Musukuma: Nilikuwa bingwa wa kutorosha dhahabu. Alifilisika na kuuza ngano 'inayoharibika'

Kwahiyo leo nikikiri kuwa nilimuua mtu fulani niachwe kisa nimekiri?
 
Anajaribu kujustify hela alizohongwa na mwarabu [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 

Hivi jinai ina ukomo?

Akamatwe huyu hapo hapo studio na washirika wake kokote waliko na bila kuchelewa.

Kwamba DPP, mahakama au polisi wanasubiri au kuhitaji ushahidi upi?
 
Hapa ndipo CCM walipotufikisha. Kwamba wizi sio issue ya kughofya tena.
 
Msukuma utampenda tu kumsikiliza hata masaa 10, jamaa kuanzia leo shabiki yake ni muwazi sana nani alikuwa anajuwa JPM alikuwa anaendesha Taxi usiku? andika kitabu msukuma ni hatari sana...
 
Kamkamate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…