mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Ni dhambi
Swali lako ni sawa mtu anaeuliza Alieweka kipimo cha kuvembewa ni nan kwan? Na kipimo cha kuvembewa ni kipi?Aliweka kipimo Cha ulevi kuwa ukifika hapa umekuwa umelewa na ukifika hapa unakuwa mnywaji ni nanii?
Hicho kipimo Cha ulevi ni kipi
Ni dhambiVipi zinaa ni dhambi au sio dhambi?
Ni dhambi
Bangi ni mboga tu mbona !Tutafutie na mstari wa bangi hatutaki mchezo kabisa haya mambo lazima yaeleweke.
Utakuwa umefanya dhambi. Tofautisha zinaa na pombe.Nikimchukua mwanamke nikaingiza tu uume wangu Mara moja alafu nikatoa nitakuwa nimefanya dhambi au sijafanya?
Utakuwa umefanya dhambi. Tofautisha zinaa na pombe.
Sasa kwanini maneno ya mungu yaje kwa mtindo wa mafumbomafumbo na nahau kibao, kwann asingetumia tu lugha nyepesi simple and clear ili kila mtu apate kumuelewa anachomaanisha? Mana mistari mingi utaambiwa mara ooh hilo neno lina maana nyingi mara hapo hajaamaanisha hivyo mara hapo hivi saa nyengine mpaka utafunguliwa na dictionary kabisa. Yani aumbe ulimwengu mzima na vyote vilivyomo halafu tu anashindwa kuleta maandiko ambayo yapo perfect kila mwanadamu akisoma aseme yeess huyu kweli mungu lakini sio kama hivi maandiko yalivyo mpaka dini imekuwa na madhehebu kibao kwa sababu maandiko yake yana utata mwingi sana yani kila mtu anamuelewa kivyake tuTunapenda kutafsiri biblia kwa mtindo wa kuhalalisha matamanio yetu.
Inawezekana tafsiri ya hilo neno ni kuwa maneno uyasikiayo hayana najisi kwako bali yale yanayokutoka wewe halafu sisi tukahamishia hilo fungu kwenye ulabu[emoji23]
Tusihalalishe dhambi, tuyafanye kwa chaguzi zetu. Umeamua kuzini zini tu hakuna haja ya kutafuta uhalali HAUPO.
Kwanza una umri gani? Maana inawezekana ninasadiki jambo na mtoto mdogo.Tupo hapa kueleweshana si kubishana.Kama umeshaeleweshwa na umeshaufahamu ukweli lakini bado inaonekana hautaki kukubali ukweli nadhani utakuwa na matatizo.Mwerevu hukubali na kuelimika Bali Mpumbavu hujifanya mshindani na mjuaji.Kama hauna lengo la kujifunza hata tuongee mpaka kesho hautakubali kujifunza na kuelewa.Tunazungumzia dhambi ya ULEVI sasa mambo ya ZINAA yametoka wapi? Hizo ni dhambi mbili tofauti.Kusema kwamba kisa wote wanatumia pombe ni sawa na kusema aliyechinja mbuzi na aliyeua mtu wote wana dhambi kwakuwa wametumia kisu.Vipi nikamchukua mwanamke nikaingiza tu uume Mara moja.
Nitakuwa nimezini au sijazini?
Nimepata dhambi au sijapata dhambi.?
Utakuwa umefanya dhambi. Tofautisha zinaa na pombe.
Kwanza una umri gani? Maana inawezekana ninasadiki jambo na mtoto mdogo.Tupo hapa kueleweshana si kubishana.Kama umeshaeleweshwa na umeshaufahamu ukweli lakini bado inaonekana hautaki kukubali ukweli nadhani utakuwa na matatizo.Mwerevu hukubali na kuelimika Bali Mpumbavu hujifanya mshindani na mjuaji.Kama hauna lengo la kujifunza hata tuongee mpaka kesho hautakubali kujifunza na kuelewa.Tunazungumzia dhambi ya ULEVI sasa mambo ya ZINAA yametoka wapi? Hizo ni dhambi mbili tofauti.Kusema kwamba kisa wote wanatumia pombe ni sawa na kusema aliyechinja mbuzi na aliyeua mtu wote wana dhambi kwakuwa wametumia kisu.
USHAURI ;Usipende kubisha kila jambo Bali kubali kuwa mjinga ili kujifunza
NB; Ukiendelea kubishana sitokujibu
Tatizo ni uwezo wa kufanya maamuzi.Sasa kwanini watu wawili waliokunywa pombe mmoja awe na dhambi na mwingine asiwe na dhambi?
Wakati wote wamekunywa pombe?
Tofautisha pombe na zinaa.Yaani Mimi nilieingiza Mara moja uume wangu Nina dhambi na Yule aliyefanya Mara nyingi Ana dhambi.
Ila Yule aliyekunywa kidogo Hana dhambi Ila aliyekunywa Sana akalewa Ana dhambi.?[emoji848][emoji848]
Tafsiri ndo huleta shida. Maneno sahihi aliyomaanisha ni nn? Aliwalenga kina nani?Sasa kwanini maneno ya mungu yaje kwa mtindo wa mafumbomafumbo na nahau kibao, kwann asingetumia tu lugha nyepesi simple and clear ili kila mtu apate kumuelewa anachomaanisha? Mana mistari mingi utaambiwa mara ooh hilo neno lina maana nyingi mara hapo hajaamaanisha hivyo mara hapo hivi saa nyengine mpaka utafunguliwa na dictionary kabisa. Yani aumbe ulimwengu mzima na vyote vilivyomo halafu tu anashindwa kuleta maandiko ambayo yapo perfect kila mwanadamu akisoma aseme yeess huyu kweli mungu lakini sio kama hivi maandiko yalivyo mpaka dini imekuwa na madhehebu kibao kwa sababu maandiko yake yana utata mwingi sana yani kila mtu anamuelewa kivyake tu
Atengeneze juice kwenyr harusi ya wayahudi....tena wakimaliza waanzr kulaumu kwa nini ineletwa mwisho baada ya rojorojo? Tumieni akili ya kawaida basi.-Ujue Mvinyo hutengenezwa kwa atekukamua maji ya mzabibu kisha hutokea juisi divai
-Divai inaweza kuwa juisi isiyolewesha na divai inaweza kuwa pombe iliyokaa mda mrefu na hii huitwa mvinyo.
-Yesu alitengeneza juisi ya mzabibu na sio pombe, angefanya hivyo angekinzana na maandoko mengi katika biblia na hivyo leo hii tungesema Yesu hakuwa mtii kwa maandiko.
31 Usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu; Iitiapo bilauri rangi yake, ishukapo taratibu;
32 Mwisho wake huuma kama nyoka; Huchoma kama fira. (Mithali 23:31-32)
Ndugu yangu unatoa mifano isiyohusiana kabisa.Vipi nikamchukua mwanamke nikaingiza tu uume Mara moja alafu nikatoa.
Nitakuwa nimezini au sijazini?
Nimepata dhambi au sijapata dhambi.?
Tofautisha pombe na zinaa.
Zinaa inaanzia pole unapo mtamani tu mtu sio mpaka uingize dushe. Ila kunywa pombe haimaanishi kulewa kwan unaweza kunywa ila usilewe ukawa bado na uwezo wa kucontral akili yako juu ya kujihusisha na vitendo vya dhambi