Mfano wa gesi ni mfano wa uongo mkubwa ulioenda viral bila kutegemeaKuna siku nipo YouTube nakawa namsikiliza mtoto wa Nyerere anaitwa Rosemary Nyerere (RIP).
Huyu alisema kipindi wanasoma , walilazimika kufuga kuku ili kupata hela ya Ada na wakati huo baba alikuwa Rais.
Nikawa nawaza Mimi Babu yangu alikuwa muhasibu , mwenye Diploma na amefanya Kazi na wakoloni pamoja na Nyerere Ila watoto wake wore walisoma vizuri na Shule bora mpaka wengine walisoma nje.
Na huyo alikuwa mfanyakazi tu Ila watoto wa Rais ili wapate Ada ilibidi wafuge Kuku aaah!!!
Najaribu kuangalia ukwasi wa Kapora na kuishiwa gas na kupuliza na kurejea mtoto wa Nyerere Rosemary.
Ahaaaa!!!! Zama zinabadilika sanaMfano wa gesi ni mfano wa uongo mkubwa ulioenda viral bila kutegemea
una shida mahaliTony Kapola anatumia nguvu nyingi sana kuusafisha uongo wa mkewe kwenye muujiza wa gesi.. Anatumia cover up ya Biblia takatifu na vijembe vyenye matusi ndani yake! Lakini hatafanikiwa bali ndio anazidi kuharibu
Ukweli ni kwamba hakuna watu mahiri wa kutoa mifano ya uongo kama hawa wahubiri na wake zao.. Kuna wakati mtu anatoa mfano wa uongo ama ushuhuda feki mpaka inakera
Mke wa Tony Kapola alichotoa ni ushuhuda wa muujiza feki ambao hakutegemea kama utaenda viral mitandaoni
Waumini ni kama mikondoo . huwa hawahoji kwakuwa wanahubiriwa na wanachotakiwa kufanya ni kuamini... Sasa kwa dunia ya leo ya utandawazi unaweza kuwa control waumini wako lakini si watu wengine nje ya waumini wako
Twendeni na huu uhalisia wa maisha muone yule mama na mumewe walivyo majuha
Kwa ukwasi walionao na maisha wanayoishi haiingii akilini hata siku moja kwamba wanatumia jiko la gesi lisilo na option ya umeme.. Never!
Kwa maisha wanayoishi haiingilii akilini kwamba wanatumia gesi yenye regulator ya kawaida isiyoonesha kiwango cha gesi.. Siku hizi kuna regulator za kisasa zinazokuonesha kiwango cha gesi kilichopo
Kwa maisha ya ukwasi wanayoishi haingilii akilini kabisa kwamba hawana wafanyakazi wa ndani kama mpishi, mfanya usafi nknk
Inawezekana hata kama wapo wafanyakazi lakini mzee hupenda kula kilichopikwa na mkewe ama kuna siku mama huamua kuingia mwenyewe jikoni! Na siku hiyo ndiyo ikawa hivyo na kukutana na gesi ikiwa imekwisha!
Hapa kuna jambo lingine la kuzingatia.. Kwakuwa mama si mpishi wa mara kwa mara hivyo hajui kwamba kuna wakati regulator hufungwa na mtu aliyetumia mara ya mwisho...Hapo bila kuifungua regulator iruhusu gesi kupita, kule kwenye burner hakutawaka!
Pengine bila kulijua hili mama akaripoti kwa mzee .. Mzee akaja jiloni akapiga maombi akaupuliza mtungi ukajaa gesi akafunguq regulator. Mama akawasha kwenye burner.. Gesi ikawaka kwa kasi.. Na ikawa ni muujiza tayari๐๐๐
Hapa kuna mtu aliingizwa cha kike naye akaenda kuwaingiza wengine! Mtungi wa gesi sio puto jamani.. Kwamba utapuliza na kuona kabisa linajaa hewa! Kapola yeye kapuliza mtungi wa gesi na kuujaza gesi.. Sasa sijui ni ule mkubwa au ni ile inayogawiwa vijijini maarufu kama mitungi ya mama!?๐ค๐ฉ
Kwa uzoefu wangu kwenye miujiza ya dharura kama hiyo.. Hakukuwa na haja Tony aanze kuupuliza mtungi bali ilikuwa ni kitendo cha kuamrisha ama kuomba kiimani na jambo likawa!
Ni kama tu wale wachawi konki.. Wao hawahitaji pesa! Maana hawana matumizi nazo kwakuwa kila watakacho hukipata kwa kutamka tu!
