Huduma zinaweza kuwa duni, pili itawaongezea gharaama wale ambao tayari walikuwa wanapataa huduma bora kupitia kujigharamia kwani watachangia bima kwa lazimaa lakini kwa sababu wao walikuwa tayari wanatibiwa hospitali bora za binafsi hawaatakubali kupata huduma mbovu katika hospitali za umma. Hivyo watakatwa kama kawaida kwa sababu ni lazima lakini wataaenda private kutibiwa kwa gharama zao binsfsi labda mfuko uwaruhusu waendelee kutibiwa hospitali za binafsi kwa bima kama ilivyo sasa.Hawa waajiriwa sekta ya umma na binafsi ndiyo wanatakiwa kuwabeba wakulima, wavuvi, wafugaji, machinga, mama-ntilie n.k ? Kwanini wabebeshwe mzigo wa asilimia 70 wanaofanya shughuli zingine binafsi.
Huu mfuko wa bima ya afya lazima utaelemewa labda serikali iseme pia itakuwa inatenga fedha kwenda mfuko huo kwa ajili ya wale wengi amvao siyo waajiriwa ktk serikali na sekta rasmi ya binafsi.