Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Tuendelee kuzitwanga four cousins Kama kawa,sio dhambi hata kidogo....Kuna dhambi nyingi hazisemwi Kama husuda,masengenyo,choyo...nk
 
Aliweka kipimo Cha ulevi kuwa ukifika hapa umekuwa umelewa na ukifika hapa unakuwa mnywaji ni nanii?
Hicho kipimo Cha ulevi ni kipi
Swali lako ni sawa mtu anaeuliza Alieweka kipimo cha kuvembewa ni nan kwan? Na kipimo cha kuvembewa ni kipi?
Hii inanipa mashaka sana juu ya kiwango chako cha akili.

Duniani kote sijawai kusikia kipimo cha ulevi bali kuna kipimo cha kilevi kilichoko mwilin mwako(kama vinavyotumika kuwapima madreva) kulewa kunategemea na mwili wa mhusika mwenyewe una uwezo gan wa kuhimili kilevi
 
Tunapenda kutafsiri biblia kwa mtindo wa kuhalalisha matamanio yetu.

Inawezekana tafsiri ya hilo neno ni kuwa maneno uyasikiayo hayana najisi kwako bali yale yanayokutoka wewe halafu sisi tukahamishia hilo fungu kwenye ulabu[emoji23]

Tusihalalishe dhambi, tuyafanye kwa chaguzi zetu. Umeamua kuzini zini tu hakuna haja ya kutafuta uhalali HAUPO.
Sasa kwanini maneno ya mungu yaje kwa mtindo wa mafumbomafumbo na nahau kibao, kwann asingetumia tu lugha nyepesi simple and clear ili kila mtu apate kumuelewa anachomaanisha? Mana mistari mingi utaambiwa mara ooh hilo neno lina maana nyingi mara hapo hajaamaanisha hivyo mara hapo hivi saa nyengine mpaka utafunguliwa na dictionary kabisa. Yani aumbe ulimwengu mzima na vyote vilivyomo halafu tu anashindwa kuleta maandiko ambayo yapo perfect kila mwanadamu akisoma aseme yeess huyu kweli mungu lakini sio kama hivi maandiko yalivyo mpaka dini imekuwa na madhehebu kibao kwa sababu maandiko yake yana utata mwingi sana yani kila mtu anamuelewa kivyake tu
 
Vipi nikamchukua mwanamke nikaingiza tu uume Mara moja.
Nitakuwa nimezini au sijazini?
Nimepata dhambi au sijapata dhambi.?
Kwanza una umri gani? Maana inawezekana ninasadiki jambo na mtoto mdogo.Tupo hapa kueleweshana si kubishana.Kama umeshaeleweshwa na umeshaufahamu ukweli lakini bado inaonekana hautaki kukubali ukweli nadhani utakuwa na matatizo.Mwerevu hukubali na kuelimika Bali Mpumbavu hujifanya mshindani na mjuaji.Kama hauna lengo la kujifunza hata tuongee mpaka kesho hautakubali kujifunza na kuelewa.Tunazungumzia dhambi ya ULEVI sasa mambo ya ZINAA yametoka wapi? Hizo ni dhambi mbili tofauti.Kusema kwamba kisa wote wanatumia pombe ni sawa na kusema aliyechinja mbuzi na aliyeua mtu wote wana dhambi kwakuwa wametumia kisu.

USHAURI ;Usipende kubisha kila jambo Bali kubali kuwa mjinga ili kujifunza

NB; Ukiendelea kubishana sitokujibu
 
Yaani Mimi nilieingiza Mara moja uume wangu Nina dhambi na Yule aliyefanya Mara nyingi Ana dhambi.
Ila Yule aliyekunywa kidogo Hana dhambi Ila aliyekunywa Sana akalewa Ana dhambi.?[emoji848][emoji848]
Utakuwa umefanya dhambi. Tofautisha zinaa na pombe.
 
Kumuelimisha mtu ni pamoja na kumjibu maswali yake.
Nitakuwa nimezini au sijazini?
Kwanza una umri gani? Maana inawezekana ninasadiki jambo na mtoto mdogo.Tupo hapa kueleweshana si kubishana.Kama umeshaeleweshwa na umeshaufahamu ukweli lakini bado inaonekana hautaki kukubali ukweli nadhani utakuwa na matatizo.Mwerevu hukubali na kuelimika Bali Mpumbavu hujifanya mshindani na mjuaji.Kama hauna lengo la kujifunza hata tuongee mpaka kesho hautakubali kujifunza na kuelewa.Tunazungumzia dhambi ya ULEVI sasa mambo ya ZINAA yametoka wapi? Hizo ni dhambi mbili tofauti.Kusema kwamba kisa wote wanatumia pombe ni sawa na kusema aliyechinja mbuzi na aliyeua mtu wote wana dhambi kwakuwa wametumia kisu.

