PostGE2025 Muswada wa Bunge la Marekani ni kuingilia mchakato wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
40,051
Reaction score
51,217
Baada ya Tume ya Othman Chande , Rais kaunda tume nyingine ya Uchunguzi wa Kijinai.

Hii sasa ndio itakuja na majibu ya nani kahusika na hatua gani zichukuliwe.

Bado hatujapata majibu yake, kule nako marekani kaja na muswada wake katika bunge akidai kuwachukulia hatua baadhi ya viongozi.

Utata unapokuja ni kama Taarifa ya tume ikatofautiana na ile hatua itayochukuliwa na Marekani.

Marekani aseme namfungia huyu kwakuwa kahusika wakati ripoti ya tume haisemi hivyo.

Kwanini marekani wasisuburi matokeo ya tume ndipo wachukue mapendekezo yake na kuyafanyia kazi.

Hawaoni mchakato wao uingilia mchakato wa tume ya haki jinai.

Tume ya haki jinai inaundwa na Rais kutokana na hitaji la kisheria, ni tume halali na ni mchakato ambao unatambulika mpaka na mahakama ya kimataifa ya ICC.

Kutokana na kanuni za kufungua mashauri ICC.

ICC inaingia pale ambapo michakato ya ndani imekwama.

Hivyo hatua za kuundwa kwa tume ya uchunguzi za kijinai zimekidhi matakwa ya sheria za ndani na kimataifa.

Hatua ya kuingilia mchakato huo ni kuipoka nchi mamlaka yake, tunaposema ni kuingiliwa kwa national sovereignty ndivyo tunavyo maanisha.

Marekani wanapoka mamlaka ya nchi kuendesha mambo yake bila kuingiliwa.

Wasubiri kwanza matokeo ya tume ya uchunguzi wa kijinai.
 
Uue watu,halafu ujichunguze dunia inakuangalia tu.safari hii ccm mmevamia mtumbwi wa vibwengo
Icc inaingia pale mchakato wa ndani ukishindwa kutoa majibu bado hatujafikia huko.

Marekani wanafanya tume ikose mamlaka yake yaliyowekwa kisheria kwa sheria zetu za ndani.

Inaonekana haina maana wakati ni zao la sheria halali za nchi yetu.
 
Kwa vipi? Wamezuia uchunguzi kufanyika? Kwani mtu kuzuiwa kuingia nchini kwao kunaingilia vipi hiyo process? Mbona kuna mtanzania alitangazwa PNG lakini leo ni waziri na anafanya kazi zake kwa weledi mkubwa. Shida pekee anayoweza kupata ni kukataliwa kuingia Marekani kuangali Kombe la Dunia.

Amandla...
 
Hatua watazochukua marekani haziishii kwenye viza tu.

Hatua za marekani ni matokeo ya uchunguzi upi??
 
Icc inaingia pale mchakato wa ndani ukishindwa kutoa majibu bado hatujafikia huko.

Marekani wanafanya tume ikose mamlaka yake yaliyowekwa kisheria kwa sheria zetu za ndani.

Inaonekana haina maana wakati ni zao la sheria halali za nchi yetu.
Mkuu usitetee mauaji,tuwe na huruma kwa watanzania wenzetu waliouawa kwa tamaa ya madaraka kwa watu wachache,waliohusika wanapaswa kuwajibishwa.wanachokifanya sijui tume sijui nini ni kupoteza tu muda
 
Baada ya Tume ya Othman Chande , Rais kaunda tume nyingine ya Uchunguzi wa Kijinai.

Hii sasa ndio itakuja na majibu ya nani kahusika na hatua gani zichukuliwe.

Bado hatujapata majibu yake, kule nako marekani kaja na muswada wake katika bunge akidai kuwachukulia hatua baadhi ya viongozi.

Utata unapokuja ni kama Taarifa ya tume ikatofautiana na ile hatua itayochukuliwa na Marekani.

Marekani aseme namfungia huyu kwakuwa kahusika wakati ripoti ya tume haisemi hivyo.

Kwanini marekani wasisuburi matokeo ya tume ndipo wachukue mapendekezo yake na kuyafanyia kazi.

Hawaoni mchakato wao uingilia mchakato wa tume ya haki jinai.

Tume ya haki jinai inaundwa na Rais kutokana na hitaji la kisheria, ni tume halali na ni mchakato ambao unatambulika mpaka na mahakama ya kimataifa ya ICC.

Kutokana na kanuni za kufungua mashauri ICC.

ICC inaingia pale ambapo michakato ya ndani imekwama.

Hivyo hatua za kuundwa kwa tume ya uchunguzi za kijinai zimekidhi matakwa ya sheria za ndani na kimataifa.

Hatua ya kuingilia mchakato huo ni kuipoka nchi mamlaka yake, tunaposema ni kuingiliwa kwa national sovereignty ndivyo tunavyo maanisha.

Marekani wanapoka mamlaka ya nchi kuendesha mambo yake bila kuingiliwa.

Wasubiri kwanza matokeo ya tume ya uchunguzi wa kijinai.
Kawashtaki.
 
Wewe kweli kiharusi, Muswada wa Ted Cruz unaingiliaje mambo ya serikali haramu, yaani wamarekani waache kufanya mambo yao kwa sababu Bimsumi anaendeleza usanii wake huku? Kila mtu ashinde mechi zake.
 
Baada ya Tume ya Othman Chande , Rais kaunda tume nyingine ya Uchunguzi wa Kijinai.

Hii sasa ndio itakuja na majibu ya nani kahusika na hatua gani zichukuliwe.

Bado hatujapata majibu yake, kule nako marekani kaja na muswada wake katika bunge akidai kuwachukulia hatua baadhi ya viongozi.

Utata unapokuja ni kama Taarifa ya tume ikatofautiana na ile hatua itayochukuliwa na Marekani.

Marekani aseme namfungia huyu kwakuwa kahusika wakati ripoti ya tume haisemi hivyo.

Kwanini marekani wasisuburi matokeo ya tume ndipo wachukue mapendekezo yake na kuyafanyia kazi.

Hawaoni mchakato wao uingilia mchakato wa tume ya haki jinai.

Tume ya haki jinai inaundwa na Rais kutokana na hitaji la kisheria, ni tume halali na ni mchakato ambao unatambulika mpaka na mahakama ya kimataifa ya ICC.

Kutokana na kanuni za kufungua mashauri ICC.

ICC inaingia pale ambapo michakato ya ndani imekwama.

Hivyo hatua za kuundwa kwa tume ya uchunguzi za kijinai zimekidhi matakwa ya sheria za ndani na kimataifa.

Hatua ya kuingilia mchakato huo ni kuipoka nchi mamlaka yake, tunaposema ni kuingiliwa kwa national sovereignty ndivyo tunavyo maanisha.

Marekani wanapoka mamlaka ya nchi kuendesha mambo yake bila kuingiliwa.

Wasubiri kwanza matokeo ya tume ya uchunguzi wa kijinai.
Marekani hawaji kusoma humu.
 
Kwa nini bunge lenu lisiandae muswada wa sheria kufuta uhusiano na USA. Naona hao USA wanawatesa sana
 
Back
Top Bottom