PostGE2025 Muswada wa Bunge la Marekani ni kuingilia mchakato wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sijui kuhusu connections za Nyalandu ila Liberata kama balozi wetu Washington alikuwa karibu sana na State Department na Congress. Na alikuwa anafundisha pia George Washington University. Nadhani anawajua vizuri wanasiasa wa kule.

Amandla...
Kutetea uongo ndio shughuli pevu
 
Baada ya Tume ya Othman Chande , Rais kaunda tume nyingine ya Uchunguzi wa Kijinai.

Hii sasa ndio itakuja na majibu ya nani kahusika na hatua gani zichukuliwe.

Bado hatujapata majibu yake, kule nako marekani kaja na muswada wake katika bunge akidai kuwachukulia hatua baadhi ya viongozi.

Utata unapokuja ni kama Taarifa ya tume ikatofautiana na ile hatua itayochukuliwa na Marekani.

Marekani aseme namfungia huyu kwakuwa kahusika wakati ripoti ya tume haisemi hivyo.

Kwanini marekani wasisuburi matokeo ya tume ndipo wachukue mapendekezo yake na kuyafanyia kazi.

Hawaoni mchakato wao uingilia mchakato wa tume ya haki jinai.

Tume ya haki jinai inaundwa na Rais kutokana na hitaji la kisheria, ni tume halali na ni mchakato ambao unatambulika mpaka na mahakama ya kimataifa ya ICC.

Kutokana na kanuni za kufungua mashauri ICC.

ICC inaingia pale ambapo michakato ya ndani imekwama.

Hivyo hatua za kuundwa kwa tume ya uchunguzi za kijinai zimekidhi matakwa ya sheria za ndani na kimataifa.

Hatua ya kuingilia mchakato huo ni kuipoka nchi mamlaka yake, tunaposema ni kuingiliwa kwa national sovereignty ndivyo tunavyo maanisha.

Marekani wanapoka mamlaka ya nchi kuendesha mambo yake bila kuingiliwa.

Wasubiri kwanza matokeo ya tume ya uchunguzi wa kijinai.
Ungewapongeza kwa uvumilivu badala ya kuwalaumu. Wamemsubiri sana Chande na tume yake!. Wameshtuka hiyo tume ya kijinai inaweza kuchunguza hadi Mwaka 2040 huko. Msipende kuwa-underestimate watu!
 
Baada ya Tume ya Othman Chande , Rais kaunda tume nyingine ya Uchunguzi wa Kijinai.

Hii sasa ndio itakuja na majibu ya nani kahusika na hatua gani zichukuliwe.

Bado hatujapata majibu yake, kule nako marekani kaja na muswada wake katika bunge akidai kuwachukulia hatua baadhi ya viongozi.

Utata unapokuja ni kama Taarifa ya tume ikatofautiana na ile hatua itayochukuliwa na Marekani.

Marekani aseme namfungia huyu kwakuwa kahusika wakati ripoti ya tume haisemi hivyo.

Kwanini marekani wasisuburi matokeo ya tume ndipo wachukue mapendekezo yake na kuyafanyia kazi.

Hawaoni mchakato wao uingilia mchakato wa tume ya haki jinai.

Tume ya haki jinai inaundwa na Rais kutokana na hitaji la kisheria, ni tume halali na ni mchakato ambao unatambulika mpaka na mahakama ya kimataifa ya ICC.

Kutokana na kanuni za kufungua mashauri ICC.

ICC inaingia pale ambapo michakato ya ndani imekwama.

Hivyo hatua za kuundwa kwa tume ya uchunguzi za kijinai zimekidhi matakwa ya sheria za ndani na kimataifa.

Hatua ya kuingilia mchakato huo ni kuipoka nchi mamlaka yake, tunaposema ni kuingiliwa kwa national sovereignty ndivyo tunavyo maanisha.

Marekani wanapoka mamlaka ya nchi kuendesha mambo yake bila kuingiliwa.

