Muuaji aamua kujimaliza

Kichwa Cha habari tu kimenifanya nisiiangalie hiyo video.Siku zote ukiua mtu huwezi kuwa huru.Hata huyu mtekaji wanayemsema mafwele kama kweli ndiyo muuaji lazima huko aliko hatakua na amani hata kama analindwa na mamalaka
 
Hakuna hustle nyepesi
 
Tunapenda wanaume wapambanaji, ila jamani tafuteni vya halali. Ona sasa
Vya halali kutoboa ni ukiwa na mvi na nguvu za kiume zishaisha, vijana wanataka wazipate wakiwa na ujana na wainjoy ya ujana.
 
Lakin hawatakusikia walivyo wabishi
 
Na umasikini Una siri nyingi pia

Life is about duality (uwili uwili)
Siri za uasikin wala sio siri. Ziko waz mnoo. Mtu yeyote akiutaka umasikini wala hutumii nguvu wala huhitaji kwenda kwa mganga wala ibadani kuombewa. Kila anauyutaka umasikini anaweza akauoata lakin sio utajiri.
 
Siri yake ni roho mbaya, uchawi na husda halafu hakuna kuendelea ni ubaya Ubwela
Wala sio kweli. Ulizotaja ni siri za utajiri.
Umasikini siri zake ni za kiungwanakabisa
  • uvivu
  • starehe nje ya uwezo
  • kutoweka akiba
  • puuzia misingi ya kiuchumi.

huhitaji roho mbaya ili uwe masikini.
Umasikini unaweza upata ukiwa mstaarabu aliyetukuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…