Bila CCM kugawanyika kutokea ndani itakuwa vigumu kusambaratika, inaweza kuendelea kama ZANU PF ya Zimbabwe wakati nchi inaangamia.CCM inaanguka kimasihara aisee! Ni mchakato mrefu lakini muda umewadia, wengi walidhani anguko lake ni kujisambaratikia yenyewe au kwenye sanduku la kura kumbe ni kwa njia nyingine kabisa ambayo haikufikiriwa. Ona sasa kina Ted Cruz wameandika miswada ya kutaka ibinywe, Labda CCM inaweza ku survive kwenye mbinyo huo, ni suala la muda tu tutashuhudia mbinyo huo wa kina Cruz
Na sheria za Marekani zikisainiwa kinachofata ni Utekelezaji hawana longolongo hawa😀😀Na uzuri wa seneta wakishapitisha tu trump anatia saini ..seneta wengi ni wa republican chama anachotoka trum
Hahaha na wazungu nao ukiwambia machimbo basi umewamalizaWako radhi waachie wazungu wachimbe bure ili kumaliza huo msala, tuko hapa
Hii dunia haina cha haki wala demokrasia linapokuja suala la maslahiHahaha na wazungu nao ukiwambia machimbo basi umewamaliza
Wako radhi waachie wazungu wachimbe bure ili kumaliza huo msala, tuko hapa
Aisee kwenye maslahi ni mtihani mkubwa kwa binadamuHii dunia haina cha haki wala demokrasia linapokuja suala la maslahi
Na republican ishu ya kuonewa wakristo wataishikia bango sanaNa uzuri wa seneta wakishapitisha tu trump anatia saini ..seneta wengi ni wa republican chama anachotoka trum
Tuombe Mungu mswada huu upite bila kupingwa!CCM IMETESA SANA WATANZANIA na wamefikia mahali wanaona hawagusiki wameuwa sana watu na kusingizia watu kesi za uongo. Wanaona TUNDU LISSU ni kitisho kwao hivyo wanatafuta namna ya kumsilimisha au kumpoteza lakini waki calculateimpact yake wanaona haiwezekani sasa hili zigo la TED CRUZ ndio kabisa limewatia kiwewe na SAMIA SULUHU HASSAN ameingia kwenye record as the worst president in Tanzania history and the worst female president in Africa since independence. KWAHERI CCM KAFIE MBELE HUKO.
Yeah 💯Wako radhi waachie wazungu wachimbe bure ili kumaliza huo msala, tuko hapa