Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Bila CCM kugawanyika kutokea ndani itakuwa vigumu kusambaratika, inaweza kuendelea kama ZANU PF ya Zimbabwe wakati nchi inaangamia.CCM inaanguka kimasihara aisee! Ni mchakato mrefu lakini muda umewadia, wengi walidhani anguko lake ni kujisambaratikia yenyewe au kwenye sanduku la kura kumbe ni kwa njia nyingine kabisa ambayo haikufikiriwa. Ona sasa kina Ted Cruz wameandika miswada ya kutaka ibinywe, Labda CCM inaweza ku survive kwenye mbinyo huo, ni suala la muda tu tutashuhudia mbinyo huo wa kina Cruz