Musukuma: Profesa Sospeter Muhongo usomi wake hauna faida kwa Tanzania

Tukubaliane kimsingi mbunge aliyeishia darasa la saba hawezi akajilinganisha na hata mtu aliyeishia form 4 katika uwanja mpana wa kupambanua mambo. Geita wamekula hasara
Hakika kabisa mkuu.
 
Wanazalaulika sana ila mda mwingine wanatoa pointi mkuu
wasukuma washamba sana hawana wasomi?? wanachagua watu wakulialia tuuu!!
Oooh!! Nimezarauliwa saabu drs la saba

Oooh! mie tajiri!!! Utajiri gani huwezi lisha wabunge,shule tu, Mama ntilie bure. hata week moja tu.
Angalia Mengi tajiri msomi mwenye nidhamu alitoa mikopo kwa waalimu wote.bila kuteteleka

Tajiri asiye na nidhamu anapayuka hovyo.kwa msomi tena km baba yake.je maskini si atawatemea mate.
 
Sawa mkuu upo sahihi.
Kwani ushamba ni nini?

Hapo nakupinga wasomi wapo wengi.
Sema labda uwe na chuki binafsi
Ushamba ni...
hali ya mtu au kundi la watu flani,ktk jamiifulani kutokuwa na weledi,uwezo, maarifa, juhudi na ujuvi wa mambo ya kisasa na ya kawaida mno, yanayotumika kumudu maisha yao ya kila siku, ktk jamii husika, kiuchumi kisiasa na kiutamaduni.

Kiukweli hatuna namna ya kumsadia huyo Mbunge mzee wako.

Dawa ni msukuma kwenda shule tu! Siyo kuponda professional ya mtu mwengine hadharani hivo.sababu ya kinyongo cha kukosa alicho nacho mwenzako...ndivo mlivo!!

Mbunge km huyu ndio waleee waliokuwa wanacheka wenzao shuleni eti wametumwa na kijiji. Kisa wanasoma sana, roho zinawauma.

Tena bila aibu muhongono ni level ya baba yako aliye kuzaa??kiafrica tu ulikosea! Kibongo tayari ni anatembea na laana huyo kijana. Au Alisha laaniwa kitambo labda.

Hana akili ya ku present jambo kistaarabu, hizi skills za,uvumilivu ustaarabu si lazima uende shule ya kidhuungu!

ni taaluma zetu humu humu za kijadi africans tulifundishwa kijijini kwetu jinsi ya kuheshimu wazee!

Hata akijamba hadharani. Unapiga kimya, akifanya ujinga
kucheka ni laana tosha!

Huyo mbunge hana born with skills ya ku present jambo kwa mantiki!! Babu yenu Muhongo siyo yesu!!hivo basi

lazima tu akosee!! Ktk career yake no matter what come!!ndio utimilifu wa mwanadamu! Nyerere alikosea meeengi mno na aliwahi kukili.

Hata weye familia yenu una makosa kibao!....yakufanyana accidentally wamekunyanyapaa??

Manabii km Yuda,Daudi,Musa,petro nk hawa walitembea na Mungu hasa, tena km rafiki yao lkn walimkosea Mungu wetu sana tu, mara kibao,Je walidhalilishwa??

yaani yule tulie umbwa kwa mfano wake hakuwazomea wala kuwa disqualify hadharani walioshindwa km huyu mbunge wako alivofanya.yeye nani?..

Sijui kaumbwa na nani huyu...anyway anaijua siri.

mtu asiye kuwa na skills ya uvumilivu ktk kazi yake hafai hata kuongoza kundi la ng'ombe.kondoo.hata mbuzi manake watapotea tu. Ajili ya chuki na uzwazwa na huo utajiri wake ni ndago za kisukusu kabisaaa...subiri.

Mbunge km huyu mwenye mipasho Hana ile kitu.. born with talents to be a leader.
Sitaki kusema Wasukuma walikurupuka kumchagua. bali ni wazi En simply matokeo ya kuiba kura haya.....
Si ana hela?? !! Alishindwa kwenda hapo chuo cha siasa kigambo??japo......

Naivity in english means.....ngoja kwanza.....narudi...
 
Tukubaliane kimsingi mbunge aliyeishia darasa la saba hawezi akajilinganisha na hata mtu aliyeishia form 4 katika uwanja mpana wa kupambanua mambo. Geita wamekula hasara
Hahahaaa,elimu haiongezi akili wala uzalendo,tofauti ya muhongo na msukumu ni uadilifu na uzalendo,km wewe ni msomi huwezi kufunga mikataba ya kimangungo namna hiyo mikataba ya muhongo,
 
kwenye pointi ya " LA saba wamekulia kwenye kazi" nimemuelewa... ifike mahala tuwajaribu na hawa watu kuliko hao wanaojiita maprofesa...
Na hii ya kukulia kazini ndo utakuta wazungu wengi huko ughaibuni ambao ni CEOs ni wale walokulia kazini.