Kapola alikuwa na uwezo wa kutamka shibe na wakashiba.. Alikuwa na uwezo wa kutamka chakula kiive bila gesi na ikawa nknk.. Lakini muujiza wa kupuliza mtungi mtupu na ukajaa gesi ni uongo uliopitiliza!View attachment 3435472
Au akapimwe kuonesha anapumuaga hewa NLG na anao uwezo wa kusukuma pascal units (presha)Afungue kituo cha gesi sasa

Aaah! Ile mikubwa sio rahisi kuibeba kivile.๐๐๐๐ mtungi wa mama au ile mikubwa?
Mimi zamani kilingeni sikuhangaika kihivyo
Tunaamini kirahisi sana auWaAfrika tuna shida mahali
Kwa mantiki hiyo mke wake alikuwa na imani sio?Kama mtumiaji akiwa hana Imani mtungi hauwezi kujaa kwahiyo kutakuwa na malalamiko mengi sana ๐
Mshana Jr nimeona nikujibu maana wewe ni gangwe. Hicho alichokisema Mke wa Pastor Tony kina ukweli ๐ฏ. Kwenye biblia Nabii Elia aliombea Unga na Mafuta kwa yule Mama Mjane na walipika na havikuisha walipika na kula kwa siku alizokuwa Elia kahifadhiwa. Kwa habari zaidi somaTony Kapola anatumia nguvu nyingi sana kuusafisha uongo wa mkewe kwenye muujiza wa gesi.. Anatumia cover up ya Biblia takatifu na vijembe vyenye matusi ndani yake! Lakini hatafanikiwa bali ndio anazidi kuharibu
Ukweli ni kwamba hakuna watu mahiri wa kutoa mifano ya uongo kama hawa wahubiri na wake zao.. Kuna wakati mtu anatoa mfano wa uongo ama ushuhuda feki mpaka inakera
Mke wa Tony Kapola alichotoa ni ushuhuda wa muujiza feki ambao hakutegemea kama utaenda viral mitandaoni
Waumini ni kama mikondoo . huwa hawahoji kwakuwa wanahubiriwa na wanachotakiwa kufanya ni kuamini... Sasa kwa dunia ya leo ya utandawazi unaweza kuwa control waumini wako lakini si watu wengine nje ya waumini wako
Twendeni na huu uhalisia wa maisha muone yule mama na mumewe walivyo majuha
Kwa ukwasi walionao na maisha wanayoishi haiingii akilini hata siku moja kwamba wanatumia jiko la gesi lisilo na option ya umeme.. Never!
Kwa maisha wanayoishi haiingilii akilini kwamba wanatumia gesi yenye regulator ya kawaida isiyoonesha kiwango cha gesi.. Siku hizi kuna regulator za kisasa zinazokuonesha kiwango cha gesi kilichopo
Kwa maisha ya ukwasi wanayoishi haingilii akilini kabisa kwamba hawana wafanyakazi wa ndani kama mpishi, mfanya usafi nknk
Inawezekana hata kama wapo wafanyakazi lakini mzee hupenda kula kilichopikwa na mkewe ama kuna siku mama huamua kuingia mwenyewe jikoni! Na siku hiyo ndiyo ikawa hivyo na kukutana na gesi ikiwa imekwisha!
Hapa kuna jambo lingine la kuzingatia.. Kwakuwa mama si mpishi wa mara kwa mara hivyo hajui kwamba kuna wakati regulator hufungwa na mtu aliyetumia mara ya mwisho...Hapo bila kuifungua regulator iruhusu gesi kupita, kule kwenye burner hakutawaka!
Pengine bila kulijua hili mama akaripoti kwa mzee .. Mzee akaja jiloni akapiga maombi akaupuliza mtungi ukajaa gesi akafunguq regulator. Mama akawasha kwenye burner.. Gesi ikawaka kwa kasi.. Na ikawa ni muujiza tayari๐๐๐
Hapa kuna mtu aliingizwa cha kike naye akaenda kuwaingiza wengine! Mtungi wa gesi sio puto jamani.. Kwamba utapuliza na kuona kabisa linajaa hewa! Kapola yeye kapuliza mtungi wa gesi na kuujaza gesi.. Sasa sijui ni ule mkubwa au ni ile inayogawiwa vijijini maarufu kama mitungi ya mama!?๐ค๐ฉ
Kwa uzoefu wangu kwenye miujiza ya dharura kama hiyo.. Hakukuwa na haja Tony aanze kuupuliza mtungi bali ilikuwa ni kitendo cha kuamrisha ama kuomba kiimani na jambo likawa!
