PostGE2025 Muswada wa Bunge la Marekani ni kuingilia mchakato wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wewe unadhani hawana watu wao Bongo? Unafikiria hawasomi simulizi za wakina Sativa na yule kaka mkenya na dada mganda? Serikali ilichukua hatua gani kuhusu kifo cha kibao na kupotea kwa Polepole? Serikali inapaswa kuyapa uzito mkubwa matukio yote hayo. Badala yake kuna kiongozi anatoa tamko kuwa askari wa Tanzania wana haki ya kumpiga risasi mtu anayewatupia mawe ( natumaini watatoa clarification walimaanisha nini au kuwa hizo taarifa ni za uzushi). Oktoba 29 ni chelewa iliyomvunja mgongo ngamia.

Amandla...
Unatumia habari za mitandaoni kuhukumu nchi?
 
Baada ya Tume ya Othman Chande , Rais kaunda tume nyingine ya Uchunguzi wa Kijinai.

Hii sasa ndio itakuja na majibu ya nani kahusika na hatua gani zichukuliwe.

Bado hatujapata majibu yake, kule nako marekani kaja na muswada wake katika bunge akidai kuwachukulia hatua baadhi ya viongozi.

Utata unapokuja ni kama Taarifa ya tume ikatofautiana na ile hatua itayochukuliwa na Marekani.

Marekani aseme namfungia huyu kwakuwa kahusika wakati ripoti ya tume haisemi hivyo.

Kwanini marekani wasisuburi matokeo ya tume ndipo wachukue mapendekezo yake na kuyafanyia kazi.

Hawaoni mchakato wao uingilia mchakato wa tume ya haki jinai.

Tume ya haki jinai inaundwa na Rais kutokana na hitaji la kisheria, ni tume halali na ni mchakato ambao unatambulika mpaka na mahakama ya kimataifa ya ICC.

Kutokana na kanuni za kufungua mashauri ICC.

ICC inaingia pale ambapo michakato ya ndani imekwama.

Hivyo hatua za kuundwa kwa tume ya uchunguzi za kijinai zimekidhi matakwa ya sheria za ndani na kimataifa.

Hatua ya kuingilia mchakato huo ni kuipoka nchi mamlaka yake, tunaposema ni kuingiliwa kwa national sovereignty ndivyo tunavyo maanisha.

Marekani wanapoka mamlaka ya nchi kuendesha mambo yake bila kuingiliwa.

Wasubiri kwanza matokeo ya tume ya uchunguzi wa kijinai.
Ficha upumbavu wako. Hiyo tume imesimamisha shughuli za serikali nyingine Duniani?
Icc inaingia pale mchakato wa ndani ukishindwa kutoa majibu bado hatujafikia huko.

Marekani wanafanya tume ikose mamlaka yake yaliyowekwa kisheria kwa sheria zetu za ndani.

Inaonekana haina maana wakati ni zao la sheria halali za nchi yetu.
Mtu Katenganishwa kichwa na kiwiliwili unasubiri Taarifa ya Polisi kuthibitisha kifo chake.
 
Baada ya Tume ya Othman Chande , Rais kaunda tume nyingine ya Uchunguzi wa Kijinai.

Hii sasa ndio itakuja na majibu ya nani kahusika na hatua gani zichukuliwe.

Bado hatujapata majibu yake, kule nako marekani kaja na muswada wake katika bunge akidai kuwachukulia hatua baadhi ya viongozi.

Utata unapokuja ni kama Taarifa ya tume ikatofautiana na ile hatua itayochukuliwa na Marekani.

Marekani aseme namfungia huyu kwakuwa kahusika wakati ripoti ya tume haisemi hivyo.

Kwanini marekani wasisuburi matokeo ya tume ndipo wachukue mapendekezo yake na kuyafanyia kazi.

Hawaoni mchakato wao uingilia mchakato wa tume ya haki jinai.

Tume ya haki jinai inaundwa na Rais kutokana na hitaji la kisheria, ni tume halali na ni mchakato ambao unatambulika mpaka na mahakama ya kimataifa ya ICC.

Kutokana na kanuni za kufungua mashauri ICC.

ICC inaingia pale ambapo michakato ya ndani imekwama.

Hivyo hatua za kuundwa kwa tume ya uchunguzi za kijinai zimekidhi matakwa ya sheria za ndani na kimataifa.

Hatua ya kuingilia mchakato huo ni kuipoka nchi mamlaka yake, tunaposema ni kuingiliwa kwa national sovereignty ndivyo tunavyo maanisha.

Marekani wanapoka mamlaka ya nchi kuendesha mambo yake bila kuingiliwa.

Wasubiri kwanza matokeo ya tume ya uchunguzi wa kijinai.
Tume Gani??
 
Kumbe yule mdau aliposema "taarifa zinatoka juu kuja chini" alimaanisha huko Europe na america!!?

Yaani kumbe chadema walitumika kulianzisha TU ili imwagike ikishamwagika TU wale jamaa waanze kutoa matamko!!?

Scenario just scenario I say scenario!!

Hapo mwaka 1994 kina TALL walilianzisha msituni si mnakumbuka,kukahitajika kamkutano pale BONGO ili kusuluhisha mambo si ndio juvenile habyarimana na mwenzie wakaenda pale baadae wakapanda ka ndege kale kaendege kaka waka!!

Sasa sijui haya mambo yapoje yapoje!!

ni muda umefika wa kutumia misafara ya magari na sio vindege ndege hivi ni vibaya!!