Na ndo waziendesha biashara zenye majina makubwa.

Huwa waanza kuwafunza vijana tokea wadogo na hukulia kwenye kazi na huanza kusoma vikozi maalum vya uongozi wa biashara hadi wanakuwa wabobezi.

Sasa Tanzania leo tuna waziri mkuu anafukuzana na wapiga madili ambao wameishaharibu mashine za kuuzia tiketi wa mabasi ya mwendokasi.

Kule bandarini wameharibu tayari mashine ya kudhibiti mapato ya maingizo kwa TRA.

Baadhi ya sisi watanzania ni wapumbavu na malofa na ndo nafikiri tumeandikwa kwenye nyuso zetu.

Ndo maana wengine walidiriki kumtuhumu hayati JPM kuwa ni mhutu wakimaanisha hakuwa mtu wa kawaida katika kufikiri.

Ni kweli pamoja na kasoro alokuwa nazo lakini alikuwa "genius" katika kufikiria aifanyie nini nchi hii.
 
Ushamba ni...
hali ya mtu au kundi la watu flani,ktk jamiifulani kutokuwa na weledi,uwezo, maarifa, juhudi na ujuvi wa mambo ya kisasa na ya kawaida mno, yanayotumika kumudu maisha yao ya kila siku, ktk jamii husika, kiuchumi kisiasa na kiutamaduni.

Kiukweli hatuna namna ya kumsadia huyo Mbunge mzee wako.

Dawa ni msukuma kwenda shule tu! Siyo kuponda professional ya mtu mwengine hadharani hivo.sababu ya kinyongo cha kukosa alicho nacho mwenzako...ndivo mlivo!!

Mbunge km huyu ndio waleee waliokuwa wanacheka wenzao shuleni eti wametumwa na kijiji. Kisa wanasoma sana, roho zinawauma.

Tena bila aibu muhongono ni level ya baba yako aliye kuzaa??kiafrica tu ulikosea! Kibongo tayari ni anatembea na laana huyo kijana. Au Alisha laaniwa kitambo labda.

Hana akili ya ku present jambo kistaarabu, hizi skills za,uvumilivu ustaarabu si lazima uende shule ya kidhuungu!

ni taaluma zetu humu humu za kijadi africans tulifundishwa kijijini kwetu jinsi ya kuheshimu wazee!

Hata akijamba hadharani. Unapiga kimya, akifanya ujinga
kucheka ni laana tosha!

Huyo mbunge hana born with skills ya ku present jambo kwa mantiki!! Babu yenu Muhongo siyo yesu!!hivo basi

lazima tu akosee!! Ktk career yake no matter what come!!ndio utimilifu wa mwanadamu! Nyerere alikosea meeengi mno na aliwahi kukili.

Hata weye familia yenu una makosa kibao!....yakufanyana accidentally wamekunyanyapaa??

Manabii km Yuda,Daudi,Musa,petro nk hawa walitembea na Mungu hasa, tena km rafiki yao lkn walimkosea Mungu wetu sana tu, mara kibao,Je walidhalilishwa??

yaani yule tulie umbwa kwa mfano wake hakuwazomea wala kuwa disqualify hadharani walioshindwa km huyu mbunge wako alivofanya.yeye nani?..

Sijui kaumbwa na nani huyu...anyway anaijua siri.

mtu asiye kuwa na skills ya uvumilivu ktk kazi yake hafai hata kuongoza kundi la ng'ombe.kondoo.hata mbuzi manake watapotea tu. Ajili ya chuki na uzwazwa na huo utajiri wake ni ndago za kisukusu kabisaaa...subiri.

Mbunge km huyu mwenye mipasho Hana ile kitu.. born with talents to be a leader.
Sitaki kusema Wasukuma walikurupuka kumchagua. bali ni wazi En simply matokeo ya kuiba kura haya.....
Si ana hela?? !! Alishindwa kwenda hapo chuo cha siasa kigambo??japo......

Naivity in english means.....ngoja kwanza.....narudi...
🙏🙏🙏Sawa mkuu
 
Usomi wake sasa ndio unaonekana. Tuache kutukana wasomi tunawakatisha tamaa
 
Usomi ni kuwa na elimu ....kitabu kina elimu ila hakina AKILI hivyo ndiyo maprof na wasomi wetu walivyo wanayo ELIMU ILA HAWANA AKILI
 
Back
Top Bottom