Musukuma: Profesa Sospeter Muhongo usomi wake hauna faida kwa Tanzania

You Nailed it....Darasa la Saba hao labda watamdanganya Ndugai lakini sisi tulioenda shule kwa hera ya wazazi wetu Masikini Hatudanganyiki na Uhoro wao
 
Bunge liache kuchukia wasomi.Msukuma Rudi darasani na huyo Livingston. Professor Ni mtu muhimu katika jamii.Ni bora msukuma arudil kwenye biashara yake ya kuuza simu mbovu huko Tanga kuliko kuwa mpiga porojo bungeni
.
 
Msukuma ni la saba ila ana utajiri ambao ukoo wako wote hawawezi kuwa nao pamoja na kumaliza kwao form 4
Daah [emoji1787][emoji1787] unaufahamu ukoowangu mkuu? Hata hivyo kuwa tajiri si lazima uwe msomi mkuu.
 
Ndagu hizo za kisukusu. ūsubiri tu atapukutika. Mpakaaa
 
Mzee hizo ndagu ulimpa wewe? Ina maana mtu dizaini ya Musukuma hafai kumiliki utajiri ambao hana, usichokijua ni kwamba jamaa kaanza ku-fight kitambo sasa komaa na ndagu
Ndagu hizo za kisukusu. ūsubiri tu atapukutika. Mpakaaa
 
Daah [emoji1787][emoji1787] unaufahamu ukoowangu mkuu? Hata hivyo kuwa tajiri si lazima uwe msomi mkuu.
Sasa unaona msukuma na udarasa la saba wake kamzidi maarifa muhongo
 
Kuwa tajiri haiitaji kuwa msomi.
zamani siyo siku hizi. Lazima shule ipande uongee kiinglish km huko Dubai .china uk.Usa kwa wajanja.

Humo ndani kwenu mtafilisiwa na wajinga.
 
Waliondoa wapinzani sasa wamebaki wao wanajadili watu badala ya vitu
 
Mzee hizo ndagu ulimpa wewe? Ina maana mtu dizaini ya Musukuma hafai kumiliki utajiri ambao hana, usichokijua ni kwamba jamaa kaanza ku-fight kitambo sasa komaa na ndagu
nilimpa mimi?????
Ame faiti akasahau kusoma?? Mahesabu anapigaje bila shule?? Biashara kubwa siyo kujumlisha na kutoa tu....

Ina maana majini yanampigia!!

Ok! Amefanyaje manunuzi ya yutong kumi! Wakati hajui kiinge.

Gachuma hakusoma mwanzo. lkn ilibidi akasome upya mpaka sasa hakamatiki kwa mibiashara ya kimataifa huko australia ana kimbiza.
Huko WTU ataongea nini km hata Hujui english tu??
Bado huoni kuwa ni majini hayo yanamletea??

Hata biblia imetaja majini tunajua!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Utajiri haupatikani kwa kigezo cha elimu na wala mwenye elimu halazimiki kuwa tajiri kwa sababu ya elimu yake.
 
Katiba ina madhaifu sana ! Imagine minimum requirement ya mtunga sheria ni KKK na darasa la 7 unategemea nini hapo
 
umenifikirisha sana, najiuliza wakati wanachora hizo kuta na kinyesi, walichovya kwa kidole au walitumia nini bado si amini
ila wewe sio mtu wa kwanza kulalamikia vyoo vya UDOM, miaka miwili iliyopita kuna mtu alienda UDOM akaishi hapo kama siku mbili kwenye room ya rafiki yake, aliniambia vyoo vya UDOM ni vichafu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…