Ni kama tu wale wachawi konki.. Wao hawahitaji pesa! Maana hawana matumizi nazo kwakuwa kila watakacho hukipata kwa kutamka tu!
Kapola alikuwa na uwezo wa kutamka shibe na wakashiba.. Alikuwa na uwezo wa kutamka chakula kiive bila gesi na ikawa nknk.. Lakini muujiza wa kupuliza mtungi mtupu na ukajaa gesi ni uongo uliopitiliza!View attachment 3435472
Ni kweli na hiyo ni Fursa - ILA sasa watu weusi wadanganyaji (Matapeli) hawajui kujipanga kimaandalizi na Kimkakati . Wanapwaya sana kiasi kwamba mbinu ya ulaghai wao hugundulika kirahisi mno na kwa haraka sana. Sio Maprofesheno. Ukiondoa biblia na wao ndo kwishney.Watu weusi wanapenda kudanganywa sana.
Dah! Any way; gangwe wako atajibu lakini mm nachangia tuu. Kwanza Unatakiwa uone mazingira ya kisa cha Nabii Eliya kwa mapana yake.(Mjane wa Sarepta) i.e. huyo mama mjane alikuwa na mtoto mgonjwa (alikufa lakini akafufuliwa na Eliya) mjane alikuwa amefikia ukomo wa matuamaini (haijasemwa kama alikuwa ameomba/sala kwa muda gani) ......na ndo mana siku hiyo akajibu "...nami ninaokota kuni mbili ili niingie nijipikie nafsi yangu na mwanangu, tuule tukafe". Tukirudi kwa hili la Tony: Je, huyo Tony na Mke wake walikuwa hawana tena namna/mbadala i.e. wangekufa kama wasingepata hiyo gesi? BTW, Ni kweli Mungu anaweza yote na kwa namna na muda atakavyo lakini sidhani na wala siamini kama Mungu anapenda kuamrishwa kwa matakwa ya kibinadamu tena ya kijinga kama ya Bwn. Tony i.e. Unamtia Mungu majaribuni!! mfano wa Ibilisi aliyesema... ..."Kama ww ni mwana wa Mungu amuru mawe haya yawe mkate......"Mshana Jr nimeona nikujibu maana wewe ni gangwe. Hicho alichokisema Mke wa Pastor Tony kina ukweli ๐ฏ. Kwenye biblia Nabii Elia aliombea Unga na Mafuta kwa yule Mama Mjane na walipika na havikuisha walipika na kula kwa siku alizokuwa Elia kahifadhiwa. Kwa habari zaidi soma
1 Wafalme 17:12-14. Wewe kama mdau mkubwa epuka kupotosha. Pastor Tony anahistoria yake, hiyo miujiza ni ya kweli na Mungu wake anatenda miujiza kweli kweli. Nadhani umeelewa.
Bosi wewe ni Mkristo ila imani yako ni ndogo sana maana unatumia akili yako kuamini. Kumbuka Yesu Kristo alisema โDah! Any way; gangwe wako atajibu lakini mm nachangia tuu. Kwanza Unatakiwa uone mazingira ya kisa cha Nabii Eliya kwa mapana yake.(Mjane wa Sarepta) i.e. huyo mama mjane alikuwa na mtoto mgonjwa (alikufa lakini akafufuliwa na Eliya) mjane alikuwa amefikia ukomo wa matuamaini (haijasemwa kama alikuwa ameomba/sala kwa muda gani) ......na ndo mana siku hiyo akajibu "...nami ninaokota kuni mbili ili niingie nijipikie nafsi yangu na mwanangu, tuule tukafe". Tukirudi kwa hili la Tony: Je, huyo Tony na Mke wake walikuwa hawana tena namna/mbadala i.e. wangekufa kama wasingepata hiyo gesi? BTW, Ni kweli Mungu anaweza yote na kwa namna na muda atakavyo lakini sidhani na wala siamini kama Mungu anapenda kuamrishwa kwa matakwa ya kibinadamu tena ya kijinga kama ya Bwn. Tony i.e. Unamtia Mungu majaribuni!! mfano wa Ibilisi aliyesema... ..."Kama ww ni mwana wa Mungu amuru mawe haya yawe mkate......"
