Muuaji aamua kujimaliza

Muuaji aamua kujimaliza

TAHADHARI‼️
(Video hii ina maudhui ya kuogofya yanayoweza kuumiza hisia).

Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine. Inadaiwa alimuua mmoja wa wafanyakazi wake na akamtupa kisimani.

Sasa ile harufu ikawa inafika mpaka kwenye Petrol station ya jirani. Wahudumu wakatoa taarifa Polisi. Askari walipokuja jamaa akataka kulipua nyumba na kujiteketeza yeye pamoja na vyote vilivyopo. Aliposhindwa akaamua kujichinja shingoni kwa kutumia kitu chenye ncha kali. Polisi wakavunja mlango na kuingia ndani ambapo walimchukua na kumuwahisha hospitali. Hata hivyo inadaiwa alifariki muda mfupi baadae.!

View: https://www.facebook.com/share/v/hqomeHN7yQHC8RkY/

Ila bongo tupo kama wanyama sometimes sasa walivyombeba hivyo si ndo wamemalizia kabisa.
 
Mara nyingi deal haramu lazima ziwe na back up ya watu wabaya wa srikali ila anytime wanakugeuka huyo jamaa utakuta watu wa srikali walikuwa na mafungu yao hapo.
Nakumbuka wauza gongo fulani namna walivyowahi mchengia askar fulan kuwa why wanawakamata as if hawawajui wakati huwa wanaenda kuchukua mgao wao!
Nakumbuka wapika gongo fulan ilikuwa wanapikia gongo maeneo ya geshi ambapo wale wakakamavu hawawezi ingia!
Majambazi
Wauza gongo
Wauza bhangi
Wauza K
Walozi
Wapiga dili mbalimbali wote wana backup ya wakubwa walioko kwenye payroll zao
Kuna watu hizo huduma hawalipii
 
TAHADHARI‼️
(Video hii ina maudhui ya kuogofya yanayoweza kuumiza hisia).

Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine. Inadaiwa alimuua mmoja wa wafanyakazi wake na akamtupa kisimani.

Sasa ile harufu ikawa inafika mpaka kwenye Petrol station ya jirani. Wahudumu wakatoa taarifa Polisi. Askari walipokuja jamaa akataka kulipua nyumba na kujiteketeza yeye pamoja na vyote vilivyopo. Aliposhindwa akaamua kujichinja shingoni kwa kutumia kitu chenye ncha kali. Polisi wakavunja mlango na kuingia ndani ambapo walimchukua na kumuwahisha hospitali. Hata hivyo inadaiwa alifariki muda mfupi baadae.!

View: https://www.facebook.com/share/v/hqomeHN7yQHC8RkY/

Am speechless

Imatisha
 
Back
Top Bottom