Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

John 2
New International Version

Jesus Changes Water Into Wine​

2 On the third day a wedding took place at Cana in Galilee.(A) Jesus’ mother(B) was there, 2 and Jesus and his disciples had also been invited to the wedding. 3 When the wine was gone, Jesus’ mother said to him, “They have no more wine.”
4 “Woman,[a](C) why do you involve me?”(D) Jesus replied. “My hour(E) has not yet come.”
5 His mother said to the servants, “Do whatever he tells you.”(F)
6 Nearby stood six stone water jars, the kind used by the Jews for ceremonial washing,(G) each holding from twenty to thirty gallons.[b]
7 Jesus said to the servants, “Fill the jars with water”; so they filled them to the brim.
8 Then he told them, “Now draw some out and take it to the master of the banquet.”
They did so, 9 and the master of the banquet tasted the water that had been turned into wine.(H) He did not realize where it had come from, though the servants who had drawn the water knew. Then he called the bridegroom aside 10 and said, “Everyone brings out the choice wine first and then the cheaper wine after the guests have had too much to drink; but you have saved the best till now.”
11 What Jesus did here in Cana of Galilee was the first of the signs(I) through which he revealed his glory;(J) and his disciples believed in him.(K)
12 After this he went down to Capernaum(L) with his mother(M) and brothers(N) and his disciples. There they stayed for a few days.
Ndio naitumia hyo Niv bible
 
Ndio naitumia hyo Niv bible
Screenshot_20220103-100351_Chrome.jpg
 
Sasa tufuate mafundisho na matendo ya Yesu, au tumfuate Paulo?
Kusema kwamba yohana hakunywa divai ni maamuzi yake sababu si lazima kunywa na sio dhambi na pia kunywa au kuto kunywa divai ni.maamuzi ya mtu kumbuka ukisoma bibliq wengi walikuwa wanatumia divai kutokana kutokana na maji kuwa machafu kwa hyo walikuwa wanaugua sana matumbo kuna sehem ktk biblia kuna mtu alikuwa anaumwa tumbo akashauriwa awe anatumia divai safi kwa hyo yohana na Yesu wako sawa kabisa hata siku za leo kuna wengine hawali kuku wengine wanakula kuku kwa hyo ni.maamuzi tu ya mtu na wkt mwingine maradhi unakatazwa na daktari kwa hyo jua divai si pombe ila divai ikichacha inakuwa pombe ,si ruhusa kwa mkristo kunywa pombe...haifai hata kidogo...
 
Sasa tusiwakataze watu wasigonge vyombo, kila mtu afanye kilicho chema kwake
 
Kusema kwamba yohana hakunywa divai ni maamuzi yake sababu si lazima kunywa na sio dhambi na pia kunywa au kuto kunywa divai ni.maamuzi ya mtu kumbuka ukisoma bibliq wengi walikuwa wanatumia divai kutokana kutokana na maji kuwa machafu kwa hyo walikuwa wanaugua sana matumbo kuna sehem ktk biblia kuna mtu alikuwa anaumwa tumbo akashauriwa awe anatumia divai safi kwa hyo yohana na Yesu wako sawa kabisa hata siku za leo kuna wengine hawali kuku wengine wanakula kuku kwa hyo ni.maamuzi tu ya mtu na wkt mwingine maradhi unakatazwa na daktari kwa hyo jua divai si pombe ila divai ikichacha inakuwa pombe ,si ruhusa kwa mkristo kunywa pombe...haifai hata kidogo...
SIRA 31:24-31
24Mchoyo wa chakula atasemwa kijijini kote,
na maoni yao juu ya uchoyo wake ni kweli.
Pombe iliumbwa kumfurahisha mtu
25Usijioneshe kuwa hodari wa kunywa pombe,
maana pombe imewaangamiza wengi.
26Tanuri hupima ugumu wa chuma,
na pombe hupima mioyo katika shindano la wenye kiburi.
27Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi.
Maisha yafaa nini bila pombe?
Imeumbwa iwafurahishe watu.
28Kunywa pombe wakati wake na kwa kiasi,
kwaleta shangwe moyoni na furaha rohoni.
29Lakini kunywa pombe kupita kiasi,
kunaleta kuumwa kichwa, uchungu na fedheha.
30Ulevi huongeza hasira ya mpumbavu akajiumiza mwenyewe;
humdhoofisha na kumwongezea majeraha.
31Usimkaripie jirani yako kwenye pombe,
wala usimdharau anapofurahia karamu.
Usimwambie neno la kumwonya,
wala usimsumbue kwa kumtaka alipe deni
 
Ukiondoa kifungu hicho,pia kuna neno linasema "kimtokacho mtu ndicho kimtiacho unajisi,na sio kimuingiacho".

Tatizo dini zetu ni mapokeo kutoka Kwa wazungu,alafu sisi tunaamini tunaijua(dini/biblia) kuliko wao waliotuletea.

