Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Hatari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vya halali tu huwezi kuwa tajiri😃😃Tunapenda wanaume wapambanaji, ila jamani tafuteni vya halali. Ona sasa
TAHADHARI‼️
(Video hii ina maudhui ya kuogofya yanayoweza kuumiza hisia).
Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine. Inadaiwa alimuua mmoja wa wafanyakazi wake na akamtupa kisimani.
Sasa ile harufu ikawa inafika mpaka kwenye Petrol station ya jirani. Wahudumu wakatoa taarifa Polisi. Askari walipokuja jamaa akataka kulipua nyumba na kujiteketeza yeye pamoja na vyote vilivyopo. Aliposhindwa akaamua kujichinja shingoni kwa kutumia kitu chenye ncha kali. Polisi wakavunja mlango na kuingia ndani ambapo walimchukua na kumuwahisha hospitali. Hata hivyo inadaiwa alifariki muda mfupi baadae.!
View: https://www.facebook.com/share/v/hqomeHN7yQHC8RkY/
Ni mchinaMchaga wa wapi maana X-Mass imekaribia tunaendaje mgombani?
Kumbe raia wa kichina 😄Aisee...!!!
Watatuua na hizi Pombe feki.Kumbe raia wa kichina 😄
Wanaendeleza uzushi wao
Mchina anaishi kwa kona kona
Nyingi
Ova
Kwanini usipambane mwenyewe tuTunapenda wanaume wapambanaji, ila jamani tafuteni vya halali. Ona sasa
Vya halali kutoboa ni ukiwa na mvi na nguvu za kiume zishaisha, vijana wanataka wazipate wakiwa na ujana na wainjoy ya ujana.Tunapenda wanaume wapambanaji, ila jamani tafuteni vya halali. Ona sasa
Nahisi aliingilia maslahi ya bosiMshana Jr tupe muendelezo ,ilikuwaje tajiri akaua mfanyakazi wake? Je huyo jamaa/tajiri ana asili ya kiarabu/kichina/kihindi?
Lakin hawatakusikia walivyo wabishiTunawambia vijana utajiri una siri nyingi....usidanganyike kwa maneno matupu ati utacheza tu kwenye majukwaa upatenutajiri.
Check hizo kazi za jamaa enzi za uhai wake angekiri kuwa anazifanya na ndio zinampa hela?
Sana sana angekwambia analima Nyanya Iringa.
Siri yake ni roho mbaya, uchawi na husda halafu hakuna kuendelea ni ubaya UbwelaNa umasikini Una siri nyingi pia
Life is about duality (uwili uwili)
Siri za uasikin wala sio siri. Ziko waz mnoo. Mtu yeyote akiutaka umasikini wala hutumii nguvu wala huhitaji kwenda kwa mganga wala ibadani kuombewa. Kila anauyutaka umasikini anaweza akauoata lakin sio utajiri.Na umasikini Una siri nyingi pia
Life is about duality (uwili uwili)
Wala sio kweli. Ulizotaja ni siri za utajiri.Siri yake ni roho mbaya, uchawi na husda halafu hakuna kuendelea ni ubaya Ubwela
Ukimpangisha mchina nyumbaWatatuua na hizi Pombe feki.