Muujiza wa Familia ya Nigeria ulivyoishangaza Sayansi

Hajapigwa na walipima DNA.
Na wala sayansi haikushangazwa walilitolea ufafanuzi wa kisayansi.
 
Imani ni bayana ya mambo yatarajiwayo.......Eti ni muujiza!!??
Muujiza kwenye hadithi, ukishawezekana si muujiza tena.

Hii issue ingetokea Nigeria vijijini huko hamna wazungu na watu hawatoki, ingekuwa na uzito zaidi.

Sasa badala ya kutokea Nigeria vijijini, imeenda kuchagua kutokea London Uingereza katikati ya wazungu!
 
Hajapigwa na walipima DNA.
Na wala sayansi haikushangazwa walilitolea ufafanuzi wa kisayansi.
Mhhhh! Alipima vituo (maabara) vingapi? ref. Completely Randomized Design. au Randomized Replication of the trials.
 
Nadhani atakuwa amejifunza kitu kama ataisoma komenti hii 👆 👆 para ya mwisho.
 
Jamaa aache uboya
Kwani hata mwanamke angetembea na mzungu mtoto angekuwa hivi? Si angekuwa chotara? Hii habari ni ya siku nyingi na baada ya uchanguzi iligundulika kuwa wazazi wote wana nasaba za kizungu walizopata kupitia kwa mababu wa zamani.
 
Mkuu hii movie inaitwaje na mimi nikaipakue huko mtandaoni maana inaonekana ni kali sana
 
Kabla ya kuita muujiza wapime DNA na kulinganisha na baba.

Ni muujiza kwa maana mweusi + mweupe = chocolate baby.
Sasa huyu ni mzungu pyuwa.
Narudia tena ni muujiza
 
Nimesikitika kuona kichwa cha habari ikisema muujiza,hiyo ni mpango wa baba na mkewe au baba kachapiwa hiyo ndio nadharia kubwa hapo
 
Ni muujiza kwa maana mweusi + mweupe = chocolate baby.
Sasa huyu ni mzungu pyuwa.
Narudia tena ni muujiza

Unajuaje wazazi ni mweusi na mweupe?

Herufi tatu tu zinamaliza mjadala.

DNA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…