Muuaji aamua kujimaliza

Muuaji aamua kujimaliza

Kichwa Cha habari tu kimenifanya nisiiangalie hiyo video.Siku zote ukiua mtu huwezi kuwa huru.Hata huyu mtekaji wanayemsema mafwele kama kweli ndiyo muuaji lazima huko aliko hatakua na amani hata kama analindwa na mamalaka
 
TAHADHARI‼️
(Video hii ina maudhui ya kuogofya yanayoweza kuumiza hisia).

Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine. Inadaiwa alimuua mmoja wa wafanyakazi wake na akamtupa kisimani.

Sasa ile harufu ikawa inafika mpaka kwenye Petrol station ya jirani. Wahudumu wakatoa taarifa Polisi. Askari walipokuja jamaa akataka kulipua nyumba na kujiteketeza yeye pamoja na vyote vilivyopo. Aliposhindwa akaamua kujichinja shingoni kwa kutumia kitu chenye ncha kali. Polisi wakavunja mlango na kuingia ndani ambapo walimchukua na kumuwahisha hospitali. Hata hivyo inadaiwa alifariki muda mfupi baadae.!

View: https://www.facebook.com/share/v/hqomeHN7yQHC8RkY/

Hakuna hustle nyepesi
 
Tunapenda wanaume wapambanaji, ila jamani tafuteni vya halali. Ona sasa
Vya halali kutoboa ni ukiwa na mvi na nguvu za kiume zishaisha, vijana wanataka wazipate wakiwa na ujana na wainjoy ya ujana.
 
Tunawambia vijana utajiri una siri nyingi....usidanganyike kwa maneno matupu ati utacheza tu kwenye majukwaa upatenutajiri.
Check hizo kazi za jamaa enzi za uhai wake angekiri kuwa anazifanya na ndio zinampa hela?

Sana sana angekwambia analima Nyanya Iringa.
Lakin hawatakusikia walivyo wabishi
 
Na umasikini Una siri nyingi pia

Life is about duality (uwili uwili)
Siri za uasikin wala sio siri. Ziko waz mnoo. Mtu yeyote akiutaka umasikini wala hutumii nguvu wala huhitaji kwenda kwa mganga wala ibadani kuombewa. Kila anauyutaka umasikini anaweza akauoata lakin sio utajiri.
 
Siri yake ni roho mbaya, uchawi na husda halafu hakuna kuendelea ni ubaya Ubwela
Wala sio kweli. Ulizotaja ni siri za utajiri.
Umasikini siri zake ni za kiungwanakabisa
  • uvivu
  • starehe nje ya uwezo
  • kutoweka akiba
  • puuzia misingi ya kiuchumi.

huhitaji roho mbaya ili uwe masikini.
Umasikini unaweza upata ukiwa mstaarabu aliyetukuka
 
Back
Top Bottom