comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Huyu kakuzwa kimafiaHuyo kijana amekuwa akifundishwa matumizi ya bunduki, ilikuwa ni suala la muda tu kabla kichwa hakijafyatuka na kufanya aliyofanya. Republicans/Conservatives ni wapuuzi sana kwenye suala la kutaka kila mtu, mtoto na mendawazimu kuwa na haki ya kumiliki na kutumia bundukia, ni kama wanaabudu bunduki, wanaamini kumiliki bunduki ni haki ya kila mtu waliyopewa na mungu wao!
View attachment 3470576
Huyu hapa ni mama yake
View attachment 3470577
Huyu hapa ni mama yake akimsifia mdogo wake
Usipotoshe watanzania! Huyo kijana ni matokeo ya sera za Kikomunisti zilizojipenyeza ndani ya chama cha Democrat na hasa wakati wa Mshiite Obama na zinaendelezwa na akina Bernie Sander, Kamala Harris, Alexandria Ocasio-Cortez. Aisha, wakomunisti hawa bila ya kuitafakari kwa kina Agenda ya Muslim Brotherhood, wameungana nao wakidanganywa na Taqqya ya kiislamu kuwa Uislamu unatetea haki za anyone. Hivyo kupitia ndoa hii makundi haya mawili yanapiga vita christian Conservative policies ati wakisema ni sera za white supremacists- UONGO. katika vita yao pia wanawalenga wayahudi. PESA wanazipata kutoka Kwa mashetani wa Qatar ambao shatani wao allah amewarundikia kupitia machimbo ya Gas.Katika hali isiyotarajiwa baada ya Rais wao Trump, MAGA wakina Elon Musk na Conservatives wengi wa Marekani waropokaji kusambaza uzushi kwamba muuaji ni Democrat/leftist hatimaye aliyepatikana imegundulika ni kijana kutoka miongoni mwao mpenda bunduki!
View attachment 3470535
Usipotoshe watanzania! Huyo kijana ni matokeo ya sera za Kikomunisti zilizojipenyeza ndani ya chama cha Democrat na hasa wakati wa Mshiite Obama na zinaendelezwa na akina Bernie Sander, Kamala Harris, Alexandria Ocasio-Cortez. Aisha, wakomunisti hawa bila ya kuitafakari kwa kina Agenda ya Muslim Brotherhood, wameungana nao wakidanganywa na Taqqya ya kiislamu kuwa Uislamu unatetea haki za anyone. Hivyo kupitia ndoa hii makundi haya mawili yanapiga vita christian Conservative policies ati wakisema ni sera za white supremacists- UONGO. katika vita yao pia wanawalenga wayahudi. PESA wanazipata kutoka Kwa mashetani wa Qatar ambao shatani wao allah amewarundikia kupitia machimbo ya Gas.
Pesa hizo ndiyo zinatekeleza mkakati wa ku brainwash vijana kwenye mitaala ya shule na vyuo vikuu; hii ikijumuisha pia kuwanunua wahadhiri wa vyuo hivyo vikuu ili wafundishe propaganda za Kikomunisti na kiislamu.
Kwa Maana hiyo huyo kijana matendo yake ya kishetani ni matokeo ya mafundisho ya KIISLAMU NA kuchanganywa na UKOMUNISTI.
Hata hapa kwetu hayo si ajabu yanatokea kwenye baadhi ya elite schools and universities like those with roots in Turkey 🇹🇷
I bookmark it, awaiting the truth bandage is pointing to.
Kwani Trump ni serikali?, unaelewa kuwa US ni miongoni mwa nchi zenye compartmentalization ya Hali ya juu Sana kuliko nchi yoyote Ile duniani, even Trump si kwamba ndo Kila kitu thus why hata Term iliyopita before Joe alikuwepo, Sec Amendment iko kwenye hang for decades...Thus wameamua kukubali madhara kidogo kuliko mengi kwa wakati huu.Trump kweli ajue asiwakamate na anavyochukia illegal immigrants na gangs za Mexico ambao sio tu wanaingiza silaha bali madawa ya kulevya.
Tatizo ukitaka kuzichukua hizo silaha unakutana na zuio la mahakama, zuio la governors wa Democrats, maandamano n.k ni ngumu sana kwenye nchi za demokrasia ku enforce sheria.
Hahaha wakamfufue akagombee urais huko kwao.