- Je, mkaa ulikuwa umeisha? -Je, Fedha ya kununua gesi iliisha, Je, muda ilikuwa ni usiku hawezi tena kuagiza hata boda gesi iletwe? n.k.n.k. Mm nahitimisha kwamba huyo mungu wa bwn. Tony ni mungu wa kijiweni.(Samahani lakini kama nimekukwaza)
Mkuu, kuna uzi uliandika kwamba umeokoka. Ulokole wako unakuruhusu kuwaita walokole wenzako "majuha"? Umewashutumu kwamba wametukana halafu mwenyewe umeingia kwenye mtego huohuo wa matusi.Tony Kapola anatumia nguvu nyingi sana kuusafisha uongo wa mkewe kwenye muujiza wa gesi.. Anatumia cover up ya Biblia takatifu na vijembe vyenye matusi ndani yake! Lakini hatafanikiwa bali ndio anazidi kuharibu
Ukweli ni kwamba hakuna watu mahiri wa kutoa mifano ya uongo kama hawa wahubiri na wake zao.. Kuna wakati mtu anatoa mfano wa uongo ama ushuhuda feki mpaka inakera
Mke wa Tony Kapola alichotoa ni ushuhuda wa muujiza feki ambao hakutegemea kama utaenda viral mitandaoni
Waumini ni kama mikondoo . huwa hawahoji kwakuwa wanahubiriwa na wanachotakiwa kufanya ni kuamini... Sasa kwa dunia ya leo ya utandawazi unaweza kuwa control waumini wako lakini si watu wengine nje ya waumini wako
Twendeni na huu uhalisia wa maisha muone yule mama na mumewe walivyo majuha
Kwa ukwasi walionao na maisha wanayoishi haiingii akilini hata siku moja kwamba wanatumia jiko la gesi lisilo na option ya umeme.. Never!
Kwa maisha wanayoishi haiingilii akilini kwamba wanatumia gesi yenye regulator ya kawaida isiyoonesha kiwango cha gesi.. Siku hizi kuna regulator za kisasa zinazokuonesha kiwango cha gesi kilichopo
Kwa maisha ya ukwasi wanayoishi haingilii akilini kabisa kwamba hawana wafanyakazi wa ndani kama mpishi, mfanya usafi nknk
Inawezekana hata kama wapo wafanyakazi lakini mzee hupenda kula kilichopikwa na mkewe ama kuna siku mama huamua kuingia mwenyewe jikoni! Na siku hiyo ndiyo ikawa hivyo na kukutana na gesi ikiwa imekwisha!
Hapa kuna jambo lingine la kuzingatia.. Kwakuwa mama si mpishi wa mara kwa mara hivyo hajui kwamba kuna wakati regulator hufungwa na mtu aliyetumia mara ya mwisho...Hapo bila kuifungua regulator iruhusu gesi kupita, kule kwenye burner hakutawaka!
Pengine bila kulijua hili mama akaripoti kwa mzee .. Mzee akaja jiloni akapiga maombi akaupuliza mtungi ukajaa gesi akafunguq regulator. Mama akawasha kwenye burner.. Gesi ikawaka kwa kasi.. Na ikawa ni muujiza tayari๐๐๐
Hapa kuna mtu aliingizwa cha kike naye akaenda kuwaingiza wengine! Mtungi wa gesi sio puto jamani.. Kwamba utapuliza na kuona kabisa linajaa hewa! Kapola yeye kapuliza mtungi wa gesi na kuujaza gesi.. Sasa sijui ni ule mkubwa au ni ile inayogawiwa vijijini maarufu kama mitungi ya mama!?๐ค๐ฉ
Kwa uzoefu wangu kwenye miujiza ya dharura kama hiyo.. Hakukuwa na haja Tony aanze kuupuliza mtungi bali ilikuwa ni kitendo cha kuamrisha ama kuomba kiimani na jambo likawa!
Ni kama tu wale wachawi konki.. Wao hawahitaji pesa! Maana hawana matumizi nazo kwakuwa kila watakacho hukipata kwa kutamka tu!
