Muujiza wa Mtakatifu Francis Xavier na Kaa wa Msalaba

Muujiza wa Mtakatifu Francis Xavier na Kaa wa Msalaba

Wanafunzi wa kwanza walimuelewaje Yesu?

Matendo ya Mitume 3:13 imeandikwa hivi…

Mungu wa Ibrahimu na wa Isaka na wa Yakobo, Mungu wa Baba zetu amemtukuza Mtumishi wake Yesu ambaye nyinyi mlimsaliti na kumkana mbele ya Pilato, alipokuwa ametoa hukumu yake ili afunguliwe.

Maneno ya wanafunzi yalikuwa wazi kuwa Yesu ni Mtumishi wa Mungu tu yaani Mtume pia ni Nabii.

Matendo ya Mitume 4:27 imeandikwa hivi…

maana ni kweli Herode na Pontio Pilato pamoja na Mataifa na watu wa Israel walikusanyika katika mji huu juu ya Mtumishi wako Mtakatifu Yesu uliyemtia mafuta.

Wanafunzi wanaendelea na msimamo wao kwamba Yesu ni Mtumishi wa Mungu aliyetumwa (Mtume) tu.

Luka 24:19 imeandikwa: -

…Akawauliza mambo gani? Wakamwambia mambo ya Yesu Wanazareti aliyekuwa mtu nabii mwenye uwezo wa kutenda na kusema mbele za Mungu na Wanadamu.

Marko 6:2 imeandikwa: -

Na ilipokuwa Sabato aliingia katika Sinagogi, wengi waliposikia walishangaa wakasema huyu ameyapata wapi haya! Hekima gani hii? Aliyopewa huyu? Nini miujiza hii mikubwa inayotendeka kwa mikono yake? Huyu si ni yule Selemala mwana wa Mariamu na nduguyao Yakobo na Yosef na Yuda na Simoni na Maumbu wake hawapo hapa? (Maana ya Maumbu ni Madada)
Yesu ndo Mungu wako
Kiri na kumwamini ili akuoe.
Au mfuate muddy, ufe ukutane na Yesu akupeleke alipo muddy motoni
 
Yesu ndo Mungu wako
Kiri na kumwamini ili akuoe.
Au mfuate muddy, ufe ukutane na Yesu akupeleke alipo muddy motoni
Mbona unageuka Lucifer ? Unataka watu wakufuate badala ya kumfuata Yesu aliyesema sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli ?

Kama Yesu ni Mungu , katumwa na Mungu gani?

Tena huyo aliyemtuma hakumtuma kwetu , kamtuma kwa wana Israeli tu

Mungu anatumwa ?
 
Back
Top Bottom