Muswada wa Ted Cruz utasaidia tulio 40s kushuhudia anguko la CCM. Mungu tusaidie

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,583
Reaction score
42,992
CCM IMETESA SANA WATANZANIA na wamefikia mahali wanaona hawagusiki wameuwa sana watu na kusingizia watu kesi za uongo. Wanaona TUNDU LISSU ni kitisho kwao hivyo wanatafuta namna ya kumsilimisha au kumpoteza lakini waki calculateimpact yake wanaona haiwezekani sasa hili zigo la TED CRUZ ndio kabisa limewatia kiwewe na SAMIA SULUHU HASSAN ameingia kwenye record as the worst president in Tanzania history and the worst female president in Africa since independence. KWAHERI CCM KAFIE MBELE HUKO.
 
Naomba link ya hiyo "amsha popo" ya Ted Cruz
 
kuamini porojo na ramli ni vitu nonsense sana gentleman 🐒
 
CCM inaanguka kimasihara aisee! Ni mchakato mrefu lakini muda umewadia, wengi walidhani anguko lake ni kujisambaratikia yenyewe au kwenye sanduku la kura kumbe ni kwa njia nyingine kabisa ambayo haikufikiriwa. Ona sasa kina Ted Cruz wameandika miswada ya kutaka ibinywe, Labda CCM inaweza ku survive kwenye mbinyo huo, ni suala la muda tu tutashuhudia mbinyo huo wa kina Cruz
 
CCM IMETESA SANA WATANZANIA na wamefikia mahali wanaona hawagusiki wameuwa sana watu na kusingizia watu kesi za uongo. Wanaona TUNDU LISSU ni kitisho kwao hivyo wanatafuta namna ya kumsilimisha au kumpoteza lakini waki calculateimpact yake wanaona haiwezekani sasa hili zigo la TED CRUZ ndio kabisa limewatia kiwewe na SAMIA SULUHU HASSAN ameingia kwenye record as the worst president in Tanzania history and the worst female president in Africa since independence. KWAHERI CCM KAFIE MBELE HUKO.
Ameen
 
CCM ni chama cha KIGAIDI kinachogeuzia SILAHA ZA KIVITA wananchi wake
 
kuamini porojo na ramli ni vitu nonsense sana gentleman 🐒
Screenshot_20260520-120305~2.png
Screenshot_20260212-145525~2.png
 
Back
Top Bottom