Kwa jinsi utekaji na mauaji yalivyo, naona chuma iwe haki ya kila mtuJust imagine Kila mmoja akiwa na chuma Yake matakoni kaificha kama vile wallet yako basi itakuwa ni mwendo wa kurushiana njugu Tu. Alichokuwa akikipigania ndio kimemuondoa, unajaribu kupigania kitu Fulani kiwepo Kwa mapana Yake then kinakuondoa, hii Inaonesha ni Kwa namna gani Kwa wale wazee wa ramli chongamishi kwamba alipigania Jambo ambalo si sahihi.
Nimeona kuna watu wameshangilia Sana mitandaoni, ukishaona Hali kama hiyo jua binadamu tumefikia Hali mbaya Sana Kwa kweli hata mnyama mwitu ana afadhali
Hahah wakikuzingua unawatupia njugu ili watu waheshimiane, sema kuwindana Napo kutakuwa kwingi, lakini State watu sijui Wana makasiriko.Kwa jinsi utekaji na mauaji yalivyo, naona chuma iwe haki ya kila mtu
Maagizo ya mgangaSababu ya kumdungua mwenzie ni nini??
Kama Watu wenyewe hadi leo mnaagiza toothpick kutoka nje ya nchi, mtatoa wapi uwezo wa kufanya upelelezi wa kuhitaji akili ?Sisi Wa Kwetu Hawajulikani mpaka Leo
Gulefu gwakoMaagizo ya mganga
Stori yake inahuzunisha sana.Gulefu gwako
Upepo gani wakati alikua anapinga ujinga wa "woke" na cancel culture.anaenda na upepo wa sosho media kujipatia umaarufu,
Source yako twitter? Haupo seriousKatika hali isiyotarajiwa baada ya Rais wao Trump, MAGA wakina Elon Musk na Conservatives wengi wa Marekani waropokaji kusambaza uzushi kwamba muuaji ni Democrat/leftist hatimaye aliyepatikana imegundulika ni kijana kutoka miongoni mwao mpenda bunduki!
View attachment 3470535
Nadhani hatuelewi maana ya gun ownership.Just imagine Kila mmoja akiwa na chuma Yake matakoni kaificha kama vile wallet yako basi itakuwa ni mwendo wa kurushiana njugu Tu. Alichokuwa akikipigania ndio kimemuondoa, unajaribu kupigania kitu Fulani kiwepo Kwa mapana Yake then kinakuondoa, hii Inaonesha ni Kwa namna gani Kwa wale wazee wa ramli chongamishi kwamba alipigania Jambo ambalo si sahihi.
Nimeona kuna watu wameshangilia Sana mitandaoni, ukishaona Hali kama hiyo jua binadamu tumefikia Hali mbaya Sana Kwa kweli hata mnyama mwitu ana afadhali
Hivi wewe mtu mweusi ambaye kwa mzungu wewe ni nigger bila kupepesa macho halafu unakuja kushangilia mtu anaeeneza ujinga kwa kusingizia tatizo ni WOKE, ambayo ni kampeni ya wazungu kulihusisha na upupu ili lipoteze dhamira yake, hivi unajua asili ya neno WOKE, au mnakurupuka na upupu mnaosoma mitandaoni...Upepo gani wakati alikua anapinga ujinga wa "woke" na cancel culture.
Hii ni kauli ya hovyo sana aliyowahi kuitoaJust imagine Kila mmoja akiwa na chuma Yake matakoni kaificha kama vile wallet yako basi itakuwa ni mwendo wa kurushiana njugu Tu. Alichokuwa akikipigania ndio kimemuondoa, unajaribu kupigania kitu Fulani kiwepo Kwa mapana Yake then kinakuondoa, hii Inaonesha ni Kwa namna gani Kwa wale wazee wa ramli chongamishi kwamba alipigania Jambo ambalo si sahihi.
Nimeona kuna watu wameshangilia Sana mitandaoni, ukishaona Hali kama hiyo jua binadamu tumefikia Hali mbaya Sana Kwa kweli hata mnyama mwitu ana afadhali