Sawa mkuu upo sahihi.
Kwani ushamba ni nini?
Hapo nakupinga wasomi wapo wengi.
Sema labda uwe na chuki binafsi
Ushamba ni...
hali ya mtu au kundi la watu flani,ktk jamiifulani kutokuwa na weledi,uwezo, maarifa, juhudi na ujuvi wa mambo ya kisasa na ya kawaida mno, yanayotumika kumudu maisha yao ya kila siku, ktk jamii husika, kiuchumi kisiasa na kiutamaduni.
Kiukweli hatuna namna ya kumsadia huyo Mbunge mzee wako.
Dawa ni msukuma kwenda shule tu! Siyo kuponda professional ya mtu mwengine hadharani hivo.sababu ya kinyongo cha kukosa alicho nacho mwenzako...ndivo mlivo!!
Mbunge km huyu ndio waleee waliokuwa wanacheka wenzao shuleni eti wametumwa na kijiji. Kisa wanasoma sana, roho zinawauma.
Tena bila aibu muhongono ni level ya baba yako aliye kuzaa??kiafrica tu ulikosea! Kibongo tayari ni anatembea na laana huyo kijana. Au Alisha laaniwa kitambo labda.
Hana akili ya ku present jambo kistaarabu, hizi skills za,uvumilivu ustaarabu si lazima uende shule ya kidhuungu!
ni taaluma zetu humu humu za kijadi africans tulifundishwa kijijini kwetu jinsi ya kuheshimu wazee!
Hata akijamba hadharani. Unapiga kimya, akifanya ujinga
kucheka ni laana tosha!
Huyo mbunge hana born with skills ya ku present jambo kwa mantiki!! Babu yenu Muhongo siyo yesu!!hivo basi
lazima tu akosee!! Ktk career yake no matter what come!!ndio utimilifu wa mwanadamu! Nyerere alikosea meeengi mno na aliwahi kukili.
Hata weye familia yenu una makosa kibao!....yakufanyana accidentally wamekunyanyapaa??
Manabii km Yuda,Daudi,Musa,petro nk hawa walitembea na Mungu hasa, tena km rafiki yao lkn walimkosea Mungu wetu sana tu, mara kibao,Je walidhalilishwa??
yaani yule tulie umbwa kwa mfano wake hakuwazomea wala kuwa disqualify hadharani walioshindwa km huyu mbunge wako alivofanya.yeye nani?..
Sijui kaumbwa na nani huyu...anyway anaijua siri.
mtu asiye kuwa na skills ya uvumilivu ktk kazi yake hafai hata kuongoza kundi la ng'ombe.kondoo.hata mbuzi manake watapotea tu. Ajili ya chuki na uzwazwa na huo utajiri wake ni ndago za kisukusu kabisaaa...subiri.
Mbunge km huyu mwenye mipasho Hana ile kitu.. born with talents to be a leader.
Sitaki kusema Wasukuma walikurupuka kumchagua. bali ni wazi En simply matokeo ya kuiba kura haya.....
Si ana hela?? !! Alishindwa kwenda hapo chuo cha siasa kigambo??japo......
Naivity in english means.....ngoja kwanza.....narudi...