nasoma shule ya msingi kule bariadi wasukuma walikuwa na upendo sana lkn hiki kizazi cha sasa ni hovyo kabisa.
 
Sasa kama unajua sana si ungempa huo ushahidi Mpina ili asisulubiwe na kamati? Yaani ushahidi hamna, mnabaki kuropoka tu.
 
Sasa kama unajua sana si ungempa huo ushahidi Mpina ili asisulubiwe na kamati? Yaani ushahidi hamna, mnabaki kuropoka tu.
Ulitaka Mpina awape ushahidi gani zaidi.

Inaonekana ujamsikiliza hata huyo Mpina mwenyewe, yeye anazo na tarehe za barua ambazo viwanda viliomba vibali, tarehe walizopewa ruhusa na short notice waliyopewa ya kuleta sukari ambayo ni unrealistic ‘lead time’.

Ana ushahidi wa uzalishaji na tonne zilizozalishwa katika miezi ambayo Bashe anaongopa hakukuwa na uzalishaji; and more kuhusu ufisadi unaonendelea kilimo.

Wewe unadhani kwanini badala ya kujibu hoja zake wamekimbilia kubadilisha mziki na kuja madai ya kutomuheshimu speaker na bunge.

Bunge na speaker limejidhalilisha siku ya jana.
 
Msukuma alikuwa mtekaji wa mabasi ya abiria.

Hiyo ni kweli. Wengi wanaomfahamu wanadai chanzo chake kikuu cha mtaji wa biashara zake kilitokana na ujambazi. Sawa na Mabina. Halafu wote baada ya kunufaika na ujambazi walikuja kuwa wenyeviti wa CCM. Ndiyo maana hatustahili kushangaa tunapoona CCM mara nyingi inasimama na majambazi. Kwa sababu ndani yake, tena mpaka kwenye uongozi kuna majambazi maharamia yaliyojaa damu za watu.
 
Mimi naungana kabisa na Msukuma

Bashe anatakiwa kulindwa Kwa nguvu zote ni hazina Kwa taifa ana akili nyingi mno na Yuko more practical sio theoretical kwenye utatuzi na solutions za kero mbalimbali

Mpina anachofanya ni kujaribu kuua political future za vijana waliopewa madaraka wanaofanya vizuri

Bashe Yuko vizuri mno

Bashe keep it up

Usikatishwe tamaa na yeyote

Nchi inahitaji vijana smart kichwani kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…