Wasubiri kwanza matokeo ya tume ya uchunguzi wa kijinai.
Nakumbuka ilikuwepo kauli ya shitehole je kwani hivi sasa sii shitehole tena ama bado ni shitehole? Iwapo bado yafaa kujiuliza kivipi na kwanini na kwanini waseme cha kufanya kwa watu huru?Manibu huenda tunayo na wanaa wanajidai hawajui wala kuona hili na wanajidai kutafuta mchawi!
 
Mkuu sasa unaleta malalamiko hapa JF tukusaidieje?
Mmezoea kutudanganya wananchi kwa kutuona ni mazuzu tulishakubali!
Nendeni barozi za Marekani na Ulaya(mabeberu) mkaandamane.
Who are you?
Anataka atuchochee uzalendo ili tuandamane hadi Washington🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu huko Urusi ataenda na Magari?
Kumbe yule mdau aliposema "taarifa zinatoka juu kuja chini" alimaanisha huko Europe na america!!?

Yaani kumbe chadema walitumika kulianzisha TU ili imwagike ikishamwagika TU wale jamaa waanze kutoa matamko!!?

Scenario just scenario I say scenario!!

Hapo mwaka 1994 kina TALL walilianzisha msituni si mnakumbuka,kukahitajika kamkutano pale BONGO ili kusuluhisha mambo si ndio juvenile habyarimana na mwenzie wakaenda pale baadae wakapanda ka ndege kale kaendege kaka waka!!

Sasa sijui haya mambo yapoje yapoje!!

ni muda umefika wa kutumia misafara ya magari na sio vindege ndege hivi ni vibaya!!

Magoti ya TALL Siiyapendi kabisa!!

Mi nawaza TU mjue nawaza nikichangia uchumi wa BUNDLE na wanatu nyonyoa sana siku hizi!!
 
Kwa vipi? Wamezuia uchunguzi kufanyika? Kwani mtu kuzuiwa kuingia nchini kwao kunaingilia vipi hiyo process? Mbona kuna mtanzania alitangazwa PNG lakini leo ni waziri na anafanya kazi zake kwa weledi mkubwa. Shida pekee anayoweza kupata ni kukataliwa kuingia Marekani kuangali Kombe la Dunia.

Amandla...
Vipi akiamua kwenda viwanja vya Mexico na Canada atazuiwa?
 
Baada ya Tume ya Othman Chande , Rais kaunda tume nyingine ya Uchunguzi wa Kijinai.

Hii sasa ndio itakuja na majibu ya nani kahusika na hatua gani zichukuliwe.

Bado hatujapata majibu yake, kule nako marekani kaja na muswada wake katika bunge akidai kuwachukulia hatua baadhi ya viongozi.

Utata unapokuja ni kama Taarifa ya tume ikatofautiana na ile hatua itayochukuliwa na Marekani.

Marekani aseme namfungia huyu kwakuwa kahusika wakati ripoti ya tume haisemi hivyo.

Kwanini marekani wasisuburi matokeo ya tume ndipo wachukue mapendekezo yake na kuyafanyia kazi.

Hawaoni mchakato wao uingilia mchakato wa tume ya haki jinai.

Tume ya haki jinai inaundwa na Rais kutokana na hitaji la kisheria, ni tume halali na ni mchakato ambao unatambulika mpaka na mahakama ya kimataifa ya ICC.

Kutokana na kanuni za kufungua mashauri ICC.

ICC inaingia pale ambapo michakato ya ndani imekwama.

Hivyo hatua za kuundwa kwa tume ya uchunguzi za kijinai zimekidhi matakwa ya sheria za ndani na kimataifa.

Hatua ya kuingilia mchakato huo ni kuipoka nchi mamlaka yake, tunaposema ni kuingiliwa kwa national sovereignty ndivyo tunavyo maanisha.

Marekani wanapoka mamlaka ya nchi kuendesha mambo yake bila kuingiliwa.

Wasubiri kwanza matokeo ya tume ya uchunguzi wa kijinai.
Kwamba Walioua wanahitaji kuundiwa tume kwa makosa waliyoyafanya mchana kweupe?
Mnataka mpike taarifa tena kama mlivyofanya kwenye tume ya Chande? Mchakato wa hizi tume ni namna yenu ya kukwepa uwajibikaji. Mnarefusha mchakato lakini mfahamu kuwa dunia haisahau. Muda ukifika, kila kitu kitawekwa wazi.
 
