Muswada wa Bima ya Afya kwa wote wasomwa Bungeni

Huduma zinaweza kuwa duni, pili itawaongezea gharaama wale ambao tayari walikuwa wanapataa huduma bora kupitia kujigharamia kwani watachangia bima kwa lazimaa lakini kwa sababu wao walikuwa tayari wanatibiwa hospitali bora za binafsi hawaatakubali kupata huduma mbovu katika hospitali za umma. Hivyo watakatwa kama kawaida kwa sababu ni lazima lakini wataaenda private kutibiwa kwa gharama zao binsfsi labda mfuko uwaruhusu waendelee kutibiwa hospitali za binafsi kwa bima kama ilivyo sasa.
 
Kwanza ukienda hospital kwa wanaotumia bima mara uambiwe mtandao uko chini subiri,sasa mtu unaumwa unaambiwa usubiri wakilazimisha iwe kwa wote wana uhakika mifumo yao itaweza kumudu
 
Jambo moja ni wazi sasa, kutatokea huduma mbovu Tanzania haijawahi kuona.
Kama watu wote watachangia kwa lazima(Kisheria ) kama Bima ya magari ,mfuko utakua na ukwasi mkubwa
 
Mimi nilijua Bima ya Afya kwa wote serikali ndio itakuwa inalipa mpunga kumbe ni mtu anayetaka ndio anapata,mbona sioni utofauti na bima ya sasa? MImi naona seriklia inajitafutia mapato tu kwa wafanyakzai wa secotr binafsi kwa hiyo 12% ya salary.
 
km huuumwi si unamshukuru Mungu? Kuna suala la wategemezi, siku ukipatwa na tatizo na huna pesa ndio utakumbuka umuhimu wa hii sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…