Kapola alikuwa na uwezo wa kutamka shibe na wakashiba.. Alikuwa na uwezo wa kutamka chakula kiive bila gesi na ikawa nknk.. Lakini muujiza wa kupuliza mtungi mtupu na ukajaa gesi ni uongo uliopitiliza!View attachment 3435472
Msaidieni huyu matunguri yameanza kumzidi nguvu. Asipoangalia kondoo watatawanyika na kukimbilia mazizi mengine, si dalili nzuri japo yeye anaweza furahia kwamba anatrendTony Kapola anatumia nguvu nyingi sana kuusafisha uongo wa mkewe kwenye muujiza wa gesi.. Anatumia cover up ya Biblia takatifu na vijembe vyenye matusi ndani yake! Lakini hatafanikiwa bali ndio anazidi kuharibu
Ukweli ni kwamba hakuna watu mahiri wa kutoa mifano ya uongo kama hawa wahubiri na wake zao.. Kuna wakati mtu anatoa mfano wa uongo ama ushuhuda feki mpaka inakera
Mke wa Tony Kapola alichotoa ni ushuhuda wa muujiza feki ambao hakutegemea kama utaenda viral mitandaoni
Waumini ni kama mikondoo . huwa hawahoji kwakuwa wanahubiriwa na wanachotakiwa kufanya ni kuamini... Sasa kwa dunia ya leo ya utandawazi unaweza kuwa control waumini wako lakini si watu wengine nje ya waumini wako
Twendeni na huu uhalisia wa maisha muone yule mama na mumewe walivyo majuha
Kwa ukwasi walionao na maisha wanayoishi haiingii akilini hata siku moja kwamba wanatumia jiko la gesi lisilo na option ya umeme.. Never!
Kwa maisha wanayoishi haiingilii akilini kwamba wanatumia gesi yenye regulator ya kawaida isiyoonesha kiwango cha gesi.. Siku hizi kuna regulator za kisasa zinazokuonesha kiwango cha gesi kilichopo
Kwa maisha ya ukwasi wanayoishi haingilii akilini kabisa kwamba hawana wafanyakazi wa ndani kama mpishi, mfanya usafi nknk
Inawezekana hata kama wapo wafanyakazi lakini mzee hupenda kula kilichopikwa na mkewe ama kuna siku mama huamua kuingia mwenyewe jikoni! Na siku hiyo ndiyo ikawa hivyo na kukutana na gesi ikiwa imekwisha!
Hapa kuna jambo lingine la kuzingatia.. Kwakuwa mama si mpishi wa mara kwa mara hivyo hajui kwamba kuna wakati regulator hufungwa na mtu aliyetumia mara ya mwisho...Hapo bila kuifungua regulator iruhusu gesi kupita, kule kwenye burner hakutawaka!
Pengine bila kulijua hili mama akaripoti kwa mzee .. Mzee akaja jiloni akapiga maombi akaupuliza mtungi ukajaa gesi akafunguq regulator. Mama akawasha kwenye burner.. Gesi ikawaka kwa kasi.. Na ikawa ni muujiza tayari๐๐๐
Hapa kuna mtu aliingizwa cha kike naye akaenda kuwaingiza wengine! Mtungi wa gesi sio puto jamani.. Kwamba utapuliza na kuona kabisa linajaa hewa! Kapola yeye kapuliza mtungi wa gesi na kuujaza gesi.. Sasa sijui ni ule mkubwa au ni ile inayogawiwa vijijini maarufu kama mitungi ya mama!?๐ค๐ฉ
Kwa uzoefu wangu kwenye miujiza ya dharura kama hiyo.. Hakukuwa na haja Tony aanze kuupuliza mtungi bali ilikuwa ni kitendo cha kuamrisha ama kuomba kiimani na jambo likawa!
Ni kama tu wale wachawi konki.. Wao hawahitaji pesa! Maana hawana matumizi nazo kwakuwa kila watakacho hukipata kwa kutamka tu!
Kapola alikuwa na uwezo wa kutamka shibe na wakashiba.. Alikuwa na uwezo wa kutamka chakula kiive bila gesi na ikawa nknk.. Lakini muujiza wa kupuliza mtungi mtupu na ukajaa gesi ni uongo uliopitiliza!View attachment 3435472
Hiyo miujiza ya aina hiyo ingekuwa inafanya kazi Nigeria lingekuwa Taifa tajiri zaidi duniani.Bosi wewe ni Mkristo ila imani yako ni ndogo sana maana unatumia akili yako kuamini. Kumbuka Yesu Kristo alisema โ
Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye aniaminiye mimi, kazi nitendazo mimi atazitenda na yeye; tena atafanya kuliko hizi, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.โ (Yohana 14:12)โ.
Hivyo ukiamini Mungu anaweza kukutendea makubwa zaidi ya hayo watendayo akina Pastor Tony. Mshana Jr nilimstahi ili kumjulisha tu kuwa hivyo vitu vipo na vinawezekana. Na nikuhakikishie tena kuwa kila aaminiye hata kama ni Muislamu anafanikiwa!