Baada ya Tume ya Othman Chande , Rais kaunda tume nyingine ya Uchunguzi wa Kijinai.

Hii sasa ndio itakuja na majibu ya nani kahusika na hatua gani zichukuliwe.

Bado hatujapata majibu yake, kule nako marekani kaja na muswada wake katika bunge akidai kuwachukulia hatua baadhi ya viongozi.

Utata unapokuja ni kama Taarifa ya tume ikatofautiana na ile hatua itayochukuliwa na Marekani.

Marekani aseme namfungia huyu kwakuwa kahusika wakati ripoti ya tume haisemi hivyo.

Kwanini marekani wasisuburi matokeo ya tume ndipo wachukue mapendekezo yake na kuyafanyia kazi.

Hawaoni mchakato wao uingilia mchakato wa tume ya haki jinai.

Tume ya haki jinai inaundwa na Rais kutokana na hitaji la kisheria, ni tume halali na ni mchakato ambao unatambulika mpaka na mahakama ya kimataifa ya ICC.

Kutokana na kanuni za kufungua mashauri ICC.

ICC inaingia pale ambapo michakato ya ndani imekwama.

Hivyo hatua za kuundwa kwa tume ya uchunguzi za kijinai zimekidhi matakwa ya sheria za ndani na kimataifa.

Hatua ya kuingilia mchakato huo ni kuipoka nchi mamlaka yake, tunaposema ni kuingiliwa kwa national sovereignty ndivyo tunavyo maanisha.

Marekani wanapoka mamlaka ya nchi kuendesha mambo yake bila kuingiliwa.

Wasubiri kwanza matokeo ya tume ya uchunguzi wa kijinai.

Kila mtu ashinde mechi zake. Sio kupangiana kama wote tunacheza uwanja wa Singida Star...eventually, ukweli pekee ndio utaweza kutuweka huru.
Haya mambo yetu ya hapa ndani, yatabaki kuwa ya kwetu. Na dunia itaamua itakavyoona inafaa
 
She has connections. She is not much of a public speaker but she is well connected in Washington.

Sidhani kama wana interest ya kumuwajibisha Samia kwa hofu ya kudestabilise Tanzania. Mulamula atajua namna ya kuwatuliza bila regime change. Bila shaka kuna watu watatakiwa wa take responsibility.

Amandla...
Vyovyote vile, ushahidi wa mauaji waliyoyafanya ni overwhelming.

Katika kuua kwao hawakutumia akili. Walishindwa kutambua kuwa tupo kwenye zama za tofauti kabisa sasa hivi.

Huwezi kufanya mauaji kama yale hadharani namna ile halafu ushahidi ukakosekana.

Pamoja na kuwa na hizo connections, huyo Mulamula hawezi kujenga hoja za ku spin hayo yaliyotokea.

Zipo videos za watu ambao walikuwa wanakatiza tu barabara, hawana chochote mikononi ambacho mtu unaweza kudai kuwa ni silaha, lakini wakapigwa risasi wanakadondoka na kufa. Zipo hizo videos.

Wameuliwa mpaka watoto wadogo kabisa. Tena wameuliwa mitaani. Ushahidi upo.

Watu wameuliwa majumbani mwao. Ushahidi upo.

Wamama wajawazito wameuliwa na watoto wao matumboni mwao. How can anyone justify that?

Mtu yeyote mwenye dhamiri nzuri hawezi kufanya kazi ya kuwatetea hao Wauaji maana walichokifanya hakiteteeki.

Si umeona mwenyewe jinsi tu hata hao CCM wanavyohaha kujitetea?

Umeona jinsi ambavyo narratives zao zinabadilika badilika?

Hiyo yote ni kwa sababu hawana utetezi wowote ule wa kuhalalisha walichokifanya.
 
Inaumiza sana.ila IPO Siku ubaya wote utalipwa.
 