USHAURI ;Usipende kubisha kila jambo Bali kubali kuwa mjinga ili kujifunza

NB; Ukiendelea kubishana sitokujibu
 
Sasa kwanini watu wawili waliokunywa pombe mmoja awe na dhambi na mwingine asiwe na dhambi?
Wakati wote wamekunywa pombe?
Tatizo ni uwezo wa kufanya maamuzi.
Unapolewa unapoteza asilimia kubwa ya utashi wako juu ya kufanya maamuzi tofaut na mtu ambaye ajalewa.
 
Yaani Mimi nilieingiza Mara moja uume wangu Nina dhambi na Yule aliyefanya Mara nyingi Ana dhambi.
Ila Yule aliyekunywa kidogo Hana dhambi Ila aliyekunywa Sana akalewa Ana dhambi.?[emoji848][emoji848]
Tofautisha pombe na zinaa.
Zinaa inaanzia pole unapo mtamani tu mtu sio mpaka uingize dushe. Ila kunywa pombe haimaanishi kulewa kwan unaweza kunywa ila usilewe ukawa bado na uwezo wa kucontral akili yako juu ya kujihusisha na vitendo vya dhambi
 
1 Yoh 2:15-17 SUV​

Msiipende dunia, wala mambo yaliyomo katika dunia. Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani yake. Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia. Na dunia inapita, pamoja na tamaa zake, bali yeye afanyaye mapenzi ya Mungu adumu hata milele.
 
Sasa kwanini maneno ya mungu yaje kwa mtindo wa mafumbomafumbo na nahau kibao, kwann asingetumia tu lugha nyepesi simple and clear ili kila mtu apate kumuelewa anachomaanisha? Mana mistari mingi utaambiwa mara ooh hilo neno lina maana nyingi mara hapo hajaamaanisha hivyo mara hapo hivi saa nyengine mpaka utafunguliwa na dictionary kabisa. Yani aumbe ulimwengu mzima na vyote vilivyomo halafu tu anashindwa kuleta maandiko ambayo yapo perfect kila mwanadamu akisoma aseme yeess huyu kweli mungu lakini sio kama hivi maandiko yalivyo mpaka dini imekuwa na madhehebu kibao kwa sababu maandiko yake yana utata mwingi sana yani kila mtu anamuelewa kivyake tu
Tafsiri ndo huleta shida. Maneno sahihi aliyomaanisha ni nn? Aliwalenga kina nani?

Tafsiri ya Lugha ya wakati huo tunafahamu vp kuwa ndiyo alichomaanisha katika tafsiri ya wakati wa sasa?

La msingi tumia akili na nafsi aliyokupa MUNGU, kama nafsi yako na akili yako inakuambia hakuna tatizo basi wewe fanya, ila ukiona akili inakuambia kuna tatizo na nafsi inakataa ila unalazimishia kwa kutafuta fungu la biblia kuna tatizo.

Mfano: Kimuingiacho mtu si najisi unajiuliza tu inamaana hata nyama ya binadamu?
Hili fungu lililenga kuwa tule chochote tutakacho au litatumika kwenye ulabu tu halafu kwengine hapana? Basi hapo unaona kabisa kuna tatizo huitaji mchungaji.
 
-Ujue Mvinyo hutengenezwa kwa atekukamua maji ya mzabibu kisha hutokea juisi divai
-Divai inaweza kuwa juisi isiyolewesha na divai inaweza kuwa pombe iliyokaa mda mrefu na hii huitwa mvinyo.
-Yesu alitengeneza juisi ya mzabibu na sio pombe, angefanya hivyo angekinzana na maandoko mengi katika biblia na hivyo leo hii tungesema Yesu hakuwa mtii kwa maandiko.

31 Usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu; Iitiapo bilauri rangi yake, ishukapo taratibu;
32 Mwisho wake huuma kama nyoka; Huchoma kama fira. (Mithali 23:31-32)
Atengeneze juice kwenyr harusi ya wayahudi....tena wakimaliza waanzr kulaumu kwa nini ineletwa mwisho baada ya rojorojo? Tumieni akili ya kawaida basi.
 
Vipi nikamchukua mwanamke nikaingiza tu uume Mara moja alafu nikatoa.
Nitakuwa nimezini au sijazini?
Nimepata dhambi au sijapata dhambi.?
Ndugu yangu unatoa mifano isiyohusiana kabisa.
Umeambiwa usizini nakuzini kunajulikana sasa ukisema kuingiza uume kwenye uke si ndio kitendo cha kuzini hicho hakuna Kiasi cha kuzini imesemwa usizini.

Kunywa na kulewa haviko sawa mkuu
Ila huwezi kulewa bila kunywa Kwa kuwa kulewa nikuzidisha Kiasi cha kunywa unachoweza kuhimiili.
 
yaani zinaa ukitamani umezini.ila pombe mpaka ulewe ndo dhambi.
Daah kweli Mungu anawapenda walevi hongereni

Back
Top Bottom