Basi sawa. Muswada umeletwa na rais na ndiyo utarudi kwake. Bunge ni rubber stamp tu.Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania, Muswada huo ambao umepitishwa utaelekea kwa Rais
Bujibuji mbona hujawapiga vizuri km kawaida yako aisee! Umewahurumia Sana!Bunge la kijani litapitisha kila sheria ya hovyo bila ya kujali madhara ya sheria hizo
Hivi hili bunge la CCM, halioni mambo ya msingi kurekebisha kwenye sheria za nchi hii zaidi ya kuwa wakalimani. Vipi kuhusu sheria zilizowapa nguvu Wakuu wa wilaya kuweka mtu ndani saa 48?? Sheria kibao zina mapungufu lakini wamekaa kimya.
Ujinga na upuuzi mtupu.
Basi sawa. Muswada umeletwa na rais na ndiyo utarudi kwake. Bunge ni rubber stamp tu.
Hizi zikirekebishwa zitawaondolea nguvu ya kuminya upinzani.Hivi hili bunge la CCM, halioni mambo ya msingi kurekebisha kwenye sheria za nchi hii zaidi ya kuwa wakalimani. Vipi kuhusu sheria zilizowapa nguvu Wakuu wa wilaya kuweka mtu ndani saa 48?? Sheria kibao zina mapungufu lakini wamekaa kimya.
Ujinga na upuuzi mtupu.
Hakika Ben alitutwika msalaba alafu yeye akaenda zake kwa baba.Hakuna ujinga kwenye nchi kama sheria kutungwa ili kukidhi utashi wa kiongozi aliye madarakani.
Sasa hivi Tz si ni ya kijani!? Basi sheria zote zilizokuwa kwa lengo la kukomoa upinzani zifutwe.Hizi zikirekebishwa zitawaondolea nguvu ya kuminya upinzani.
Haziwezi kufutwa ni ila zitaongezewa mbolea mpaka iwe saba tena.Sasa hivi Tz si ni ya kijani!? Basi sheria zote zilizokuwa kwa lengo la kukomoa upinzani zifutwe.
Sio hayo tu ata sheria inayohusu uhuru wa kujielezea kwenye katiba umeminywa haswa kwa wandishi wa habari.Mahakama hakuna nchi hii.
Unataka kuniqmbia akina Sugu, Lema, Mbowe na wengineo walikaa gerezani miezi minne kila mmoja kwa uwonevu kwasbb sheria ziko kwa kiingereza?
"Kill him not, live him free"- jajiViongozi wanatafuta historia isiyo na sababu.
If you don't know English language,learn it,but not to brush your ignorance.Je,Kuna tatizo kubwa lililoonekana kutokana na majaji na mahakimu kutumia lugha ya kiingereza wakati wa kesi????
"The intelligence of the ruler can be estimated by looking at the people he has around him" . ( Niccolo Machievelli).