Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Mkuu, ukisoma uzi kwa makini utagundua Musukuma hoja yake iko wapi.Ubora wa u-darasa la saba wa msukuma ungeeleweka kama angejikita kupinga hoja ya prof. Mhongo kwa hoja mzito. Otherwise msukuma anasukuma upepo tu.
sasa nani kakwambia nimesoma [emoji23][emoji23][emoji23] tulia acha kupanikWewe na elimu yako umenisaidia nini katika maisha yangu, msomi aliyeelimika hana muda wa kupoteza kama wewe si ajabu una digrii ya chupi unajiita msomi
Mbona wanasema msukuma ni tajiri na hajasoma? Kwahiyo ana utajiri wa kizamani?zamani siyo siku hizi. Lazima shule ipande uongee kiinglish km huko Dubai .china uk.Usa kwa wajanja.
Humo ndani kwenu mtafilisiwa na wajinga.
Zuberi ya MwanzaKumiliki mabasi unaita utajiri?
Nioneshe kampuni ya mabasi iliyodumu miaka 40 ukiondoa Simba mtoto ya TANGA
Tukubaliane kimsingi mbunge aliyeishia darasa la saba hawezi akajilinganisha na hata mtu aliyeishia form 4 katika uwanja mpana wa kupambanua mambo. Geita wamekula hasara
te!!te!!tweee. Kabisaaa! ni mateso Mabaya kuwa tajiri bila Elimu.Mbona wanasema msukuma ni tajiri na hajasoma? Kwahiyo ana utajiri wa kizamani?
hawana lolote zaidi ya ndago.wajukuu wa mwana marundiKuwa na vyeti vya shule ni kitu kimoja na kuelimika ni kitu kingine. As a matter of fact, the acquisition of real education picks up steam after school years.
Lusinde na Msukuma hawana vyeti vya shule kubwa, lakini elimu waliyoipata through life experience ni kubwa kuliko hata ya baadhi ya wale wenye vyeti vya elimu kubwa!
Wanazalaulika sana ila mda mwingine wanatoa pointi mkuuWa la saba ni wa la saba tu hata ujitutue vipi.
Mnaongelea wasio bungeni.issue ya drs la saba bungeni ni bomu litalipuka mapemaWabunge wa darasa la saba waibua mazito bungeni. ( April 14,2021 Dodoma- bungeni)
Wabunge hao ni Lusinde na king Msukuma.
Hoja zao
King Msukuma: Wabunge darasa la saba wapewe hata shahada ya udaktari wa heshima kwa sababu wanatoa hoja zaidi ya maprofesa.
Kazi ya maprofesa ni kufuata.
Livingston Lusinde wanao mlaumu hayati Dr Magufuli wajitathimini kwa hoja ya Mbowe kufungiwa account zake za Benki. Kwani Magufuli alikuwa BoT? (Amesema hayo Lusinde)
Pia amemtaka Tundu Lissu kumuacha mama Samia afanye kazi asimuingilie.
Zaidi tazama 👇
Wanazalaulika ila mda mwingine wanaongea pointiMnaongelea wasio bungeni.issue ya drs la saba bungeni ni bomu litalipuka mapema
Ila kwa vile ni darasa la saba. Duh sawaMnaongelea wasio bungeni.issue ya drs la saba bungeni ni bomu litalipuka mapema
Kwa sasa Bunge lina Wajumbe ndio maana Akili ndogo zimetawala kuna Siku Wajumbe hao watasema Watendaji wa Serikali lazima wawe na Elimu ya darasa la 7 kushuka chiniWabunge wa darasa la saba waibua mazito bungeni. ( April 14,2021 Dodoma- bungeni)
Wabunge hao ni Lusinde na king Msukuma.
Hoja zao
King Msukuma: Wabunge darasa la saba wapewe hata shahada ya udaktari wa heshima kwa sababu wanatoa hoja zaidi ya maprofesa.
Kazi ya maprofesa ni kufuata.
Livingston Lusinde wanao mlaumu hayati Dr Magufuli wajitathimini kwa hoja ya Mbowe kufungiwa account zake za Benki. Kwani Magufuli alikuwa BoT? (Amesema hayo Lusinde)
Pia amemtaka Tundu Lissu kumuacha mama Samia afanye kazi asimuingilie.
Zaidi tazama [emoji116]