Muuaji wa Charlie Kirk Marekani agundulika ni kutoka miongoni mwao wenyewe wahafidhina(Conservatives/right wingers)

 
Hivi unajua hata msemaji wa serikali mfano msigwa,prof kabudi,dotto magari ,shaikh zuberi,mwamposa ,lucas mwashamba hawa duniani wamezaliwa kupinga ukweli
Sio serikali zote, kuna serikali wasemaji sio wanapropoganda mfano nchi za Scandinavia, Japan, South Korea
 
Hatimaye Mamlaka nchini Marekani zimetangaza jioni hii kumkamata kijana aliyemuua kwa risasi mhubiri na mwanaharakati maarufu wa maadili nchini humo Charlie Kirk siku ya juzi

Taarifa iliyotolewa na vyombo vya usalama imeeleza kwamba kijana huyo Tyler Robinson baada ya kufanya mauaji hayo alirudi nyumbani na kumsimulia baba yake mzazi ambaye alimuweka chini ya ulinzi na kuwaita polisi kuja kumkamata

Baba yake mzazi ni mwanajeshi mstaafu wa jeshi la Marekani aliyefanya kazi jeshini zaidi ya miaka 27 na hata mafunzo ya matumizi ya silaha kijana huyo alipata kwa baba yake ikiwemo umahiri wa kulenga shabaha (ulengaji/usniper)

Tyler kijana wa miaka 22 alikua mwanafunzi katika chuo cha Utah ambapo Charlie Kirk alikuwa na mhadhara na ndipo Tyler alipotumia nafasi hiyo kwenda kutekeleza mauaji hayo kwa kumlenga risasi kutokea juu ya jengo refu

Unadhani ni kwann vijana wengi wa kishua mara nyingi wanakuwa vijana wa ovyo na wengi wanafanya mambo ya ovyo?
 
Tayari shughuli Yake imeisha. Gharama za kuuawa ni kubwa Sana, Jamaa ameoneshwa kwamba ulichokitaka madhara Yake huwa ni kama Haya ninayokuonesha, sasa imagine Kila mtu mzima akiwa na chuma kiunoni Kila siku mnaokota maiti maana tushatoka kwenye uhayawani sasa hivi, kilichotokea kuna cha kujifunza Kwa mamlaka za US.
 
Huyo kijana amekuwa akifundishwa matumizi ya bunduki, ilikuwa ni suala la muda tu kabla kichwa hakijafyatuka na kufanya aliyofanya. Republicans/Conservatives ni wapuuzi sana kwenye suala la kutaka kila mtu, mtoto na mendawazimu kuwa na haki ya kumiliki na kutumia bundukia, ni kama wanaabudu bunduki, wanaamini kumiliki bunduki ni haki ya kila mtu waliyopewa na mungu wao!

Huyu hapa ni mama yake

Huyu hapa ni mama yake akimsifia mdogo wake
 
Gun lobby imewaweka Republicans wote mfukoni kwake, hawawezi kufurukuta wala kujifunza lolote ukichangia na gun worshipping waliyo nayo.
 
Punguza ujuaji hata mtu akiamka asubuhi unaweza sema "He Woke up..." so woke can have a lot of meanings so context ndio ina matter sio neno.

Kwa muktadha huu woke inatumika kwa watu wanaojifanya wamepata awareness hivyo kutaka mabadiliko kwenye kila kitu. Mfano DEI yaani kulazimisha usawa kwenye kila kitu mfano wanaume kutumia bafu za kike, raia haramu kutambulika, ndoa za jinsia moja kufundishwa shuleni, mtu mweusi au shoga kuwa steringi wa kila filamu, au kuwa mjumbe kwenye bodi ya kampuni from a minority race. That is the WOKE culture I'm talking about sio whatever bullshit umecopy Google.

Kuhusu cancel culture ndio humo humo ukimkosoa shoga, mweusi, au mwanamke basi unasusiwa na media zote na hata kuvuliwa ufadhili. Update your grammar you embicile
 
Nimeshakwambia illegal guns zinapatikana kwa urahisi ndio maana wahalifu wanazo. Hao Conservatives wanasema kma gun control ni ngumu basi bora kila mtu awe nayo legally for self defence.

Sasa ww unasema kila mtu asiwe nayo ila hautoi suluhu ya wanao access kupitia black market ambao ndio wengi zaidi
 
Punguza ujuaji hata mtu akiamka asubuhi unaweza sema "He Woke up..." so woke can have a lot of meanings so context ndio ina matter sio neno.
Hapa inatosha kukuita wewe ni kichwa pumbu, yaani fyongo brain, yaani nyani mweusi unajifanya una viashiria vya kuwa mzungu pori...
Sihitaji kujieleza zaidi kichwa pumbu wewe
Unaleta mifano ya englishi ya mwalimu kazimoto, wewe ni bozo....

Hapa unaonyesha wewe ni mpumbavu halafu cha kusikitisha zaidi ni mtu mweusi
Kwa hiyo nimeenda kukopi google uongo au wewe ni akili kisoda huwezi kuangalia na kujua.nilicholeta ni hasili na historia ya neneo WOKE lilitokana na nino?

Na ndio maana nasema wewe ni mtu mweusi lakini mjinga, unajazwa na upupu unaopitia mitandaoni bila kujua mantiki na muktadha wa malengo ya ujinga unaosoma.

Hao wazungu unaojikombeleza kuwatetea ndio walitishwa na neno WOKE tokea enzi za kina Martin Luther King ndio wakaanzisha kampeni ya kulitafutia uchafu ililionekane linajumuisha ujinga wote, halafu wewe nyani mweusi wa bara la giza ndio unataka kutuletea tafsiri za wazungu kuhusu neno la WOKE linahusisha *******.

Kuhusu cancel culture ndio humo humo ukimkosoa shoga, mweusi, au mwanamke basi unasusiwa na media zote na hata kuvuliwa ufadhili. Update your grammar you embicile
Hapa ndio umedhihirisha wewe ni certified kichwa pumbu.
Narudia tena hujui maana ya neno CANCEL CULTURE na majibu yako yanaonyesha unapenda kujisomea upupu wa mitandaoni bila kujua waleta habari wana mrengo upi, wewe unameza tu kwa kuwa vimeandikwa mitandaoni, na ndio maana siwezi kujadili hili na wewe.
 
Trump na genge lake anahangaika na economic migrants etc etc. Akisahau HOME TERRORISM ndio hatari nchini kwake kuliko hao wakimbizi wa kiuchumu na kisiasa!
Wacha wale mafi yao!
 
Maana ya Kila mtu asiwe nayo ni nini?, bado umeshindwa kujua maana ya hii sentensi ndogo kabisa. Serikali wao wanajua hizo black Markets zote, hivyo kama wakiamua kushughulika nazo na kuamua kufunga mianya mingine mingi basi hakuna raia atakayekuwa na bunduki, hii ndio maana ya kuwa Kila mtu asiwe nayo.

Sasa basi US wamestuck katikati ya hii puzzle.
 
Kama ni kweli huyu ndo alihusika wamsrekani wamepata pigo sana 😁, wanakosa mtu wa kumlaumu zaidi ya kusikitika tu
 
Serikali wao wanajua hizo black Markets zote,
Trump kweli ajue asiwakamate na anavyochukia illegal immigrants na gangs za Mexico ambao sio tu wanaingiza silaha bali madawa ya kulevya.
Tatizo ukitaka kuzichukua hizo silaha unakutana na zuio la mahakama, zuio la governors wa Democrats, maandamano n.k ni ngumu sana kwenye nchi za demokrasia ku enforce sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…