atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,552
- 9,815
Nyie ndio wale wale msiojitambua 🚮🚮,watoto wako wana hasara sanaMshana Jr nimeona nikujibu maana wewe ni gangwe. Hicho alichokisema Mke wa Pastor Tony kina ukweli 💯. Kwenye biblia Nabii Elia aliombea Unga na Mafuta kwa yule Mama Mjane na walipika na havikuisha walipika na kula kwa siku alizokuwa Elia kahifadhiwa. Kwa habari zaidi soma
1 Wafalme 17:12-14. Wewe kama mdau mkubwa epuka kupotosha. Pastor Tony anahistoria yake, hiyo miujiza ni ya kweli na Mungu wake anatenda miujiza kweli kweli. Nadhani umeelewa.