Mkuu fanya halali ufe lofaUpambanaji haramu, angalia alivyoishia. Angesalimika jela ingemhusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu fanya halali ufe lofaUpambanaji haramu, angalia alivyoishia. Angesalimika jela ingemhusu
TAHADHARI‼️
(Video hii ina maudhui ya kuogofya yanayoweza kuumiza hisia).
Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine. Inadaiwa alimuua mmoja wa wafanyakazi wake na akamtupa kisimani.
Sasa ile harufu ikawa inafika mpaka kwenye Petrol station ya jirani. Wahudumu wakatoa taarifa Polisi. Askari walipokuja jamaa akataka kulipua nyumba na kujiteketeza yeye pamoja na vyote vilivyopo. Aliposhindwa akaamua kujichinja shingoni kwa kutumia kitu chenye ncha kali. Polisi wakavunja mlango na kuingia ndani ambapo walimchukua na kumuwahisha hospitali. Hata hivyo inadaiwa alifariki muda mfupi baadae.!
View: https://www.facebook.com/share/v/hqomeHN7yQHC8RkY/
MajambaziMara nyingi deal haramu lazima ziwe na back up ya watu wabaya wa srikali ila anytime wanakugeuka huyo jamaa utakuta watu wa srikali walikuwa na mafungu yao hapo.
Nakumbuka wauza gongo fulani namna walivyowahi mchengia askar fulan kuwa why wanawakamata as if hawawajui wakati huwa wanaenda kuchukua mgao wao!
Nakumbuka wapika gongo fulan ilikuwa wanapikia gongo maeneo ya geshi ambapo wale wakakamavu hawawezi ingia!
Kabisa.utajiri ni siri ya mtuTunawambia vijana utajiri una siri nyingi....usidanganyike kwa maneno matupu ati utacheza tu kwenye majukwaa upatenutajiri.
Check hizo kazi za jamaa enzi za uhai wake angekiri kuwa anazifanya na ndio zinampa hela?
Sana sana angekwambia analima Nyanya Iringa.
Kabisa maana pale shingo ilivojikaza ndo damu inazid kumtoka.Ila bongo tupo kama wanyama sometimes sasa walivyombeba hivyo si ndo wamemalizia kabisa.
Ndio maana halisi ya kauli kuwa "utajiri ni siri na siri ndio utajiri"
Hakuna vya halali vinavyokidhi mahitaji yenu mtupende daima!!Tunapenda wanaume wapambanaji, ila jamani tafuteni vya halali. Ona sasa
Msemee wa kwako bwana Kato, anashindwa kuwa resilient😂Hakuna vya halali vinavyokidhi mahitaji yenu mtupende daima!!
Mioyo yenu haichoki kutamani!!
Kabisa wao wanangalia hela tu hawajali imetoka wap.Hakuna vya halali vinavyokidhi mahitaji yenu mtupende daima!!