Haujanielewa. Kazi ya mtu kama Mulamula sio spinning bali damage control. Anaweza kujua nini kitawaridhisha wamarekani na nchi nyingine za magharibi. Kama ni mtu kutolewa kafara, so be it. Kutakuwa na structure katika utetezi wao, sio huu ambao kwa kweli haueleweki.

Lakini Fundi, mbona tayari hao Wamagharibi washaainisha nini ambacho kitawaridhisha….

Baadhi ya hayo mambo ni kumuachia Tundu Lissu na wafungwa wengine wa kisiasa.

Uchunguzi ulio huru wa hayo mauaji ukifuatia na uwajibikaji.

Mabadiliko katika mfumo wa uchaguzi ambayo yataweka mazingira yaliyo sawa kwa washiriki wa uchaguzi.

Katiba mpya. Na kadhalika.

Umeusoma huo muswada wa akina Ted Cruz?

Jamaa wameainisha mambo ambayo ni rahisi sana.

Mfano, Lissu siyo mhaini. Wamemfunga zaidi ya mwaka sasa.

That is so unnecessary. Kumuachia kuna ugumu gani, kwa mfano?

Humphrey Polepole wamemteka na wanajua kabisa kilichomkuta, lakini they’re playing dumb.
 
Baada ya Tume ya Othman Chande , Rais kaunda tume nyingine ya Uchunguzi wa Kijinai.

Hii sasa ndio itakuja na majibu ya nani kahusika na hatua gani zichukuliwe.

Bado hatujapata majibu yake, kule nako marekani kaja na muswada wake katika bunge akidai kuwachukulia hatua baadhi ya viongozi.

Utata unapokuja ni kama Taarifa ya tume ikatofautiana na ile hatua itayochukuliwa na Marekani.

Marekani aseme namfungia huyu kwakuwa kahusika wakati ripoti ya tume haisemi hivyo.

Kwanini marekani wasisuburi matokeo ya tume ndipo wachukue mapendekezo yake na kuyafanyia kazi.

Hawaoni mchakato wao uingilia mchakato wa tume ya haki jinai.

Tume ya haki jinai inaundwa na Rais kutokana na hitaji la kisheria, ni tume halali na ni mchakato ambao unatambulika mpaka na mahakama ya kimataifa ya ICC.

Kutokana na kanuni za kufungua mashauri ICC.

ICC inaingia pale ambapo michakato ya ndani imekwama.

Hivyo hatua za kuundwa kwa tume ya uchunguzi za kijinai zimekidhi matakwa ya sheria za ndani na kimataifa.

Hatua ya kuingilia mchakato huo ni kuipoka nchi mamlaka yake, tunaposema ni kuingiliwa kwa national sovereignty ndivyo tunavyo maanisha.

Marekani wanapoka mamlaka ya nchi kuendesha mambo yake bila kuingiliwa.

Wasubiri kwanza matokeo ya tume ya uchunguzi wa kijinai.
Mgeni hataki soda anataka mia sita yake.
 
Report ya tume yenyewe itaatamiwa tena na huyo mtu wenu kuwa ni yake! Why waste time?

Wao watatumia maoni ya wanaharakati tu kupiga rungu kama ilivyo kwa Mafwele.

Kwanza inajulikana lengo ni kupoteza muda na matume mfululizo ili wa nje wasipate nafasi ya kufanya maamuzi.

Msheshtukiwa kitambo hiyo janja janja!!😁
Tatizo wanadhani yuesiei ni kama CHAUMA ya Salum mwalimu ambao wanadanganywa kwa ubwabwa na maharage😂.
 
She has connections. She is not much of a public speaker but she is well connected in Washington.

Sidhani kama wana interest ya kumuwajibisha Samia kwa hofu ya kudestabilise Tanzania. Mulamula atajua namna ya kuwatuliza bila regime change. Bila shaka kuna watu watatakiwa wa take responsibility.

Amandla...
Damu ya binadamu haijawahi kupotea bure lazima italipwa tu,huwezi kuua hadi vichanga eti uje umtegemee mulamula kusafisha uovu.
 
Back
Top Bottom