PostGE2025 Muswada wa Bunge la Marekani ni kuingilia mchakato wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sheria za ndani za nchi zinasema nini kuhusiana na tukio kama hilo.

Je ICC inasema nini kuhusiana na mchakato wa kufungua mashauri katika mahakama hiyo.

Je marekani ndio ICC??
Raisi ndiye amiri jeshi mkuu. Yeye ndiye aliyetoa a.mri wanajeshi wavae sare za polisi na waingie mitaani na kuuwa watu
Hayo unyosema wewe unatuchosha tu kwakuwa unajua na dunia inajia kilichotokea
Ndo nywinywi yenyewe hiyo
Kaa kwa kutulo
 
Baada ya Tume ya Othman Chande , Rais kaunda tume nyingine ya Uchunguzi wa Kijinai.

Hii sasa ndio itakuja na majibu ya nani kahusika na hatua gani zichukuliwe.

Bado hatujapata majibu yake, kule nako marekani kaja na muswada wake katika bunge akidai kuwachukulia hatua baadhi ya viongozi.

Utata unapokuja ni kama Taarifa ya tume ikatofautiana na ile hatua itayochukuliwa na Marekani.

Marekani aseme namfungia huyu kwakuwa kahusika wakati ripoti ya tume haisemi hivyo.

Kwanini marekani wasisuburi matokeo ya tume ndipo wachukue mapendekezo yake na kuyafanyia kazi.

Hawaoni mchakato wao uingilia mchakato wa tume ya haki jinai.

Tume ya haki jinai inaundwa na Rais kutokana na hitaji la kisheria, ni tume halali na ni mchakato ambao unatambulika mpaka na mahakama ya kimataifa ya ICC.

Kutokana na kanuni za kufungua mashauri ICC.

ICC inaingia pale ambapo michakato ya ndani imekwama.

Hivyo hatua za kuundwa kwa tume ya uchunguzi za kijinai zimekidhi matakwa ya sheria za ndani na kimataifa.

Hatua ya kuingilia mchakato huo ni kuipoka nchi mamlaka yake, tunaposema ni kuingiliwa kwa national sovereignty ndivyo tunavyo maanisha.

Marekani wanapoka mamlaka ya nchi kuendesha mambo yake bila kuingiliwa.

Wasubiri kwanza matokeo ya tume ya uchunguzi wa kijinai.
Wakati Repoti ya Tume haisemi??.

Mkunduwako, Tume gan hiyo ???.
 
Hatua watazochukua marekani haziishii kwenye viza tu.

Hatua za marekani ni matokeo ya uchunguzi upi??
Wewe unadhani hawana watu wao Bongo? Unafikiria hawasomi simulizi za wakina Sativa na yule kaka mkenya na dada mganda? Serikali ilichukua hatua gani kuhusu kifo cha kibao na kupotea kwa Polepole? Serikali inapaswa kuyapa uzito mkubwa matukio yote hayo. Badala yake kuna kiongozi anatoa tamko kuwa askari wa Tanzania wana haki ya kumpiga risasi mtu anayewatupia mawe ( natumaini watatoa clarification walimaanisha nini au kuwa hizo taarifa ni za uzushi). Oktoba 29 ni chelewa iliyomvunja mgongo ngamia.

Amandla...
 
Baada ya Tume ya Othman Chande , Rais kaunda tume nyingine ya Uchunguzi wa Kijinai.

Hii sasa ndio itakuja na majibu ya nani kahusika na hatua gani zichukuliwe.

Bado hatujapata majibu yake, kule nako marekani kaja na muswada wake katika bunge akidai kuwachukulia hatua baadhi ya viongozi.

Utata unapokuja ni kama Taarifa ya tume ikatofautiana na ile hatua itayochukuliwa na Marekani.

Marekani aseme namfungia huyu kwakuwa kahusika wakati ripoti ya tume haisemi hivyo.

Kwanini marekani wasisuburi matokeo ya tume ndipo wachukue mapendekezo yake na kuyafanyia kazi.

Hawaoni mchakato wao uingilia mchakato wa tume ya haki jinai.

Tume ya haki jinai inaundwa na Rais kutokana na hitaji la kisheria, ni tume halali na ni mchakato ambao unatambulika mpaka na mahakama ya kimataifa ya ICC.

Kutokana na kanuni za kufungua mashauri ICC.

ICC inaingia pale ambapo michakato ya ndani imekwama.

Hivyo hatua za kuundwa kwa tume ya uchunguzi za kijinai zimekidhi matakwa ya sheria za ndani na kimataifa.

Hatua ya kuingilia mchakato huo ni kuipoka nchi mamlaka yake, tunaposema ni kuingiliwa kwa national sovereignty ndivyo tunavyo maanisha.

Marekani wanapoka mamlaka ya nchi kuendesha mambo yake bila kuingiliwa.

Wasubiri kwanza matokeo ya tume ya uchunguzi wa kijinai.
Haya maneno kamwambie Kombo na Esther Bulaya, na Nyalandu. Tena wata kushúkuru saana , umewapa bonge la pointi
 
Wewe mpuuzi ficha ujinga wako
 
Wana preempty the whole process.
Kauli za Rais na viongozi wa Chama na serikali baada ya October 29 hazija-Preempt michakato ya tume zote zilizoundwa na zitakazoundwa juu ya kile mlichokipa jina “vurugu”?

Unafahamu maana ya kauli ya Rais na implications zake?

Msitufanye watoto, yawezekana tumezaliwa jana lakini sio jana usiku!
 
Baada ya Tume ya Othman Chande , Rais kaunda tume nyingine ya Uchunguzi wa Kijinai.

Hii sasa ndio itakuja na majibu ya nani kahusika na hatua gani zichukuliwe.

Bado hatujapata majibu yake, kule nako marekani kaja na muswada wake katika bunge akidai kuwachukulia hatua baadhi ya viongozi.

Utata unapokuja ni kama Taarifa ya tume ikatofautiana na ile hatua itayochukuliwa na Marekani.

Marekani aseme namfungia huyu kwakuwa kahusika wakati ripoti ya tume haisemi hivyo.

Kwanini marekani wasisuburi matokeo ya tume ndipo wachukue mapendekezo yake na kuyafanyia kazi.

Hawaoni mchakato wao uingilia mchakato wa tume ya haki jinai.

Tume ya haki jinai inaundwa na Rais kutokana na hitaji la kisheria, ni tume halali na ni mchakato ambao unatambulika mpaka na mahakama ya kimataifa ya ICC.

Kutokana na kanuni za kufungua mashauri ICC.

ICC inaingia pale ambapo michakato ya ndani imekwama.

Hivyo hatua za kuundwa kwa tume ya uchunguzi za kijinai zimekidhi matakwa ya sheria za ndani na kimataifa.

Hatua ya kuingilia mchakato huo ni kuipoka nchi mamlaka yake, tunaposema ni kuingiliwa kwa national sovereignty ndivyo tunavyo maanisha.

Marekani wanapoka mamlaka ya nchi kuendesha mambo yake bila kuingiliwa.

Wasubiri kwanza matokeo ya tume ya uchunguzi wa kijinai.
So mlisema ni AI hakuna alieawa?
 
Report ya tume yenyewe itaatamiwa tena na huyo mtu wenu kuwa ni yake! Why waste time?

Wao watatumia maoni ya wanaharakati tu kupiga rungu kama ilivyo kwa Mafwele.

Kwanza inajulikana lengo ni kupoteza muda na matume mfululizo ili wa nje wasipate nafasi ya kufanya maamuzi.

Msheshtukiwa kitambo hiyo janja janja!!😁
 
Back
Top Bottom