Magoti ya TALL Siiyapendi kabisa!!

Mi nawaza TU mjue nawaza nikichangia uchumi wa BUNDLE na wanatu nyonyoa sana siku hizi!!
 
Unatumia habari za mitandaoni kuhukumu nchi?
Sio habari za mtandaoni peke yake. Kwani ni siri kuwa Ali Kibao aliuawa? Au Polepole amepotea? Au wale waandishi wa habari waliwekwa ndani? Au watu waliuawa tarehe 29 Oktoba mwaka jana na kuendelea. Kuwa kanisa la Gwajima lilipata matatizo ( ujue pia kuwa wabunge wengi wa Marekani ni walokole)? Hapo bado waliyoshuhudia wenyewe wakati wa uchaguzi wa mwaka jana. Aidha, kuna raia wengi wa Marekani wenye asili ya Tanzania ambao wanaweza kuwapa taarifa walizopata kutoka kwa ndugu zao. Na wana siasa wa kimarekani wanawasikiliza sana wapiga kura wao. Hawadanganyiki kirahisi. Ukiona wanakumbatia uongo kama Sauzi ujue wana ajenda yao.

Amandla...
 
Kauli za Rais na viongozi wa Chama na serikali baada ya October 29 hazija-Preempt michakato ya tume zote zilizoundwa na zitakazoundwa juu ya kile mlichokipa jina “vurugu”?

Unafahamu maana ya kauli ya Rais na implications zake?

Msitufanye watoto, yawezekana tumezaliwa jana lakini sio jana usiku!
Akhsante sana binti kiziwi kwa mchango huu.
Kauli kama "wamelipwa" ,"vijana kutoka nnje ya nchi", hizi ni kauli za kuweka angalizo kwa wale wanaotakiwa kutengeneza movie hii.

Kwa ufupi, scricpt ya movie yoyote inayotengenezwa na GoT & Assoc. kuhusu 29 October 2025+, ipo tayari na imeandikwa na Samia kwa kauli zake.
 
Mulamula? Seriously?

She doesn’t have the best communication skills.

Vyovyote vile, kwa mauaji waliyoyafanya, hata hata ungemhusisha Abraham Lincoln au Ronald Reagan, uwajibikaji wa Samia na wenzake haukwepeki.
She has connections. She is not much of a public speaker but she is well connected in Washington.

Sidhani kama wana interest ya kumuwajibisha Samia kwa hofu ya kudestabilise Tanzania. Mulamula atajua namna ya kuwatuliza bila regime change. Bila shaka kuna watu watatakiwa wa take responsibility.

Ndio maana Samia alimteua Nyalandu ambaye ana Senators rafiki zake.

Ila anasaidia nini, zaidi ya ujinga tu
 
Baada ya Tume ya Othman Chande , Rais kaunda tume nyingine ya Uchunguzi wa Kijinai.

Hii sasa ndio itakuja na majibu ya nani kahusika na hatua gani zichukuliwe.

Bado hatujapata majibu yake, kule nako marekani kaja na muswada wake katika bunge akidai kuwachukulia hatua baadhi ya viongozi.

Utata unapokuja ni kama Taarifa ya tume ikatofautiana na ile hatua itayochukuliwa na Marekani.

Marekani aseme namfungia huyu kwakuwa kahusika wakati ripoti ya tume haisemi hivyo.

Kwanini marekani wasisuburi matokeo ya tume ndipo wachukue mapendekezo yake na kuyafanyia kazi.

Hawaoni mchakato wao uingilia mchakato wa tume ya haki jinai.

Tume ya haki jinai inaundwa na Rais kutokana na hitaji la kisheria, ni tume halali na ni mchakato ambao unatambulika mpaka na mahakama ya kimataifa ya ICC.

Kutokana na kanuni za kufungua mashauri ICC.

ICC inaingia pale ambapo michakato ya ndani imekwama.

Hivyo hatua za kuundwa kwa tume ya uchunguzi za kijinai zimekidhi matakwa ya sheria za ndani na kimataifa.

Hatua ya kuingilia mchakato huo ni kuipoka nchi mamlaka yake, tunaposema ni kuingiliwa kwa national sovereignty ndivyo tunavyo maanisha.

Marekani wanapoka mamlaka ya nchi kuendesha mambo yake bila kuingiliwa.

Wasubiri kwanza matokeo ya tume ya uchunguzi wa kijinai.
Peleka malalamiko yako ubalozi wa Marekani kama hauna nauli sema.
 
Baada ya Tume ya Othman Chande , Rais kaunda tume nyingine ya Uchunguzi wa Kijinai.

Hii sasa ndio itakuja na majibu ya nani kahusika na hatua gani zichukuliwe.
Mnapoteza muda, nguvu na fedha...
SSH keshasema na kuvipongeza vyombo vya ulinzi kwa kazi waliyofanya 29 October.
Chukueni hatua kama nia ni njema!
 
Ndio maana Samia alimteua Nyalandu ambaye ana Senators rafiki zake.

Ila anasaidia nini, zaidi ya ujinga tu
Sijui kuhusu connections za Nyalandu ila Liberata kama balozi wetu Washington alikuwa karibu sana na State Department na Congress. Na alikuwa anafundisha pia George Washington University. Nadhani anawajua vizuri wanasiasa wa kule.

Amandla...
 
Back
Top Bottom