Ndio maana leo makanisa mengi yanahubiri mafanikio,fungu la kumi nk.

Imani na upendo vimewekwa Kandi kama sio msingi wa ukristo,yaani kumjua,kumwabudu na kumtumikia MUNGU sio jambo la msingi.

Mimi naamini kuna mahali tumekengeuka.
Amen
 
Kwa hapa duniani watu wanaoshi kwa furaha na kula mema ya nchi basi mojawapo ni wanywaji wa Pombe.
Ila sio Walevi na Walafi.

Kwenye Baraza za Pombe kuna mambo mengi sana.

Mimi binafsi napata Maarifa mengi sana kwenye Bar za Vinywaji.

Kwakuwa nakutana na watu wengi wenye nyazifa mbalimbali na ni sehemu pekee ninayoweza kuelewana nao kwa urahisi.

Mipango mingi na fulsa nyingi zinapatikana katika baraza za Vinywaji

Kufahamiana na vigogo wa idara mbalimbali ambao nikiwa na ishu ktk idara hiyo nawasiliana na bila shida na kuhudumiwa vizuri.

Kufahamiana na watu wa kada mbalimbali kama Madaktari Wanasheria, Madalari nk.

Kupata marafiki wa ukweli wenye uwezo wa kukusaidia ktk maswala mbali mbali kwa haraka.

Kinachotakiwa hapa ni kwenda kupata Kinywaji kwenye Bar zenye hadhi.

Vigrosari na vi Bar vya uchocholoni havina cha maana zaidi ya kupata kinywaji katika mazingira hatarishi.

Kupitia vikao vya kwenye vinywaji nimeweza kujipatia vitu vingi sana vya thamani kwa bei nafuu sana
Kama viwanja, mashamba, nyenzo za kazi, nk.

Haya ni manufaa machache tu kwa kuyataja, kuna mengi sana nimeyaacha kutokana na kuandika kwa kifupi.

Pia ni matokeo ya kuto kuwa Mlevi.
Mlevi akienda Bar anachowaza ni kunywa Pombe tu na Kulewa.

Sisi wanywaji tunaenda Bar, ili kujiburudisha na pia kubadilishana mawazo na wadau mbalimbali ili kujiletea maendeleo.
 
Unataka kusema Divai ni juisi, hata kama umekuwa msukule wa dini ndio uende kinyume na ukweli kiasi hicho! Situmii pombe ila najua neno divai tumetohoa kutoka lugha ya kifaransa "du vin" au waswahili tunaita pia mvinyo kitu kile kile (kisawe) ambalo neno hilo lina asili ya kitaliano "vino"

Kwa hiyo Nuhu alipolewa kwenye agano la kale alikuwa juisi( Divai)

Pathetic.
 
Mbona unamkingia kifua Yesu, zamani pombe haikuwa haramu, imeharamishwa na makanisa baadaye na ndio maana akili zenu nyembamba zinashindwa kuumeng'enya huo ukweli. Hivi ni sawa na ulivyoambiwa mara nyingi sana kuwa Mungu yupo, ghafla atokee mtu aseme Mungu hayupo utabisha bila ushahidi kwasababu akili yako imekubali tangu ukiwa mdogo kuhusu uwepo wa Mungu !!
 
Mithali 31: 6 - 7
6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.

7Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake
Lea Hiro maskini akinywa akasahau umaskini Wake anageuka kuwa tajiri pombe ikiisha kichwani?
 
Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.

Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.

Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.

Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?🥃🥂🍻🍺🍷
Hayo makanisa hayajitambui. Ni uzao wa uasi wa martin luther 1517, before hakukuwa na ujinga ujinga kama huo.
 
Kusema kwamba yohana hakunywa divai ni maamuzi yake sababu si lazima kunywa na sio dhambi na pia kunywa au kuto kunywa divai ni.maamuzi ya mtu kumbuka ukisoma bibliq wengi walikuwa wanatumia divai kutokana kutokana na maji kuwa machafu kwa hyo walikuwa wanaugua sana matumbo kuna sehem ktk biblia kuna mtu alikuwa anaumwa tumbo akashauriwa awe anatumia divai safi kwa hyo yohana na Yesu wako sawa kabisa hata siku za leo kuna wengine hawali kuku wengine wanakula kuku kwa hyo ni.maamuzi tu ya mtu na wkt mwingine maradhi unakatazwa na daktari kwa hyo jua divai si pombe ila divai ikichacha inakuwa pombe ,si ruhusa kwa mkristo kunywa pombe...haifai hata kidogo...
yaani wewe jamaa una viroja Sana una taka kutuaminisha Ile divai waliyotumia Waisrael enzi zile haikua pombe nani kakudanganya Kwa taarifa Yako ukiona neno divai kwenye bible hua hio ni pombe tu kama unabisha Nenda kasome kuhusu utamaduni wa Watu wa mashariki ya kati kutumia Divai Kwa kiingereza Wine 🍷
 
Back
Top Bottom